Issa Kamongo apatwa na msiba mwingine

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Yule msanii aliyenusulika katika ajali ya 5star amepatwa na msiba mwingine baada ya mke wake kukutwa amekufa Guest house.Musiba umefanyikia kwa Baba yake Issa ambaye anaishi k/koo na maziko yatafanyika kesho bunju tegeta.ameacha mtoto wa miaka 3.
 
mke kakutwa gesti kafa?????????

nafikiri hapo panahitaji maelezo kidogo
 
ni kwamba aliaga anaenda kudai madeni kwa watu anao wadai.ndo akakutwa kanyongwa.wamechukua simu na kitambulisho cha kupigia kura.mkoba wake wameuacha.
chanzo;rafikiye marehemu
 
Its sad....RIP ...kuacha watoto wadogo hivyo inauma sana na aina ya kifo pia inatia uchungu zaidi, na huku kwetu mtu akishauwawa uchunguzi goes on 4ever, pole sana Issa.
 
Yule nyonganyonga bado yupo eee,na sisi kna mama unaaga unaenda tandale kumbe uko chanika,tupunguze kuchakachuliwa hoooovvvvyyyyo!!!!njia ya mwongo fupi hapo hakuna cha msafiri wala nini! Asa madeni mpaka guest?
 
Back
Top Bottom