Israel waandamana maisha magumu

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Zaidi ya watu 400,000 wakidai haki za kijamii walimiminika katika miji mbalimbali nchini Israel usiku wa jumamosi, katika maandamano ya kutokuridhika na uchumi wa jamii ambayo yameikumba nchi hiyo tangu katikati ya mwezi Julai.
Maandamano hayo makubwa yalifanyika mjini Tel Aviv, ambako kiasi ya watu 400,000 walikusanyika katika eneo la uwanja wa taifa mjini humo. Waandamaji hao walikuwa wanapinga mfumuko wa gharama za nyumba, mishahara midogo. Matibabu duni na kodi kubwa
SOURCE: BBC NEWS
 
Back
Top Bottom