Issa Michuzi na vekesheni

Status
Not open for further replies.
3367d1232642522-kumbe-michuzi-photopoint-sio-ya-kwake-111.jpg

kanyaga twende michuzi kuna watu wakiziona hizi wanataka kupasuka......nani aseitaka kupiga mikonozi na totozi kama hii?

Nani huyo shori? Dang...kazuri kweli kweli hako ka shori....gademu....
 
Madai ya mleta mada (Muanzisha thread) ni mazito na wala sio ya kuupuzwa,kwa sababu kuna pesa ya mlipa kodi inatumika hapa...Lakini kujenga hoja na kujua kwa nini Michuzi anachanganya kazi na mambo binafsi na kutumia Vifaa vya Umma kwa kazi binafsi ni bora muwasilishe malalamiko kwa Mwajiri wake...

Tuwasilishe kwa mwajiri wake? Wafanyakazi wa serikali wangapi wanachambuliwa hapa kwa kufanya yasiyoridhisha na hatusemi "mtafute mwajiri wake"? Hiyo standard imeanza lini hapa?

All in all Bado Michuzi ni muhimu kwa kutupa habari,ziwe za serikali au jamii inayotuzunguka,naweza kusema kila mmoja wetu kwa namna yake anaguswa na Habari za Michuzi haswa kupitia Blog yake....
Mwawado, brother/sister, unakosea ndugu yangu. Umuhimu wa kutupa habari haumaanishi apate leseni ya kuwa kafisadi fulani ka kuchanganya mambo binafsi na kazi za umma, tena za msafara wa Rais.

Hizo habari tumeshamlipa akatupe kupitia DAILY NEWS, la sivyo astaafu afanye bloging full time aendelee na safari za "vekesheni" kwa hela yake.

Katika maswala ya maadili ya kazi, kuna kitu kinaitwa muonekano wa mabaya, appearance of impropriety. Iwapo kazi yako wewe ni kupiga picha za DAILY NEWS, halafu tunakuona picha hizo hizo zinatokea DAILY NEWS na MICHUZI au nusu zinatokea DAILY NEWS, na nusu zinatokea MICHUZI, ni lazima tutajiuliza, je ulizipiga katika muda gani, wa kazi wa kwako? Na zile zilizotokea kote kote (video za MBAGALA, picha za JK ziarani, mahojiano na DEWJI) umezipiga katika muda wako, au? Nani ana miliki hizi picha, serikali au wewe?

Michuzi ni muingiaji humu,lakini kwa Kariba yake hawezi kujibu madai ya humu....
Angalia unavyo ishusha forum ambayo na wewe ni mshiriki just kumpamba MICHUZI ambae unamwona ni deified.

Look here, Mkuu Mwawado. Michuzi sio untouchable. Hivi unavyoona hapa watu 90 wamemsapoti kumi wameona kuna tatizo basi ni hivyo hivyo hata huko serikalini pia. Kuna mkulu mmoja huko serikali ameona MICHUZI yuko kwenye msafara akaenda kupiga picha na li dildo, na hakupenda. Na huyo bosi wa Michuzi nae sio untouchable. Na yeye (bosi wake) hapendi watu wamshangae kwamba anatuma mwandishi kwenye msafara wa Rais mtu asiye na maadili ya kazi wala ya kijamii. Yana mwisho...
 
Nani huyo shori? Dang...kazuri kweli kweli hako ka shori....gademu....
Hoyce temu alikuwa miss tz mwaka fulani......mbona alikuwa huko majuu lakini sidhani kama ungempata mtoto high class na wewe umeshazoea vya kunyonga.....
 
Tuwasilishe kwa mwajiri wake? Wafanyakazi wa serikali wangapi wanachambuliwa hapa kwa kufanya yasiyoridhisha na hatusemi "mtafute mwajiri wake"? Hiyo standard imeanza lini hapa?

Mwawado, brother/sister, unakosea ndugu yangu. Umuhimu wa kutupa habari haumaanishi apate leseni ya kuwa kafisadi fulani ka kuchanganya mambo binafsi na kazi za umma, tena za msafara wa Rais.

Hizo habari tumeshamlipa akatupe kupitia DAILY NEWS, la sivyo astaafu afanye bloging full time aendelee na safari za "vekesheni" kwa hela yake.

Katika maswala ya maadili ya kazi, kuna kitu kinaitwa muonekano wa mabaya, appearance of impropriety. Iwapo kazi yako wewe ni kupiga picha za DAILY NEWS, halafu tunakuona picha hizo hizo zinatokea DAILY NEWS na MICHUZI au nusu zinatokea DAILY NEWS, na nusu zinatokea MICHUZI, ni lazima tutajiuliza, je ulizipiga katika muda gani, wa kazi wa kwako? Na zile zilizotokea kote kote (video za MBAGALA, picha za JK ziarani, mahojiano na DEWJI) umezipiga katika muda wako, au? Nani ana miliki hizi picha, serikali au wewe?

Angalia unavyo ishusha forum ambayo na wewe ni mshiriki just kumpamba MICHUZI ambae unamwona ni deified.

Look here, Mkuu Mwawado. Michuzi sio untouchable. Hivi unavyoona hapa watu 90 wamemsapoti kumi wameona kuna tatizo basi ni hivyo hivyo hata huko serikalini pia. Kuna mkulu mmoja huko serikali ameona MICHUZI yuko kwenye msafara akaenda kupiga picha na li dildo, na hakupenda. Na huyo bosi wa Michuzi nae sio untouchable. Na yeye (bosi wake) hapendi watu wamshangae kwamba anatuma mwandishi kwenye msafara wa Rais mtu asiye na maadili ya kazi wala ya kijamii. Yana mwisho...

Si unaona,inawezekana ameteleza tu. Hakuna anayetaka Michuzi apate shida kwenye kazi zake,hata sisi wachache tunaoona kuna something wrong tunazidi kumtakia mafanikio,lakini ikitokea mtu akakwambia ukweli ndio rafiki wa kweli,hivyo huyo kiongozi kama akiongea na Michuzi,basi itakuwa busara wakiresolve matter hiyo.
 
Hoyce temu alikuwa miss tz mwaka fulani......mbona alikuwa huko majuu lakini sidhani kama ungempata mtoto high class na wewe umeshazoea vya kunyonga.....

Oh yeah...ahahahahaha..sasa ngoja nikupe dataz...huyu shori alikuwa anasoma huko Wartburg College, iliyoko Waverly, Iowa. Ana mdogo wake anaitwa Rachel....hihihihiiii...upo hapo?
 
did u say aliikua anasoma???i think therez somethin missin kwenye info buks zako...... aligraduate lini na nin??

tuseme alikuja na visa ya masomo lakini kuhusu kusoma...naahh nehii labda kusomea kupigania wanaume na kuishiwa fukuzwa
 
Issa Michuzi kaandika kwenye blog yake kuwa yuko vekesheni, na kweli anatundika picha mbalimbali akiwa anajivinjari sehemu mbalimbali nchini Marekani.

View attachment 4638

Ninachojiuliza, je ni kweli amejilipia vekesheni hiyo yeye mwenyewe au yuko kwenye msafara wa Rais Kikwete nchini Marekani?

View attachment 4639

Kama yuko kwenye msafara wa rais, ina maana analipiwa gharama zote na pesa ya walipa kodi. Je ni halali kufanya ziara ya kikazi kuwa vekesheni yake na kufanya shughuli binafsi kama alivyoonyesha kwenye picha mbalimbali kwenye blog yake?

View attachment 4640

Kwa mshahara wa mfanyakazi wa serikali kama Issa, sio rahisi kufanya vekesheni sehemu mbalimbali za dunia, na kujigharimia mwenyewe. Je Issa Michuzi anapata wapi pesa hizi?

Je, Issa Michuzi ni fisadi au anafadhiliwa na mafisadi kwenye safari zake? Kama mfanyakazi wa serikali, Issa Michuzi anatumia muda kiasi gani ofisini, akilitumikia Taifa kama muda mwingi anakuwa safarini, na kwa nini anatumia muda wake mwingi kwenye shughuli zake binafsi kama safari zake zinalipiwa na walipa kodi?

Naomba kueleweshwa na yeyote mwenye kujua zaidi.

Picha zote zimetoka Michuzi blog.

Kwa kweli kama swali hili likieleweka basi tunakuwa tumemaliza hizi hoja zote.

Cha msingi ni kwamba kila mtu ajitahidi nae awe na "blog" yake. Blog hio iwe ina mvuto kwa hadhira, mtiririko wa mada na maudhui kwa ujumla.

Kwa hili bwana Michuzi amefaulu na sasa yuko mbali.
 
did u say aliikua anasoma???i think therez somethin missin kwenye info buks zako...... aligraduate lini na nin??

tuseme alikuja na visa ya masomo lakini kuhusu kusoma...naahh nehii labda kusomea kupigania wanaume na kuishiwa fukuzwa

Marekani wanafunzi wengi tu wa vyuo vikuu huwa wana transfer kwenye vyuo vingine....kwa hiyo inawezekana kabisa na yeye ali transfer akaenda jimbo jingine kama Arizona....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom