It is worth it.......

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Hamjambo?

Enyi wapenzi wa siku hizi, kuweni wavumilivu kwani hamkusoma Physics jamani?
The First Law of Themo-Dynamic Energy by Sir Isack Newton - Energy is Neither Lost Nor Destroyed, Its merely Transfered from One Point to the next.

Ina maanisha unapotumia muda mwingi kumtokea mpenzi automatikali unatransfer mapenzi yako kwake- unapotumia nguvu nyingi ndipo anapoamini kuwia unampenda kiukwelii na atakapokukubali atakukubali kwa moyo mkunjufu. The more you toil , the worthy is the toil.

Unapomtokea mpenzi, No matter how hard anakuzungusha, It is worth it.
 
MJ1 kwahiyo nikitumia nguvu nyingi kukupigia misele utanipenda kiukweli na kunikubali kwa moyo mkunjufu, yarabiii leo lazima nikutumie PM 100 utanikoma, asante Sir Isack Newton umenisaidia sana na hiyo The First Law of Themo-Dynamic Energy hapa MwanajamiiOne lazima aingie king atake asitake dah ngoja nitoke ndukii kabla mheshimiwa Mbu hajaja hapa kikasanuka..
 
Hukuilelewa vizuri, wavulana msikate tamaa maana unavyotumia nguvu nyingi kumpigia misele nguvu inatransfer down kwa hiyo na wewe utajilipa zaidi.

Si mnakumbuka na 3rd law, action and reactin are equal and opposite. Yaani nguvu utakaotumika na mdomo kuongea ni equal na nguvu itakayotumia na kinanii nanii kufaudu.

Muwe mbayuwayu, changanyeni na za kwenu...
 
Tobaa! heri mie sijasema
 
Red_ He will always be MUHESHIMIWA to me.
 
425_mouse_trap.jpg

♪ ♫....whistling!.....♪ ♫
 
MJ1 nakusalimu

Daaahh
Hii topic Leo ni kali kwa kweli.
Binafsi najiweka upande mwingine.
Nikimaanisha ukimtongoza mtu kwa muda
na unaona kabisa anakuzuga "usizidi ku poteze muda wako zaidi."

Hii pia inawezakuwa usumbufu kwa
Unaemtongoza na we unajipa matumaini
Ya uongo.

Unless otherwise amekwambia
Umsubiri hapo sawa. .
Au mmekubaliana..

Unaweza ung'ang'anie kisicho chako. ..
Tongoza mtu hakupi direction au muelekeo
Fulani cheza mbele ..

Ndoo hayo tu
Asante. ..
 
Lol....ngoja nikuandalie Manguree wikiendi maana najua tunakaribia kusherekeA
 
Hukuilelewa vizuri, wavulana msikate tamaa maana unavyotumia nguvu nyingi kumpigia misele nguvu inatransfer down kwa hiyo na wewe utajilipa zaidi.

Si mnakumbuka na 3rd law, action and reactin are equal and opposite. Yaani nguvu utakaotumika na mdomo kuongea ni equal na nguvu itakayotumia na kinanii nanii kufaudu.

Muwe mbayuwayu, changanyeni na za kwenu...

dah!! Na kwa wadada vipi, hii iko applicable au?
 
MJ1 nahisi kama kuna mtu umemzungusha na unahisi kuwa anaelekea kukata tamaa, na wewe una mfeel, sasa unajaribu kumu inkareji ili asi giv'ap..!
 
Nadhan unamzungumzoa MJ1 mwingine! Mimi sijatongozwa bkwa muda sasa. Hii nimeiweka hususan kwa wapenz wa sasamaana wengi wanalalamika kuzungushwa na staki nataka
 
Back
Top Bottom