It was so suprising, so amazed to see my fellow jf member in my wedding

hongera sana, avatar yako inaonyesha busara na hekima kubwa, udumu na hilo, MUNGU awape watoto wengi waizunguke meza yenu.
 
Much respect PJ, Blackwoman, n the rest... Ase U made me feel proud of my home Forum, JF..be blessed Guys.
ZAIDI NASHUKURUNI KWA ZAWADI WAPENDWA
Mkuu,
Kwa niaba ya wanaJF -Arusha Wing, tunakupongeza kwa maamuzi mazito sana kama yale uliyofanya majuzi!
Hongera sana bwa mdogo!
Tulienjoy sana, na we had a kinda special treatment!..tunatamani sana tuweke hapa picha za tukio zima lakini tunaogopa PAW atatupiga ban!
Tunakutakia maisha mema na baraka!

Lakini pia nachukua nafasi hii kukukaribisha wewe(na shemegi of course) kwenye vikao vyetu vya kujadili mambo yanayotuhusu.
 
Mkuu japo sikujui ila Nakutakia Hongera na Mungu awazidishie upendo na awajalie watoto na elimu zaidi. wengine pia mtajaliwa ndoa msiweke sababu za bado mpompo bado tehtehteh!
 
Mkuu,
Kwa niaba ya wanaJF -Arusha Wing, tunakupongeza kwa maamuzi mazito sana kama yale uliyofanya majuzi!
Hongera sana bwa mdogo!
Tulienjoy sana, na we had a kinda special treatment!..tunatamani sana tuweke hapa picha za tukio zima lakini tunaogopa PAW atatupiga ban!
Tunakutakia maisha mema na baraka!

Lakini pia nachukua nafasi hii kukukaribisha wewe(na shemegi of course) kwenye vikao vyetu vya kujadili mambo yanayotuhusu.

nashukuru sana mkuu, bila shaka tutakaribia hilo usilitilie shaka,nirudipo Arusha tu tutakuwa pamoja katika kila kikao mkuu,kwa sasa nipo Iringa kwa majukumu ya kazi zaidi,baada ya siku kadhaa nitarejea
 
Kwa namna wanajf Ar tulivyo, i can say hukuwa na bahati. Tupo na jumuiya ya watu zaidi ya 30 na tukiwa na tukio tunamwagika si mchezo! Binafsi nilipata short notice ila nilikuwa kwenye function nyinine kama hiyo.
Hongera sana mkuu, karibu tar 10 kwenye mkutano wetu!
Asante sana filipo, Jf ni zaidi ya jukwaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom