Itafsiri picha hii na mitihani inayoendelea nchini

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
chabo.jpg
 
Copy n' paste anateleza juu ya ganda la ndizi anateleza kwenye povu la sabuni jf tunawatukuza tunawaita vilaza!
 
  • Thanks
Reactions: awp
yeah, wanaiita team work,
wengine wanita visaidia akili..,
kibomu, na mengineyo mengi
kazi ipo Bongo....lol
 
  • Thanks
Reactions: awp
Hivi unadhani apo ukipata a kweli utaendelea kusoma..!??? Juche mbaya sana..!
 
Kuna mmoja aliandika desa lake kwenye panga za feni. Msimamizi alipogundua janja yake, akaenda kuwasha.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mkuu wa wilaya ya Korogwe alimwambia mwanasheria wa kike shahada yake ni ya chupi,kivumbi mahakamani,desa linatesa sana hasa kama unakuwa hujasoma na mtihani upo mbele yako.
 
Back
Top Bottom