Itakuwaje Kama Nyota Itaiangukia Dunia?

Kila kitu kitu kwenye universe kipo kwenye motion. Sayari zinazunguka jua, jua linazunguka center ya galaxy, galaxy zinazunguka center ya super structure etc.
Nilikuwa na wewe mpaka ulipofika hapo penye "super structure" ukanipoteza kabisa. Unaweza kufafanua mkuu hii super-structure inayozunguukwa na galaxies ipo wapi?

Nijuavyo mimi ni kuwa space between galaxies ndiyo inayo-expand at a uniform rate (uvumbuzi wa Hubble) lakini sikujua kuwa kuna kitu au center inayozunguukwa na hizi galaxies. Your clarification, please!
 
Masahihisho mkuu ni Super cluster na siyo Super structure. Ninachojua mimi (lakini nakubali kukoselewa) katika 'observable' universe kama nilivyoeleza sayari zinazunguka jua kutokana na nguvu za uvutano, jua nalo kinazunguka galatic center (black hole), na mkusanyiko wa galaxies mf Virgo ambamo tupo ndo hiyo inaitwa Supercluster nazo zinashikiliwa kwa nguvu za uvutano kutoka center (sijui inaitwaje) na mkusanyiko wa hizi Superclusters ndo unaunda local cluster(huu ni mwisho wa observable universe). Ukiangalia nature ya kila structure katika universe imeshikiliwa na nguvu za uvutano na zipo kwenye motion kuzunguka center zake ndio maana nime-conclude kuwa "everything in the universe is in motion". Sijui kama nitakuwa nimekujibu.
 
Kwa hiyo hizi galactic clusters zinazunguuka blackhole nyingine au kuna center nyingine (na ni ipi)? Hapa ndipo nilipotaka kupata ufafanuzi.
 
Masahihisho mkuu ni Super cluster na siyo Super structure. Ninachojua mimi (lakini nakubali kukoselewa) katika 'observable' universe kama nilivyoeleza sayari zinazunguka jua kutokana na nguvu za uvutano, jua nalo kinazunguka galatic center (black hole), na mkusanyiko wa galaxies mf Virgo ambamo tupo ndo hiyo inaitwa Supercluster nazo zinashikiliwa kwa nguvu za uvutano kutoka center (sijui inaitwaje) na mkusanyiko wa hizi Superclusters ndo unaunda local cluster(huu ni mwisho wa observable universe). Ukiangalia nature ya kila structure katika universe imeshikiliwa na nguvu za uvutano na zipo kwenye motion kuzunguka center zake ndio maana nime-conclude kuwa "everything in the universe is in motion". Sijui kama nitakuwa nimekujibu.
mkuu kwanza galaxy tuliyopo ni milky way na sio virgo, pili nyibta hazizunguki structure yoyote ni stationary.
 
Kila kitu kitu kwenye universe kipo kwenye motion. Sayari zinazunguka jua, jua linazunguka center ya galaxy, galaxy zinazunguka center ya super structure etc.
Hee! Super structure ni nini tena?
 
Nyota ni magnetic izungukayo, kwa Speed katika rotation yake na kutoa mwanga.. si combination ya Gas, ingekuwa ni Combination ya gas ingekuja kuisha.
 
Asante jamii forum ama kweli hili ni darasa tosha....sikusoma sayansi na wala sijawahi kujua kama nyota ni kubwa zidi ya dunia. Ama kweli mungu yupo jamani
 
Nyota ni magnetic izungukayo, kwa Speed katika rotation yake na kutoa mwanga.. si combination ya Gas, ingekuwa ni Combination ya gas ingekuja kuisha.
Mkuu nini chanzo cha mwanga wa jua?
 
Back
Top Bottom