Israeli-long live

Status
Not open for further replies.
Umesema kinyume!, Marekani bila waisrael haina lolote. wakiondoa mitaji yao na kufunga ofisi zao zilizoko marekani, marekani itakua kama butu kama urusi. Jeuri yote ya marekani ni waisrael ndio maana wanawaheshimu na kuwaogopa sana

Sasa kwa nini hao Waisrael wenu wasiwekeze kwao ili kuwe baab kubwa kama kulivyo Marekani?
 
Sasa kwa nini hao Waisrael wenu wasiwekeze kwao ili kuwe baab kubwa kama kulivyo Marekani?
Kuwekeza kwao? Hujafika Tel Aviv wewe Kuna kampeni ya kurejesha jew wote Duniani ili maandiko yatimie na Jerusalem mpya itajengwa huu mgogoro wa makazi ufuatilie fresh hadi ule Msikiti Mkubwa zilipokutwa Nguzo za hekaru la King David litajengwa Tena Maandiko yatatimia na kila atakaye jipendekeza kipinga kwa nguvu za fukufuku la vita atapigwa kichapo na kudhoofika Ni Maandiko tu usiogope Mtume Irani then uje muonea huruma kama Iraq.

tulia kwanza na Ban lako hahah Pole Ngabu Ushatukana sehemu nini?
anyway tutakukumbuka japo hutochelewa kuja upya na nick Nyingine
 
Nakuelewa sana na jinsi unavyotaka kunibana na hoja yako ila we piga tu box ila ujue jamaa wana-control uchumi
............... Mwenyezi Mungu amesema hawa jamaa ni mafisadi sana, na ndo maana Dunia inayumba !
 
Mi nawakubali sana waisrael!, kiburi chao (CCM) kuvunja ubarozi nao (waisrael) kinatuponza (watanzania). laana inatutafuna

MUNGU IBARIKI ISRAEL, MUNGU tuondolee laana hii ya umaskini wa fikra
........................ kumbe kila nchi yenye ubalozi na hawa jamaa imebarikiwa eeenh !? sijui kwa vigezo gani ? ............... ngoja nimuulize "Masaburi" wewe umetumia kiungo gani kujenga hii hoja
 
Israel hawana lolote. Wanasaidiwa na Marekani. Na bila ya Marekani kuna uwezekano mkubwa sana wangekuwa wameshafutwa katika ramani ya dunia.

Mnakapamba tu hako kanchi kwa sababu za kidini. Ni kichekesho kikubwa mtu kudai eti Israel ndiyo super power pekee hapa duniani.

NN am glad at least wewe unaona ukweli huo, hata wa-israel wenyewe wanajua. lakini inaonekana kuwa watu wanadhani Israel inaweza ku-exist bila Marekani. Nasrallah na Ahmedinejad wanaweza ku-iobliterate Israel kama kusingekuwa na msaada wa US na west. Uwezo wa Israel ni mdogo sana kuliko walokole wanavyofikiri.
 
ally kombo....Israel hater, Christian hater and mockerer....well done. But hivi ile vita ya nanihii ambayo Urusi aliwasasidia kufanya cease fire Marekani walichangia kiasi gani?
 
haaaapo kwenye red baana. lile ni lango. mzaliwa wa kwanza. wana wa ahadi. waulize wamisri na mafarao wao wanajua.ni kwa sababu ya kuwaza kua wana uwezo mdogo sana kunakoyaponza mataifa. ni ubishi tu na ukaidi wa kufikiri na kuutambua ukweli. na kwa vile shetani anajua watu wakijua ukweli kuhusu Israel watafunguliwa macho ndo maana anatumia maarifa kibao na mbinu nyingi kuwapotosha, anajua wale ni wa baraka na anaelibariki hubarikiwa. ndio maana anawaghilibu watu wengi kulilaani na bila wao kujua wanapata laana kisha wanabaki kuilaumu israel.
kamwe Hamtaweza kuifutilia mbali Israeli, Ibrahimu aliambiwa uzao wake utabarikiwa, utakua na nguvu, na watakua wengi.
 
Kuwekeza kwao? Hujafika Tel Aviv wewe Kuna kampeni ya kurejesha jew wote Duniani ili maandiko yatimie na Jerusalem mpya itajengwa huu mgogoro wa makazi ufuatilie fresh hadi ule Msikiti Mkubwa zilipokutwa Nguzo za hekaru la King David litajengwa Tena Maandiko yatatimia na kila atakaye jipendekeza kipinga kwa nguvu za fukufuku la vita atapigwa kichapo na kudhoofika Ni Maandiko tu usiogope Mtume Irani then uje muonea huruma kama Iraq.

tulia kwanza na Ban lako hahah Pole Ngabu Ushatukana sehemu nini?
anyway tutakukumbuka japo hutochelewa kuja upya na nick Nyingine

Hivi unaweza kuilinganisha Tel Aviv na Seattle? Au na Atlanta? Au na L.A.? Hahahahahaaa mweh!
 
NN am glad at least wewe unaona ukweli huo, hata wa-israel wenyewe wanajua. lakini inaonekana kuwa watu wanadhani Israel inaweza ku-exist bila Marekani. Nasrallah na Ahmedinejad wanaweza ku-iobliterate Israel kama kusingekuwa na msaada wa US na west. Uwezo wa Israel ni mdogo sana kuliko walokole wanavyofikiri.

Kuilinganisha Israel na Marekani au kusema Israel ni superpower ni kichekesho cha hali ya juu. Nadhani ni unazi wa yesu tu ndo unawafanya watu wagubikwe na wingi machoni mwao.

Eti Israel ni superpower...ahahahahahaaaa
 
ally kombo....Israel hater, Christian hater and mockerer....well done. But hivi ile vita ya nanihii ambayo Urusi aliwasasidia kufanya cease fire Marekani walichangia kiasi gani?

............ inaikumbuka ile ya mwisho mwisho ya Israel na Hizbullah, wakiongwaza na Sheikh Hassan Nasrallah, mwezi mzima jamaa hakufurukuta na picha za mwisho zilionyesha wanarudisha vifaru vyao vikiwa vimeharibika vibaya. Waliishia kumfukuza kazi Mkuu wa Majeshi !:horn:
 
Mungu Ibariki Israel, Mungu akulinde na akupiganie. Kila adui anayeinuka juu yako hata fanikiwa. Biblia inasema At the end of it all you will be victors! ASOMAYE na AFAHAMU
 
NN am glad at least wewe unaona ukweli huo, hata wa-israel wenyewe wanajua. lakini inaonekana kuwa watu wanadhani Israel inaweza ku-exist bila Marekani. Nasrallah na Ahmedinejad wanaweza ku-iobliterate Israel kama kusingekuwa na msaada wa US na west. Uwezo wa Israel ni mdogo sana kuliko walokole wanavyofikiri.
hapo bolded-nazan tungewauliza waarabu wenyewe juu ya uwezo wa isarel-naamin kwa kua wao ndo majiran wao-wanawafaham vyema,na watatoa jibu sahihi
 
hapo bolded-nazan tungewauliza waarabu wenyewe juu ya uwezo wa isarel-naamin kwa kua wao ndo majiran wao-wanawafaham vyema,na watatoa jibu sahihi

Huo perceived uwezo ni kwa kiasi kikubwa ni msaada wa Marekani na iko misaada ya Marekani kwa Israel iko documented.

Kuiweka Israel level moja na Marekani ni ushabiki wa Simba na Yanga. Mtu mwenye akili timamu na asiyesukumwa na hisia za kidini hawezi kamwe kuziweka hizo nchi mbili katika mzani mmoja. Marekani ni Marekani. Israel haiko juu ya Marekani.
 
let see,
kwa nini Marekani wanakuwa 'wema' hivyo kwa Israel?
 
Ee Israel umebarikiwana bwana MUNGU wako nawe ni mzaliwa wake wa kwanza. Hata uovu ungejipanga juu yako utatawanyikia katika milango saba na mkono wa MUNGU wako hautakuaacha hata litakapo timia neno la MUNGU wako.
 
Sasa huo uchumi wanaukontrolia wapi? Si huko huko kwao...wewe nshakustukia wewe. Unataka kunibania ili ufaudu mwenyewe. Sidanganyiki na sasa mimi nakwenda huko Israel tukabanane huko huko. Kwanza kwani huko hakuna box? Kama wao wanaukontroo uchumi basi hata box lao litakuwa baab kubwa. Acha ubanizi bana.
Lol, haya bwana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom