Itakuwa vipi dawa ya ukimwi ikiuzwa kama pandol

kanyasu

JF-Expert Member
Feb 9, 2009
234
18
Nimesoma habari katika gazeti moja la kila siku juu ya taarifa za kugundulika kwa dawa ya ukimwi.kimsingi gazeti linapotosha taarifa au mantiki ya taarifa ya wanasayansi.wao wamegundua kuwa ukitumia ARV's sana unaweza usimwambukize mtu unayekutana naye.ugunduduzi mwingine ni maendeleo mazuri juu ya channjo ambayo bado haijathibitishwa,sasa najiuliza itakuwa vipi kama dawa za ukimwi zitauzwa kama panadol pharmacy!
 
Itakuwa hivi: mama mwanaasha, hebu kaninulie nanihino maana naona ka ukimwi kamizidi.
 
Raha 2pu nitakuwa napiga mzigo mbaya yani kama jogoo nakamata nachinja 2 kudadadeki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom