Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
- Thread starter
- #101
Sawa sawa, ofcourse lazima tuweke categorised serach ili iwe rahisi. Okey next nadhani ni REQUIREMENT DOCUMENT au?
Mkuu nawasilisha document tatu.
mbili ni template tunazoweza kutumia kuandika requirement document moja tutayokubalina members wote
na ya tatu ni ya document niliyochakachua katika hizo mbili hapo juu na kufanya wording na editing ili iendane na our project gols View attachment online Contact requirement.doc
So hapa nawasilisha.
NB. tunaweza kuendelea kuedit hiyo ya tatu na kuongeza yale yanayopungua