IT Partners

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
Ukiachana na walevi the second worse is IT Partners(according to me). they are most busy partners ever, hawatumii muda mwingi na wapenzi wao,anaweza kuwa yupo ndani 24/7 physically but not mentally. computer kwao ndio kila kitu,ukiona ameinuka kwenye desk au kiti basi ujue ana njaa, kiu, anaenda kujisaidia au anataka kuchakachua.

Usiombe akawa ni mpenzi wa football pia

naongea hivi hivi kwasababu nimeshaona marafiki ambao ni IT,nina sister wangu ambae ana mume ni IT geek.they are all complaint the same thing kwamba hawa watu hawana muda na wapenzi wao.

siongelei wale ambao wapo kwenye IT kama sehemu tu ya kujikimu kimaisha, naongelea wale ambao IT ni hobby pia(cant survive without it),akiamka kitu cha kwanza computer.

sorry for me, im about to be there:pray::pray:. will be an IT professional sooooon, so far sina muda wa kuangalia TV,sina outing, losing interest with men, dont think if will be a gud wife.network ikikorofika kidogo nakuwa CRAZY!!!!!!!!!

Wakina dada, watch out!!!!!!!!!!!!!!
Ukikumbana na mume mwenye professional ya IT usiseme haujaambiwa.

NB:Inawezekana ikawa sio wote ila the most of them(majority)

Mwenye experience na other worse professional please tuambiane!!!
 
Hivi kumbe we ni mdada????:A S 13:
Asante kwa taarifa!!Ila raha yake hakugandi!!!
 
Hivi kumbe we ni mdada????:A S 13:
Asante kwa taarifa!!Ila raha yake hakugandi!!!

Tena hawana time kabisa,kama ni bongo, make sure unamnunulia jenereta ili umeme ukikatika asisumbuke
 
Kweli kabisa ndio nimeshuhudia mtu akilalamikia hii ishu
 
Kweli kabsa hii field sio unakwenda na laptop mpaka toilet. Mie nilibadili mapemaaaa. Umeme au network isumbue weeee unapata kichaa kabisa. Finest atatujibia
 
Ila huyo pia mzuri migogoro midogo midogo haitokuwepo maana mara nyingi atakuwa busy na kazi zake.
 
muda wa kukaa na mpenzi huo upo tu hata uwe IT au fani nyingine, mfano consultant (tax,audit,account etc) hawa jamma wapo bize muda wote kuandika mariport knye laptop na safari. muda ni mtu binafsi tu kuamua.
 
Hata saa sita ya siku unaweza ukaitwa ofisini, link iko down. Achana na hawa ma programma sasa hata muda wa kuchana nywele hakuna........
 
Very right..naturally.....hujakosea kabisa.muda wote na :typing:
 
Usibadilishe mradi ushasikia wewe balance tu equation
not so easy,kinachotakiwa huyo mpenzi azoeee tu. ukizoea hawakupi shida, ila ukiwa attention seeker basi umeisha.
 
Ila huyo pia mzuri migogoro midogo midogo haitokuwepo maana mara nyingi atakuwa busy na kazi zake.
utampata wapi ili ugombane nae? akiona zengwe anasogeza laptop, pc yake na kuku ignore, we utaongea wee mpaka basi. halafu wakishaanza tu kubofya,basi husikii neno hata moja
 
yy akiwa bize na mie nakuwa bize na nyumba ndogo,safi sana kuwa na mke sampuli hii,ukmnunulia laptop bac umemmaliza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom