Israelis laugh about Iran nukes, government threat

Mkuu ni vizuri ku-quote in full hili flow ya uchangiaji wangu hili ueleweke vizuri na siyo kuchukua bits and pieces ya mchango wangu kwa madhumuni ya kupoteze lengo. Nataka kukumbusha kwamba Wapalestina asili yao ni Palestina siyo Jordan, sasa unaweza kueleza watu ilikuwaje watu waliyo zaliwa katika nchi ya Palestina wakajikuta kwenye makambi ya wakimbizi wa Jordan! Jibu unalo. Pili unaweza kunieleza ni kwa nini Wayaudi walikuwa awapendwi/wanachukiwa sana kule Ujerumani wakati wa ERA ya Hitler mpaka wakafanyiwa ukatili-je unafikili magazeti ya Hitler na Joebells ya wakati huo yalikuwa yanaeleza DUNIA mambo gani ya uzushi kuhusu WAYAHUDI? Tukirudi adithi za hapo juu kuhusu PLO kufukuzwa Jordan mwaka 1970 and the so-called Palistine facts; inategemea ni nani ali-post habari hiyo na alikuwa anatoka kwenye News Agency gani na alikuwa na madhumuni GANI-kumbuka wamiliki wakubwa wa NEWS MEDIA ni WAYAHUDI, kama ndiyo hivyo mtu utategemea nini kuhusu stori nzima - BIAS.

JK aliwahi kusema akili za kuambiwa changanya na za kwako, mtu usitegemee magazeti ya west kuandika mambo mazuri kuhusu Wapalestina au kuwaonea huruma. Jamani katika uchangiaji wetu tunapashwa kuwa na staha tukianza kuandika maneno ya kijiweni eti "habari imekosa mvuto na sijuhi mshiko" watu watahanza kufikili tuna childish mentality! Mimi nilitegemea wana JF ni watu wastaarabu, hapa tunabadilishana mawazo na kuelimishana basi not name calling. Regards.

Kama ulivyo sema hapo juu kuwa Wapelestina asili yao ni Palestina. Where is Palestina? Soma hapa kwa msaada zaidi: Palestine is Not a Country - The Non-Independent Status of Palestine
 
Palestines are invented people and/or State. As of to date, there are no archeological and/or other impeccable evidences that has been found and are conspicuous linking the Palestines to the Land where Israel is.

Kweli umejaliwa ukichaa wala siyo upumbavu wala ujinga. Kabla ya Yakobo kuitwa Israel hapakuwa palestina. Najuta kuingia kwenye hii thread
 
Kweli umejaliwa ukichaa wala siyo upumbavu wala ujinga. Kabla ya Yakobo kuitwa Israel hapakuwa palestina. Najuta kuingia kwenye hii thread

Calling names will not help you without annexing impeccable exhibits. Prior to Jacob there was no Palestine. Labda kama Philistine ni Palestine. Are those two the same?
 
Calling names will not help you without annexing impeccable exhibits. Prior to Jacob there was no Palestine. Labda kama Philistine ni Palestine. Are those two the same?

I will never ever subscribe to your opium, bye bye for ever
 
Kwani hii Vita itaanza lini? Maana nilisikiaga tu kuwa Israel ishawahi kupiga Nchi 6 ndani ya Wiki moja,mara Kazipiga ndege za Kirusi zikiwa Misri. Iran nao kila siku Silaha zinazidi kuongezwa
 
Kama ulivyo sema hapo juu kuwa Wapelestina asili yao ni Palestina. Where is Palestina? Soma hapa kwa msaada zaidi: Palestine is Not a Country - The Non-Independent Status of Palestine

Mkuu ndiyo mambo haya ninayo watahadhalisheni, kuwa makini mnapo soma makala controversal kama link ya hapo juu. Nimesema sana humu kwamba Wayahudi wana mbinu nyingi za kutaka ku-justify uporaji wa aridhi ya Wapalestina, moja wapo ya mbinu hizo ni kama makala tajwa eti "Palestine is Not a Country!"

Nakuomba usome jina la mtoa makala hii - Ubini wa jina ni RONSENBERG, hili ni jina la KIYAHUDI; sasa mtu ungetegemea jamaa huyu atandika nini zaidi ya kuleta porojo eti Palestina siyo Taifa. Dunia nzima unajua kwamba Palestina lilikuwa koroni la Waingereza mpaka kwenye late 1940s, baadae ndiyo nchi hiyo ikatolewa kipande na kuhunda taifa la Israel, kwani Ronsenberg hilo alijuhi?

Tafadhali tafuta ramani ya Mashariki ya kati ya kuanzia late 1800 mpaka 1945 angalia kama kuna taifa lilijulikana kama Palestina au la, achana na RONSENBERB yeye ana agenda ya siri HAPA.

Mwisho unaweza kueleza wana JF jina lako la "Schneider" (kama ni jina lako kweli)lina uhusiano gani wa karibu na thread hii?
 
Mimi huwa nashindwa kuelewa mantiki ya Israel kuisakama Iran kuhusu urutubishaji wa nuclear fuel, si hilo tu wanafikia hatua ya kushinikiza kila mtu duniani hasa hasa Serikali ya Merikani achukie Iran au waivamie. Leo utasikia Israel ( Natanyau) anasema Iran imebakiza miezi michache kulipua mabomu ya nuclear kwa majaribio - wanajuwa fika wanachosema ni upotoshaji MTUPU! Wanacho tafuta ni kuonewa huruma na world community na kwa kuwa wana ushawishi mkubwa katika bunge la Merikani na media za huko - basi wanachezea karata ya kuishawishi Merikani kushambulia mitambo ya nuclear ya Iran at a slightest pretex.

Nilipokuwa Uingereza kweye mid 1980s niliwahi kushuhudia kisanga kimoja, technician mu-Israel mwenye fani ya nuclear
aliyekimbilia huko hili atoe siri za Israel kuhusu maendeleo yao katika mambo ya nuclear. Alisema wazi wazi kwamba wa Israel wana mabomu ya nuclear; uzalishaji wa mabomu unafanywa katika kituo cha Nomina (sina hakika na jina hilo) kituo hicho kiko katikati ya jangwa la NEGEV! Israel ilifanya kila mbinu za kumunyamazisha fundi huyo, mwisowe wakamtuma mwanamke mrembo kupindukia ajaribu kumrubuni fundi huyo waongozane kwenda Italy kwenye holiday, kufika huko katekwa nyara akarudishwa Israel na kufungwa maisha.

Ninachotaka kusema hapa ni kwa nini Israel haitaki nchi nyingine ziwe na nishati hii ya nuclear, na wala sijawahi kusikia UN inspectors wakikagua vinu vya nuclear vya Israel, na wala Israel hajawahi kutamka bayana kwamba wana mabomu ya nuclear!

Miaka miwili iliyopita tulishuhudia ilivyopelekwa puta na a rag tag jeshi la Hizzibora licha ya Israel kuwa na zana za kila aina, nadhani vita hiyo iliwapa fundisho kwamba hawawezi kuwa jeuli miaka yote! Inasemekana mbinu za kivita za jeshi la Hizibola walipewa na Iran, niliwahi kushudia magari ya kivita ya Merikani aina ya Bradley yanalipuliwa na mabomu ya Iran kama karatasi-waMerikani walilalamikia Iran kuhusu mabomu hayo. Israel inapaswa kufikilia mara mbili kabla ya kujaribu kulipua vinu vya nuclear vya Iran, wakumbuke Iran siyo Lebanon au Iraq na dunia imebadirika-don't underrate IRAN.

Umeongea mambo mengi lakini sijaona kitu......huwezi kurutubisha madini ya uranium huku ukitangaza kuiondoa nchi fulani kwenye uso wa dunia.....! hivi inge kuwa iran wamesema wanampango wa kuipoteza Yanzania kwenye uso wa dunia unadhani tungelala?? inge kuwa mshike mshike lazima tunge wafanyizia tu kwanza!

Nchi nyingi tu zina nyukilia lkn hazisemi zina mpango wa kuipoteza nchi fulani duniani!
 
Iran will soon suffer the same bombing campaign that iraq saw it's not a matter of IF, it's a matter of WHEN

KWELI IRAN WILL SOON SUFFER THE SAME BOMBING FROM THIS KIND OF ARMY

Last edited by a moderator:
Mkuu ndiyo mambo haya ninayo watahadhalisheni, kuwa makini mnapo soma makala controversal kama link ya hapo juu. Nimesema sana humu kwamba Wayahudi wana mbinu nyingi za kutaka ku-justify uporaji wa aridhi ya Wapalestina, moja wapo ya mbinu hizo ni kama makala tajwa eti "Palestine is Not a Country!"

Nakuomba usome jina la mtoa makala hii - Ubini wa jina ni RONSENBERG, hili ni jina la KIYAHUDI; sasa mtu ungetegemea jamaa huyu atandika nini zaidi ya kuleta porojo eti Palestina siyo Taifa. Dunia nzima unajua kwamba Palestina lilikuwa koroni la Waingereza mpaka kwenye late 1940s, baadae ndiyo nchi hiyo ikatolewa kipande na kuhunda taifa la Israel, kwani Ronsenberg hilo alijuhi?

Tafadhali tafuta ramani ya Mashariki ya kati ya kuanzia late 1800 mpaka 1945 angalia kama kuna taifa lilijulikana kama Palestina au la, achana na RONSENBERB yeye ana agenda ya siri HAPA.

Mwisho unaweza kueleza wana JF jina lako la "Schneider" (kama ni jina lako kweli)lina uhusiano gani wa karibu na thread hii?

I might be a Jew, who knows. Soma kuhusu Ottoman Empire A timeline and history of the Arabs, the Turks and the Persians
 
I might be a Jew, who knows. Soma kuhusu Ottoman Empire A timeline and history of the Arabs, the Turks and the Persians

Mkuu impression unayotoa, ni as if hukujawahi kuwepo Taifa lililo kuwa linajulikana kama Palestine, hebu tuji-confine kwenye timeline inayozungumzia historia ya Palestine na nini kilicho jili mpaka kuzaliwa Jewish State (Israel); na hapa nanukuu:
"1885
: Jews from central and eastern Europe emigrate to Palestine

1897: Jews of Palestine led by Theodor Herzl at Basel (Switzerland) call for the creation of a Jewish homeland in
Palestine (first Zionist Congress)
1914: there are 85,000 Jews in Palestine
1917: the "Balfour Declaration" by the British government promises a Jewish homeland in Palestine
1917: Exodus of Jews from Egypt to British Palestine
1920: Palestine becomes a British protectorate
1922: Britain receives a mandate from the League of Nations to create a homeland for the Jews in Palestine, which starts large-scale Jewish immigration from Europe
1929: hundreds of people die in clashes between Arabs and Jews in Palestine
1933: There are 800,000 Arabs and 200,000 Jews in Palestine
Apr 1936: Arabs revolt against British rule in Palestine (first "intifada")
1946: Jewish terrorists, led by Menachem Begin, bomb and destroy the King David Hotel in Jerusalem, the British military and civilian headquarters
1947: 800,000 Arabs live in Palestine
1947: the United Nations orders a partition of Palestine in a Jewish state (Israel), an Arab state and an international zone around Jerusalem
1948: on the same day that Israel declares its independence."

Hii inadhihilisha kwamba Taifa la Palestina lilikuwepo tangu miogo mingi tu, na Taifa la Israel lilitokana na kumegwa kwa Taifa la Palestina.
 
Wapelestina walikuwepo palestine miaka maelfu, utawezaje kusema hawana haki ya kuwepo katika nchi ile(israel ya leo)?

Leo tanzania tuna kabila la wangoni ambao walihamia kutoka south africa, je si tunawachukulia kwamba ni watanzania bila kujali asili yao?. Je wangoni wakirudi south africa wanaweza kudai kwamba ile ni nchi yao kwa sababu mababu zao walikwenda ukimbizini miaka mamia iliyopita?
 
Mkuu impression unayotoa, ni as if hukujawahi kuwepo Taifa lililo kuwa linajulikana kama Palestine, hebu tuji-confine kwenye timeline inayozungumzia historia ya Palestine na nini kilicho jili mpaka kuzaliwa Jewish State (Israel); na hapa nanukuu:
"1885
: Jews from central and eastern Europe emigrate to Palestine

1897: Jews of Palestine led by Theodor Herzl at Basel (Switzerland) call for the creation of a Jewish homeland in
Palestine (first Zionist Congress)
1914: there are 85,000 Jews in Palestine
1917: the "Balfour Declaration" by the British government promises a Jewish homeland in Palestine
1917: Exodus of Jews from Egypt to British Palestine
1920: Palestine becomes a British protectorate
1922: Britain receives a mandate from the League of Nations to create a homeland for the Jews in Palestine, which starts large-scale Jewish immigration from Europe
1929: hundreds of people die in clashes between Arabs and Jews in Palestine
1933: There are 800,000 Arabs and 200,000 Jews in Palestine
Apr 1936: Arabs revolt against British rule in Palestine (first "intifada")
1946: Jewish terrorists, led by Menachem Begin, bomb and destroy the King David Hotel in Jerusalem, the British military and civilian headquarters
1947: 800,000 Arabs live in Palestine
1947: the United Nations orders a partition of Palestine in a Jewish state (Israel), an Arab state and an international zone around Jerusalem
1948: on the same day that Israel declares its independence."

Hii inadhihilisha kwamba Taifa la Palestina lilikuwepo tangu miogo mingi tu, na Taifa la Israel lilitokana na kumegwa kwa Taifa la Palestina.

The term "
Palestine" is believed to be derived from the Philistines, an Aegean people who, in the 12th Century B.C., settled along the Mediterranean coastal plain of what are now Israel and the Gaza Strip. In the second century C.E., after crushing the last Jewish revolt, the Romans first applied the name Palaestina to Judea (the southern portion of what is now called the West Bank) in an attempt to minimize Jewish identification with the land of Israel. The Arabic word "Filastin" is derived from this Latin name.

The Hebrews entered the Land of Israel about 1300 B.C, living under a tribal confederation until being united under the first monarch, King Saul. The second king, David, established Jerusalem as the capital around 1000 B.C. David's son, Solomon built the Temple soon thereafter and consolidated the military, administrative and religious functions of the kingdom. The nation was divided under Solomon's son, with the northern kingdom (Israel) lasting until 722 B.C., when the Assyrians destroyed it, and the southern kingdom (Judah) surviving until the Babylonian conquest in 586 B.C. The Jewish people enjoyed brief periods of sovereignty afterward before most Jews were finally driven from their homeland in 135 A.D.

Jewish independence in the Land of Israel lasted for more than 400 years. This is much longer than Americans have enjoyed independence in what has become known as the United States.In fact, if not for foreign conquerors, Israel would be 3,000 years old today.

Palestine was never an exclusively Arab country, although Arabic gradually became the language of most the population after the Muslim invasions of the seventh century. No independent Arab or Palestinian state ever existed in Palestine. When the distinguished Arab-American historian, Princeton University Prof. Philip Hitti, testified against partition before the Anglo-American Committee in 1946, he said: "There is no such thing as 'Palestine' in history, absolutely not."

Prior to partition, Palestinian Arabs did not view themselves as having a separate identity. When the First Congress of Muslim-Christian Associations met in Jerusalem in February 1919 to choose Palestinian representatives for the Paris Peace Conference, the following resolution was adopted:

We consider Palestine as part of Arab Syria, as it has never been separated from it at any time. We are connected with it by national, religious, linguistic, natural, economic and geographical bonds.

In 1937, a local Arab leader, Auni Bey Abdul-Hadi, told the Peel Commission, which ultimately suggested the partition of Palestine: "There is no such country [as Palestine]! 'Palestine' is a term the Zionists invented! There is no Palestine in the Bible. Our country was for centuries part of Syria."

The representative of the Arab Higher Committee to the United Nations submitted a statement to the General Assembly in May 1947 that said "Palestine was part of the Province of Syria" and that, "politically, the Arabs of Palestine were not independent in the sense of forming a separate political entity." A few years later, Ahmed Shuqeiri, later the chairman of the PLO, told the Security Council: "It is common knowledge that Palestine is nothing but southern Syria."

Palestinian Arab nationalism is largely a post-World War I phenomenon that did not become a significant political movement until after the 1967 Six-Day War and Israel's capture of the West Bank.

Original by Dandy
 
the term "
palestine" is believed to be derived from the philistines, an aegean people who, in the 12th century b.c., settled along the mediterranean coastal plain of what are now israel and the gaza strip. In the second century c.e., after crushing the last jewish revolt, the romans first applied the name palaestina to judea (the southern portion of what is now called the west bank) in an attempt to minimize jewish identification with the land of israel. The arabic word "filastin" is derived from this latin name.

the hebrews entered the land of israel about 1300 b.c, living under a tribal confederation until being united under the first monarch, king saul. The second king, david, established jerusalem as the capital around 1000 b.c. David's son, solomon built the temple soon thereafter and consolidated the military, administrative and religious functions of the kingdom. The nation was divided under solomon's son, with the northern kingdom (israel) lasting until 722 b.c., when the assyrians destroyed it, and the southern kingdom (judah) surviving until the babylonian conquest in 586 b.c. The jewish people enjoyed brief periods of sovereignty afterward before most jews were finally driven from their homeland in 135 a.d.

jewish independence in the land of israel lasted for more than 400 years. This is much longer than americans have enjoyed independence in what has become known as the united states.in fact, if not for foreign conquerors, israel would be 3,000 years old today.

palestine was never an exclusively arab country, although arabic gradually became the language of most the population after the muslim invasions of the seventh century. No independent arab or palestinian state ever existed in palestine. When the distinguished arab-american historian, princeton university prof. Philip hitti, testified against partition before the anglo-american committee in 1946, he said: "there is no such thing as 'palestine' in history, absolutely not."

prior to partition, palestinian arabs did not view themselves as having a separate identity. When the first congress of muslim-christian associations met in jerusalem in february 1919 to choose palestinian representatives for the paris peace conference, the following resolution was adopted:

we consider palestine as part of arab syria, as it has never been separated from it at any time. We are connected with it by national, religious, linguistic, natural, economic and geographical bonds.

in 1937, a local arab leader, auni bey abdul-hadi, told the peel commission, which ultimately suggested the partition of palestine: "there is no such country [as palestine]! 'palestine' is a term the zionists invented! There is no palestine in the bible. Our country was for centuries part of syria."

the representative of the arab higher committee to the united nations submitted a statement to the general assembly in may 1947 that said "palestine was part of the province of syria" and that, "politically, the arabs of palestine were not independent in the sense of forming a separate political entity." a few years later, ahmed shuqeiri, later the chairman of the plo, told the security council: "it is common knowledge that palestine is nothing but southern syria."

palestinian arab nationalism is largely a post-world war i phenomenon that did not become a significant political movement until after the 1967 six-day war and israel's capture of the west bank.

original by dandy

so what do you want to say!, the palestinians dont deserve a country, peace, liberty and pursuit of happiness?.
So far the jews who migrated to israel had already other nationality other than palestine(now israel), why didn't they remain as citizens in those countries and fight for civil rights instead of claiming the land "presumably" their ancestors lived 2000 years ago!.

We even see some jews in america hiving two citizenship, america and israel, then tell us who deserve more to be in palestine(israel), the person who was there till 60 years ago and still alive/children/grand children still in refugee camps or a person who claim his ancestors were there 2000 years ago while enjoying all civil rights in other countries such as america, russia etc?

Strangely though, even jewish converts throughout history claim more to israel land than the inhabitants palestine people!.

I cannot imagine how the irish people of america, or african americans would forcefully try to occupy countries or land their ancestors came from 500 years ago, much less those who left the land 2000 years ago!.

Palestine was there as a british protectorate, there were people living there, it doesn't matter whether it was a province of syria, or what, but the fact is, the people of palestine those who are in refugee camps, those people who are countryless need the land they came from, whether to co-exist with the modern israelites, it is a matter of them to decide however it is silly to deny people a country they have stayed in for more than 1000 years.

Palestinians didn't drive away the hebrews from israel, the romans and babylonians did!- so how can you blame the people who came from different provinces of the roman empire 2000/1500 years ago to settle in that land?
 
You don't get it. How can Palestines cry for a County which is not theirs? Those invented Palestines must find a place to go. Bad luck hawatakiwi hata Jordan! Do you see that?

Unazugumzia Jews ambao wana dual Citizenship, does that change them from been Jews? Peter Tosh said as follows:
Don't care where you come from, As long as you're a black man, you're an African, No mind your nationality, You have got the identity of an African.

There is nothing strange for someone to go back home. Unakumbua Marcus Mosiah Garvey? Kwanini aliitwa Black Moses? Please try to understand me as follows: Marcus Mosiah Garvey of Jamaica entered the emancipation fight of human race, his fight was for the redemption of a country.
raceandhistory.com - MARCUS GARVEY

African American wengi tu wamesha anza kurudi Africa. Angalia data zako. Jimmy Cliff is now living in Africa. The wife of Bob together with Ziggy wanaishi Africa. So, how hard is for Jews to go back home, the Promise Land, Israel?

You said,
"it doesn't matter whether it was a province of syria," why not? That is the fact. Sasa kwanini unakataa fact na kulazimisha kuwa pale ni kwao?

Finally, you said, Paletines did not drive away the Hebrews, but it was the Roman Empire cause. That is why the owners of the Land, The Israelites, want it back. All squatters-Palestines- must go.

you don't get it. How can palestines cry for a county which is not theirs? Those invented palestines must find a place to go. Bad luck hawatakiwi hata jordan! Do you see that?

Unazugumzia jews ambao wana dual citizenship, does that change them from been jews? Peter tosh said as follows:
don't care where you come from, as long as you're a black man, you're an african, no mind your nationality, you have got the identity of an african.

there is nothing strange for someone to go back home. Unakumbua marcus mosiah garvey? Kwanini aliitwa black moses? Please try to understand me as follows: Marcus mosiah garvey of jamaica entered the emancipation fight of human race, his fight was for the redemption of a country.
raceandhistory.com - marcus garvey

african american wengi tu wamesha anza kurudi africa. Angalia data zako. Jimmy cliff is now living in africa. The wife of bob together with ziggy wanaishi africa. So, how hard is for jews to go back home, the promise land, israel?

You said,
"it doesn't matter whether it was a province of syria," why not? That is the fact. Sasa kwanini unakataa fact na kulazimisha kuwa pale ni kwao?

Finally, you said, paletines did not drive away the hebrews, but it was the roman empire cause. That is why the owners of the land, the israelites, want it back. All squatters-palestines- must go.

look at things objectively!. Everyone came from africa!, we are told that the origin of man is africa, and then mankind started to migrate to oteher parts of the world!. If that is the case i can't imagine if the chinese say we want to go back home t africa where our ancestors came from millions of years ago, i can't imagine who will accept that.

Or let say, the american white man, go back his ancestral homeland, such as uk, italy, german and kick out the black britions,pakistani britons, arab italians to give him a space, who in the modern world would accept that?.

Or let say the africa black man start the war to remove arabs from libya, morocco etc by claiming that arabs should go back to arabia, who will accept this?

By the way, saudi arabia was not a country 150 years ago, libya was not a country 100 years ago, tanzania was not, kenya was not, america was not a country 450 years ago all these countries or their parsts were colonies or provinces of the empires of that time, so is palestine-it was a province of roman empire at one time and then a province of the ottoman empire and then a protectorate under the british, so if other colonies/provinces of the former empires came to be independent and become recognized countries ,then why palestines and the inhabitants of palestine(palestinians) cannot be allowed to determine their own destiny by forming a country in that land?.

And One Thing which you dont get is! AFRICA IS NOT EXCLUSIVELY FOR BLACKS!- WE HAVE WHITES IN SOUTH AFRICA, THEY CALL AFRICA HOME, WE HAVE ARABS IN AFRICA( LIBYA, EGYPT, MOROCCO, ALGERIA) AFRICA CONTINENT IS THEIR HOME!, ALL THESE PEOPLE MIGRATED FROM THE OTHER PARTS OF THE WORLD, BUT SO LONG AS THEY ARE HUMAN BEINGS THEY HAVE THE RIGHT TO DIGNITY, IDENTITY, JUSTICE AND PURSUIT OF HAPPINESS.
PALESTINIANS HAVE BEEN IN PALESTINE MORE THAN 2000 YEARS, IF THAT CAN'T MAKE OTHER HUMAN BEINGS ACCEPT THAT PALESTINES IS THEIR LAND THEN I DONT SEE HOW THE WORLD CAN ACCEPT WHITE SOUTH AFRICANS TO BE A PART OF SOUTH AFRICA. NO MORE APARTHEID!
 
Umeongea mambo mengi lakini sijaona kitu......huwezi kurutubisha madini ya uranium huku ukitangaza kuiondoa nchi fulani kwenye uso wa dunia.....! hivi inge kuwa iran wamesema wanampango wa kuipoteza Yanzania kwenye uso wa dunia unadhani tungelala?? inge kuwa mshike mshike lazima tunge wafanyizia tu kwanza!

Nchi nyingi tu zina nyukilia lkn hazisemi zina mpango wa kuipoteza nchi fulani duniani!

Inaingia akilini kweli kwamba IRAN inaweza ku-entertain wazo la kuivamia Israel kweli? Kusema na kutekeleza ni vitu viwili tofauti. Wairani siwajinga kutaka kijihingiza kwenye vita ambavyo vinaweza kusababisha nchi yao kupigwa mabomu in retaliation kutoka washirika wa NATO, mimi binafsi siamini kwamba nchi hiyo hiko tayari kupigwa mabomu back to "STONE AGE!"

Iran kusema kwamba wataifuta Israel kwenye uso wa dunia ni porojo tu za kutaka kuzinduwa Dunia hili i-address matatizo ya Wapalestina kiukweli kweli na siyo ku-buy TIME tu wakiacha Wapalestina wanakosa haki zao za kimsingi as if they do not exist-what a shame to Internation Community! Tunabaki kuisakama IRAN left,right and center hili kuilinda Israel iendelea kuwaonea binadamu wenzao with impunity! You don't need to be a rocket scientist to know kwamba IRAN haiwezi kuwa na nia thabiti ya kuivamia Israel, IRAN inajuwa hilo linaweza kusababisha mahafa yasiyo kifani kwa nchi YAO.

Kwani Iran kuwa na maelfu ya Aluminium centrifuge cannisters ndiyo kunaifanya IRAN iwe na uwezo wafua weapon grade plutonium? Mimi nafikili kuna tofauti kubwa kati ya Atomic reactors na Nuclear Bombs, mbona wa Israel wana atomic Reactors na Nuclear Bombs na hakuna mtu amewahi kuwakemea au ku-inspect sites zao-kwani wao wako above the International norms-kwa nini Israel inashinikiza Dunia iwaone WAIRAN ni wabaya, why? Why pick on IRANIANS.

Talk about September the 11th, mabomu kwenye underground trains na Mabasi mjini London, mabomu ya kwenye train mjini Madrid, na hili la tukio la Ufaransa and what have you - matatizo yote hayo chimbuko lake ni kutaka kuwatetea Wapalestina na nchi yao, leo hii tujidanganye eti Dunia itakuwa na amani bila ya kumaliza tatizo hilo? haiwezekani na wala tusijidanganye, kuna Wa-Israel wengi tu wasiyo taka hali hii iendelea duniani wakose amani ya kuwatembelea watu wengine duniani, na wengine wanafikia hatua ya kubadilisha majina yao kwa ajili ya usalama WAO, je hii ndiyo Dunia ambayo tunataka tuishi? Jeuli ya nchi moja tu ituletee vurugu dunia NZIMA! why?
 
Back
Top Bottom