It is IPv6 Day Today

It is IPv6 Day Today

Internet Society - World IPv6 Day


More Innovators, More Innovations, More Technologies !


we are here at kunduchi right now discussing the issue , challenges , implementation , understanding... visit this streaming ...

AFNOG , AFRINIC Meeting

The Afnog/afrinic plenary is going on
There will be 2 streams

English:
http://streaming.afrinic.net:8000/english.m3u

French:
http://streaming.afrinic.net:8000/francais.m3u

Please record the stream in mp3 format.
 
Nimesiikiliza part ya presentation leo sijasikia wakaizungumzia IPv6 kama Tiitle ilivyo. walikuwa wanazungumza IPv4.

je Kuna mtu anajua

  • Tanzania ina mgao wa ipv4 public adress ngapi?
  • Kati ya mgao wetu ni ngapi tumetumia mpaka sasa
 
Nimesiikiliza part ya presentation leo sijasikia wakaizungumzia IPv6 kama Tiitle ilivyo. walikuwa wanazungumza IPv4.

you missed, mazungumzo yalikuwa mengi,

je Kuna mtu anajua

  • Tanzania ina mgao wa ipv4 public adress ngapi?

  • Kati ya mgao wetu ni ngapi tumetumia mpaka sasa

-- good quation try contacting tznic. thsy have a lot of info, hawa tznic ndo wan manage .tz na maswala ya IP
 
Hii kitu sijajua nikitu gani. Nimekutana nacho kwenye yahoo mail nikatupwa kapa.
Jamani saidia maelezo hii ndio nini?
 
Hii kitu sijajua nikitu gani. Nimekutana nacho kwenye yahoo mail nikatupwa kapa.
Jamani saidia maelezo hii ndio nini?

IPv4- Internet Protocol Version 4 iko katika format ya mfano huu 192.168.2.9. Ili computer au simu iweze kuaacess internet inahitaji IP address. Without IP adress hakuna net.

Sasa kwa Muundo wa adress wa IPv4 ulivyo unaruhusu adress 232 (4,294,967,296) . Kwa maendelo ya teknolojia ambayo kwa sasa hata simu na vifaa vya mobile vinahitaji Ip adress ni kwamba Ipv4 imekuwa exhausted au kwa lugha nyepesi miaka si mingi adress za kutumia kwenye ipv4 zitakiwsha.

Kwa mapungufu ya IPv4 . Uhaba wa adress ikiwa ni mojawapo wataalam wakaja na ipv6 amabayo itakuwa na a 2128 (approximately 340 undecillion or 3.4×10
38
) addresses. Zaidi ya idadi nyingi ya adress IPv6 pia iko secure zaidi. Mfumo wa IPv6 unaweza kuwa kama hivi
2001:cdba:0000:0000:0000:0000:3257:9652

Kwa maelezo zaidi waweza kuanza kupata mwaga hapa IPv6 - Wikipedia, the free encyclopedia na IPv6.com - IPv6 Addressing then baada ya hapo unaweza ku google difference btn ipv4 Vs ipv6

Taaisis au shirika linalohusika na kugawanya na management ya Ip adress linatwa http://www.iana.org/numbers/

NB.

Ingawa IPV4 inakabiliwa na uhaba wa adress lakini kuna work arrouna zinazotumika kwa sasa ndio maana hakujawa na matatizo sugu. One of the work aaround ni Network Address Translation ( NAT) . Isome hapa
Network address translation - Wikipedia, the free encyclopedia.

Mtu akijua public internet ipv4 adress yako ni rahisi kujua uko nchi gani sababu hizi internet adress zinagwanywa kijiografia. Na kwa nchi za ulaya mtu akijua IP adress yao anaweza kujua hata mtu mwenye hiyo IP yuko mtaa gani?
 
Back
Top Bottom