?Issey Miyake L'Eau Bleue

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Wakuu naweza kupata wapi hii kitu kwa Dar?

?

Issey Miyake L'Eau Bleue D'Issey Pour Homme (Blue Water) Eau de Toilette Spray
 
mkuu hiyo kitu ni balaa mie nipo dar na ninayo stock sema ndohivyo siwezi kukupa orijino yake .. kama vipi nikupe contact za jamaa yangu yupo china akuletee za kichina...
 
Who cares!? Mkuu nipo serious achana na hayo mambo yko ya China bhana mm nataka orijiono!
 
Who cares!? Mkuu nipo serious achana na hayo mambo yko ya China bhana mm nataka orijiono!
nend kwa s.h.amon laki na kidogo inategemea unataka size ipi na maduka mengine makubwa inapatika nani yaukweli
 
Nenda JM Mall ground floor kama unaenda kwenye super markert on your right hand kuna pharmacy inaitwa ACD wanauza vitu vya ukweli au ulizia msikiti wa ibadhi haupo mbali na jm mall kwenye maduka ya msikiti kuna duka la manukato ndio duka pekee hapa dar lililo speshelaiz kwenye manukato.
 
Nenda Ronzana samora opposite na Dailynews Hq au namanga hapa njia panda ya msasani

Rozana hawana za ukweli nyingi ni copy huwezi kujua mpaka uwe mjanja utauziwa kitu cha rahisi kwa ghali kisa umeuziwa samora nisikilize mkuu ACD pharmacy wanauza original ila bei ipo juu kuliko sehemu yoyote hapa bongo kwa sababu wanauza vitu vya ukwenhe
 
Iko sehemu gani hiyo pharmacy pls?
 
Back
Top Bottom