"It hurts, but do what we did.", Africans tell Europeans

[h=1]Europe reaches key deal to help Greece[/h]European leaders agreed Thursday morning on a crucial plan to reduce Greece's debts and provide it with more rescue loans so that the faltering country can eventually dig out from under its debt burden.

Europe reaches key deal to help Greece - Yahoo! News

Kuongeza deni ili kuepukana na uzito wa deni.
 
Huyo kaberuka anaongea hivyo wakati africa integemea misaada ya ulaya na amerika, sijui inakuaje hapo... ni kama mwanao kasevu pesa za shule za kalimati na bigijii sasa umeishiwa anakuja na kukwambia mie nilikua naweka kwenye kikopo palee chumbani chini ya kitanda

that is my opinion though.... just funny feelings
 
Tujuvyeni zaidi and how much do we stand to loose?

Unakumbuka Wazungu walipotaka mali ghafi ili kuendeleza uchumi na viwanda vyao walifanya nini?
Walikuja Afrika kututawala.

Sasa katika sakata la sasa wamejikuta kuna China pia anapigania malighafi hizo. Sasa athari kubwa ambayo nchi za Afrika zitapata ni destabilisation na vita aka kuletewa vita dhidi ya ugaidi na kutandaza domokrasia na utawala bora.
Hali hii itazifanya nchi za kiafrika kufikiria zaidi kununua silaha kutoka kwa hizi nchi muflisi na pia kushindwa kupanga mikakati ya kuzitumia hizo mali ghafi kuziendeleza nchi za Afrika.

Umasikini utazidi na bei za vitu zinapanda kila jua linapochomoza.

washauri wa uchumi walishatuletea miaka ya 90,sasa wanatuletea washauri wa kijeshi. Hii ni lugha ya layman kujua athari ya haya yanayoendelea.

Ni wazi wataalamu wa uchumi watakuja na lugha ambayo utaambiwa infaltion up, budget deficit gap widens, export blaaaa...hutaelewa kitu.
 
The head of the eurozone bailout fund is in Asia hoping to persuade governments there to invest in the fund and help solve the eurozone debt crisis.

Klaus Regling started his tour with a visit to China, a country with huge reserves of cash - but Beijing says it is willing to help out only if the likes of Brazil, India and Russia also contribute.

Damian Grammaticas reports from Beijing.

BBC News - Europe asks Asia for economic help
 
Back
Top Bottom