Itakuwa vipi marehemu wakiamka na kuwakuta mnatanua na wake zao???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Wana ndugu itakuwa vipi marehemu....,
wote wakiamka leo na kukuta watu manajivinjari na wake zao jamani!!!!
maana kuna watu wanatanua na wajane si mchezo...mbaya zaidi ni wanatumia mali za marehemu kama walitafuta wao....
 
Kwa hiyo wajane hawatakiwi kuendelea na maisha? "Till death do us part..."
 
MZUNGU MMOJA AKIWA SOUTH KUJA DAR AKAAMBIWA UKISHUKA BONGO UKIULIZA SWLAI LAZIMA UJIBIWE NA SWALI ALIPOFIKA JNIA YAANA JULIUS NYERERE INTR APRT AKAULIZA "habari nasikia tanzania ukiulizwa swali unaulizwa swali" akajibiwa "who told u"......IDD MUBARAK
 
sasa hao wamekufa wanarudi kufanya nini tena??mi naona itakuwa poa tu na wakirudi watafute vimwana wengine maana sie tutakuwa busy kubadilishana mbinu za medani na hao waliokuwa wake zao
 
ukishakufa basi aliyekuwa mkeo si mkeo tena au mumeo,not to be a sexist........
 
Back
Top Bottom