Itachukua zaidi ya miaka mia kumpata wa kufanana na wewe

kwenye majukwaa kila mtu atamsifu mwalimu hata fisadi, hata mla rushwa lakini lutekeleza mawazo yake ni ndoto. hiyo miaka 100 umeipataje?
 
Hiyo baiskeli ni aina ya SWALA kama sikosei.
Ni kitambo sana aisee sijui kama kiwanda bado kipo hai hadi hivi leo?
 
Back
Top Bottom