Itakuwaje siku Nape na sitta wakiwa nje ya CCM?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Nape na Sitta wamejijengea umaarufu miongoni mwa Watanzania kutokana na kupingana hadharani na mafisadi wakiwa ndani ya CCM.Je itakuwaje wakitoka/wakitolewa CCM? Nawasilisha kwa mjadala.
 
Back
Top Bottom