Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,921
- 31,155
Heshima kwako Ab,
Ni kweli hakuna uhusiano wa moja kwa moja unaohusisha Israel & Mosad na kifo cha Bwana Mahmoud al-Mabhouh lakini tusisahau operation nyingi zilizowahi kufanywa na Mossad dhidi ya Palestina hakuna ofisa wa Israel aliekubali kuwepo kwa operation za kuwauwa wapelestina ambao kwa namna moja au nyingine walihusika na kuhujumu Israel interest,kuna ile operation wrath of God ambayo ilisimamiwa na Mossad baada ya mauaji Munich mwaka 1972.
Waarabu [Palestina] waliohusika na hujuma zozote dhidi ya Israel hata wajifiche wapi lazima mkono wa Mossad uwafikie,hata makamanda wa Hamas wanalijua hilo nashangaa sana inapotokea mmoja wao kawahiwa wanapiga kelele lakini wakirusha maroketi Israel wanapongezana !!!!!!.Kama Mahmoud al-Mabhouh alihusika kuhujumu Israel alistahili adhabu aliyomkuta hakuna kulalamika au kutafuata mchawi.