TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,889
- 11,285
Mkuu kumbuka Michuzi analipiwa hizi safari na pesa za walipa kodi, unaposema kila mtu na nafasi yake unamaanisha kila mtu ale nafasi yake, ufisadi utaisha kweli nchi hii?
Truck drivers, hawa wanakuwa wanafanya service, wameajiriwa kwa ajili hiyo, kama hao truck drivers? Je Michuzi analipwa mshahara kwa ajili ya kupiga picha rais anaposafiri? Kama anaposafiri analipwa offpocket allowance, analipwa allowance hiyo mara ngapi kwa mwaka?
Jamani Watanzania, hebu tufunguke macho. Hakuna anayeona kwamba hapa kuna misuse of resources.
Kwanza, you missed my point... nilikuwa namjibu alilalama kwamba ana PhD na hapati safari
Pili sina jibu kwa hoja yako mpaka tuone JD yake na scope yake kama mwandishi wa gazeti laserikali, naamini kila safari official ina wahusika na sitetei matumizi yasiyo ya lazima, ila najaribu kutetea tusimhukumu michuzi kwa kufanya kazi aliyoagizwa na bosi wake