Is it true?? i am not sure kama kweli Iran ilisema hivyo, Iran haijawahi kusem kuwa inataka kuondoka Israel kwenye ramani ya dunia. Kama nakumbuka vizuri ni Ahmedenejad ndiye alisema hivyo, tena Iran ni nchi yenye jews wengi zaidi kuliko nchi yoyote mashariki ya kati mbali na Israel yenyewe, Ahmedinejadi himeself has jewish ancestry. Mkuu unatakiwa kuwa mkweli na kuwa na facts, you can not quote the mad man and use his words to demonize the whole population of Iran. YOu need to have a good mind to process and analyze what you read and hear. It is more complicated than that.
Be sure that Israel ni karata ya US, kwenye mchezo wake wa mashariki ya kati na siasa za kujiografia na Russia.
You are talking of jews who were killed, unajua ni waafrika wangapi waliuawa? au unajua wazungu wangapi waliuawa kwenye second world war?
sasa mkuu, ahmadnejan akisema si ndo iran wanakuwa wamesema?? yeye si ndio rais wa iran, so whatever he says wakati akiwa rais basi hayo ndo mawazo na msimamo wa nchi yake..that's how it is politically, ndo maana mkwere alivosema hajui kwann nchi yake maskini magazeti (nilisoma moja la nje) yaliandika, the president of tanzania who doesn't know why his country is poor....walim quote kama president for his capacity, lakini sio kweli kwamba mm na wewe hatujui kwann this country is poor..tunajua..so iran said so..infact israel has done alot of bad things..so are america, afgan, waingereza na nchi nyingi tuu...wametofautiana in which capacity tuu..ila unawezakuta america has done worse than israel..international politics are very tricky..ni kama vile waswahili tunavosema kunya anye kuku akinya bata kaharisha...akifanya mwenzio unaona kavunja rekodi ila ya kwako unaona poa tuu...kuna ujambazi gani mwingine kama wa kuiba billions of tax payers money ambazo mwisho wa siku ndo sababu kwa akina mama wetu kujifungulia barabarani?? wote ni wahaini, wote wauaji..hata hapa tz tuna rekodi nyingine za uuaji hatufikii hata kwa israel...