It was so funny kufundishwa demokrasia na JK

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
JK leo hii katoa darasa la demokrasia la kutuambia kuwa lazima tukubali mawazo ya watu wengine hata kama hatuyapendi
lakini ebu tuangalie record ya mtu anayetoa kauli hizi je does he practise what he is preaching? Yuko bungeni anatumia
vikaragosi wake kuzuia mjadala usisomwe kwa mara ya kwanza ? maoni kuhusu mswaada yametolewa na watu wa mikoa
mitatu tu. anatumia vikaragosi bungeni wake ku shut down watu wanaosema kuwa watanzania wote kwa maana ya mikoa yote
inabidi ishirikishwe. anataka kujichukulia mamlaka ya umma ya kujitungia katiba yao wenyewe na kujifanya yeye ndio anajua sana
nini kinatufaa kuendeleza nchi kuliko watanzania wenyewe. nia na madhumuni ya kuwa na katiba mpya ni pamoja na kuyaangalia upya
madaraka ya Urais kwa maana amerundikiwa kazi nyingi kiasi kwamba inaharibu uwajibikaji sasa yeye ndio anataka awe muamuzi wa mwisho kuhusu madaraka yake mwenyewe jamani hii si sawa na mtu kuwa hakimu kwenye kesi yake mwenyewe
.
 
Kasema eti ye sio dikteta

hata ukimuuliza HITLER au IDDI AMINI wangekwambia kama JK alivyosema.
Angalia matendo yao na siyo maneno yao ni dikteta pekee yake ndio anaweza kujitwalia majukumu ya kutunga katiba ya nchi
huku akidai kuwa tutawaachia wananchi wenyewe waamue wakati mambo yote yanaishia mezani mwake kwahiyo ni DIKTETA
PEKEE NDIO ANAYEWEZA KUINGIZA MKONO WAKE KWENYE MAAMUZI YA WANANCHI AU MAONI YA WANANCHI WALIO WENGI.
 
Enyi thumun wa bukumun kumbukeni basi hata WHITE PAPER then tuongee kwa usitaalabu au ndio mlivyo fundisha na walimu wenu mkichukia boga mchukia na majani yake nn?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom