isuzu journey 4BC2 INAUZWA

punguzia watu usumbufu wa kujibu thread na kukuPM weka details zote zinazohitajika za gari na picha pia!
 
onyo
kununua gari kw mtu binafsi kuna madhara makubwa
jitahdi ununue show room
 
onyo
kununua gari kw mtu binafsi kuna madhara makubwa
jitahdi ununue show room

mkuu umejisahau tupo kwenye jukwaa la matangazo madogo dogo... sio watu wote wana uwezo wa kukunua isuzu journey ! show room!

bro.. mleta mada mwaga! mapicha tuyaone
 
Invisible naomba niwe Moderator wa Matangazo madogo madogo?

Wako mtiifu Vivian Shirima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom