Israel Preparing Options To Strike Iran...

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
IDF preparing options for Iran strike

By YAAKOV KATZ

The IDF is drawing up options for a strike on Iranian nuclear facilities that do not include coordination with the United States, The Jerusalem Post has learned.

While its preference is to coordinate with the US, defense officials have said Israel is preparing a wide range of options for such an operation.

"It is always better to coordinate," one top Defense Ministry official explained last week. "But we are also preparing options that do not include coordination."

Israeli officials have said it would be difficult, but not impossible, to launch a strike against Iran without receiving codes from the US Air Force, which controls Iraqi airspace. Israel also asked for the codes in 1991 during the First Gulf War, but the US refused.

"There are a wide range of risks one takes when embarking on such an operation," a top Israeli official said.

Several news reports have claimed recently that US President George W. Bush has refused to give Israel a green light for an attack on Iranian facilities. One such report, published in September in Britain's Guardian newspaper, claimed that Prime Minister Ehud Olmert requested a green light to attack Iran in May but was refused by Bush.

In September, a Defense News article on an early warning radar system the US recently sent to Israel quoted a US government source who said the X-band deployment and other bilateral alliance-bolstering activities send parallel messages: "First, we want to put Iran on notice that we're bolstering our capabilities throughout the region, and especially in Israel. But just as important, we're telling the Israelis, 'Calm down, behave. We're doing all we can to stand by your side and strengthen defenses, because at this time, we don't want you rushing into the military option.'"

The "US European Command (EUCOM) has deployed to Israel a high-powered X-band radar and the supporting people and equipment needed for coordinated defense against Iranian missile attack, marking the first permanent US military presence on Israeli soil," Defense News wrote. The radar will shave several precious minutes off Israel's reaction time to an Iranian missile launch.

In a related article at about the same time, TIME magazine raised the possibility that through the deployment of the radar, America wants to keep an eye on Israeli airspace, so that the US is not surprised if and when the IAF is sent to bomb Iran, a scenario Washington wants to avoid.

The US army sent 120 EUCOM personnel to Israel's Nevatim Air Base southeast of Beersheba to man the new radar.

Last week, Iran's nuclear chief Gholam Reza Aghazadeh revealed that the country was operating more than 5,000 centrifuges at its uranium enrichment plant in Natanz and would continue to install centrifuges and enrich uranium to produce nuclear fuel for the country's future nuclear power plants.

"At this point, more than 5,000 centrifuges are operating in Natanz," said Aghazadeh, who is also the head of the Atomic Energy Organization of Iran. This represents a significant increase from the 4,000 Iran had said were up and running in August at the plant.

The Islamic republic has said it plans to move toward large-scale uranium enrichment that will ultimately involve 54,000 centrifuges.

Israeli officials said last week that the drop in oil prices and the continued sanctions on Iran were having an effect, although they had yet to stop Teheran's nuclear program. The officials said that while Iran was making technological advancements, it would not have the necessary amount of highly-enriched uranium for a nuclear bomb until late 2009.

"There is still time and there is no need to rush into an operation right now," another Israeli official said. "The regime there is already falling apart and will likely no longer be in power 10 years from now."

The IAF was preparing for a wide range of options, OC Air Force Maj.-Gen. Ido Nehushtan recently said, adding that all it would take to launch an operation was a decision by the political echelon.

"The air force is a very robust and flexible force," he told Der Spiegel. "We are ready to do whatever is demanded of us."

On Monday, Teheran dismissed the possibility of an Israeli strike, saying it didn't take Israel seriously.

"We think that regional and international developments and the complicated situation faced by Israel itself will not allow it to launch military strikes against other countries," Iranian Foreign Ministry spokesman Hassan Qashqavi told reporters in Teheran, according to the Press TV Web site. "Israel makes threats to promote its psychological and media warfare," he said.

IDF preparing options for Iran strike | Iran news | Jerusalem Post
 
Hivi hata sisi watanzania ingetokea rais wa nchi fulani anasema tunatakiwa kutoweshwa duniani, tungemwacha? naamini ni jambo la maana sana kumwahi mtu huyo kabla hajafanya unyama anaoutaka.
 
Hata ingekuwa Tanzania, tungesikia kuna nchi raisi wake anataka tutoweshwe duniani naamni jambo la maana lingekuwa kumwahi kabla yeye hajatimiza malengo yake
 
Naona habari hizi zinaanzishwa na Irani wenyewe kwa kuogopa kivuli chao wenyewe.
 
Iran is truggling to gain power over Israel, soon as they become capable of it they will eliminate that nation on the face of the world.

Israel has to take measure before the matter is too big to confront.

Beat them, beat them, beat their power, destroy their nuclear plants that is the only option they have. How to fulfill the mission is another lesson. Me and you have to sit aside and watch the outcome of the war.
 
Ngonalugali,

I see you are already beating up the drums of war but I tell you what,...

"Me and you have to sit aside and watch the
outcome of the war"
...

Hii kauli itabidi usahau. If ever that war breaks out,be advised that the whole
world will be pulled into it one way or another.

Jiulize, utajisikiaje iwapo jirani yako amefuga kila aina ya wanyama hatari na
silaha huku akidai kwamba hana mipango yoyote ya kuzitumia?...That is the
question that the Islamic countries in the Middle East have been asking themselves
ever since Israel was equipped with a nuclear bomb at the behest of the Americans.

They argued their case out for years and America did nothing but pay lipservice to
the whole conundrum of things. Leo hii jamaa wamechoka na wameamua kama
Mu-Israeli atakubaliwa kuweka Nuclear arsenal basi nao waarabu watafanya vivyo
hivyo...and that whats happening right now.
 
Ndugu, unamacho lakini naona hutaki kuona, una masikio lakini hutaki kusikia. Sasa ndiyo unafuga mi simba, chui huku ukisema nataka jirani yule ambaye anayo hii minyama tayari, nimmalize kabisa duniani asiwepo!!? Sasa we ndio kwanza unafuga bado vitoto. Hiyo roho angekuwa nayo huyo mzoefu wa kufuga si ungekuwa umeisha toweka kwenye uso wa dunia siku nyingi?
 
My point ni kwamba with the situation as it is, basi kila mtu ajihami.
Kumbuka kua hao wa-Israeli pia ni washari namba moja.

Kumbuka pia kua the Arab countries really petitioned the US against allowing
nuclear weapons in the Middle East nao wamarekani wakasema kwamba kwa
vile wa-Israeli wamezungukwa na adui basi hawana budi kujilinda. Hakuna
ailyetafakari kua 20yrs or 30 yrs don the line hao waarabu watakua pia wanateknolojia
ya nuclear..and then what?...Ndipo tulipo kwa sasa.
 
Mimi bado hoja yangu iko palepale, ni sahihi kwa mtu yeyote kutamka kuwa ataliangamiza lipotee kenye uso wa dunia taifa la mwenzie huku anafanya maandalizi ya kupata kiangamizio?
Maana huu ndio msingi wa ulicho andika yaani Israel kutaka kuishambulia Iran, Israel inaogopa kuondolewa kwenye uso wa dunia.
Niambie ndugu, unaunga mkono adui yako kuondolewa kwenye uso wa dunia?
 
Mimi bado hoja yangu iko palepale, ni sahihi kwa mtu yeyote kutamka kuwa ataliangamiza lipotee kenye uso wa dunia taifa la mwenzie huku anafanya maandalizi ya kupata kiangamizio?
Maana huu ndio msingi wa ulicho andika yaani Israel kutaka kuishambulia Iran, Israel inaogopa kuondolewa kwenye uso wa dunia.Niambie ndugu, unaunga mkono adui yako kuondolewa kwenye uso wa dunia?

....Israel na nchi zote duniani zinaamini kuwa Iranian Government haiwezi survive next three years. Hii inataokana na pressure ya kimataifa ya vikwazo. Siku za nyuma, uchumi ukiwa imara, Iran ilikuwa subsides kila kitu kwenye bidhaa za ndani. kwa mfano mafuta na chakula. Maisha yalikuwa safi kabisa na support kubwa kwa Serikali. Kuanzia enzi za Rafsanjanii. Lakini huyu Raisi wa sasa kasababisha m-binyo wa vikwazo uliosababisha life kuwa very miserable kule. Raia wengi sana hawataki kumwona huyu Raisi aliyepo madarakani kwa kuwasbabishia matatizo ya kiuchumi.

Iran ina watu 50 wanaodhibiti uchumi wake. kama ilivyo Israel 23, USA 254 na kwingine (sijui tz?). Sasa katika hii ya Iran, 12 katia ya hao ni wafanya biashara wa carpets. Mtakumbuka Iran ilikuwa mpaka miaka mitatu iliyopita inaongoza Duniani kwa bishara ya carpet (export). Sasa hakuna western country inanunua (vikwazo) as a results a large proportion ya revenues ime-drop na ajira kuwa mbaya sana.

Pia 23% ya petroleum ya Iran kwenye pipelines inapotea kutokana na uchakavu wa bomba. Hii ni kiwango kikubwa sana na kuleta athari kubwa sana nchi ile.

Sasa ukichanganya na contruction ya neclear reactor, ambayo inapingwa sana duniani, na hata raia wake wenyewe hawataki kusikia kwa sasa kwani siyo priority kwa maendeleao yao. Chances ni kubwa sana kuwa hata kama Israel haita-strike, USA itakibomoa tu. Wengi wanaamini hivyo nchini Iran kwenyewe, pamoja na wachunguzi wa siasa middle East.

Sasa kuna haja gani ya kung'ang'ania project ambayo tayari inakula kwenu in terms of vikwazo, badala ya ku-concentrate ku-repair pipelines na ku-boost export of traditional carpets ambayo wakifanya uzembe Korea (s) na China wanaweza kuidhibiti.

Then problem ni utawala. Dictotorship. The reason why justification ya nuclear power kwa Israel ni kubwa sana kuliko nchi zote za kiarabu. Israel is highly democratic society and decisions involves a a chain of organs. It is not the case for most Islamic countries. Na hii si ajabu kumsikia Rais wa Iran akisema kuwa wanatengeneza bomb kuindoa Israel kwenye ramani ya Dunia!
 
My point ni kwamba with the situation as it is, basi kila mtu ajihami.
Kumbuka kua hao wa-Israeli pia ni washari namba moja.

Kumbuka pia kua the Arab countries really petitioned the US against allowing
nuclear weapons in the Middle East nao wamarekani wakasema kwamba kwa
vile wa-Israeli wamezungukwa na adui basi hawana budi kujilinda. Hakuna
ailyetafakari kua 20yrs or 30 yrs don the line hao waarabu watakua pia wanateknolojia
ya nuclear..and then what?...Ndipo tulipo kwa sasa.

Naam kila mtu ajihami na kama anataka kuwa na nuclear basi aachiwe awe nayo. Si haki kabisa Mataifa machache duniani kuwa na silaha za maangamizi wakati huo huo wakipinga nchi nyingine kuwa na silaha hizo kwa kisingizio kwamba 'they are our enemies'. Huo ni uonevu ambao unastahili kukemewa kwa nguvu zote. Imagine Kenya wawe na nuclear halafu wanafanya juu chini kuhakikisha Tanzania haipati nuclear ili 'kuhakikisha' usalama wa Taifa lao. Hii si haki hata kidogo.
 
Mzee vipi? unataka kujihami huku unaapa kumuangamiza mwenzio atoweke kwenye uso wa dunia!?
 
Naam kila mtu ajihami na kama anataka kuwa na nuclear basi aachiwe awe nayo. Si haki kabisa Mataifa machache duniani kuwa na silaha za maangamizi wakati huo huo wakipinga nchi nyingine kuwa na silaha hizo kwa kisingizio kwamba 'they are our enemies'. Huo ni uonevu ambao unastahili kukemewa kwa nguvu zote. Imagine Kenya wawe na nuclear halafu wanafanya juu chini kuhakikisha Tanzania haipati nuclear ili 'kuhakikisha' usalama wa Taifa lao. Hii si haki hata kidogo.

BAK,

that is my point exactly..safi sana.

I believe Einsteen is really turning in his grave akijuta kuhusu ile
formula iliozundua this pandora's box.The day that bomb was dropped
in Hiroshima, the world should have known that was the end of normalcy
as we know it.

Kem fikiria jamaa wanajitundika na ma-nuclear arsenals kisha wanawaambia
wengine eti "you cant posses this weaponry maana hamuaminiki"...wanatumia
vigezo gani kusema who can and who cannot posses nuclear weapons?

Afu hua naonaga watu wakiwafagilia hawa wa-Israeli not knowing that the
problems Palestinians are facing would have been in our own backyard.Lakini
kwa vile wanaoumia ni waarabu wa Gafu basi isiwe tatizo.
 
Mimi bado hoja yangu iko palepale, ni sahihi kwa mtu yeyote kutamka kuwa ataliangamiza lipotee kenye uso wa dunia taifa la mwenzie huku anafanya maandalizi ya kupata kiangamizio?
Maana huu ndio msingi wa ulicho andika yaani Israel kutaka kuishambulia Iran, Israel inaogopa kuondolewa kwenye uso wa dunia.
Niambie ndugu, unaunga mkono adui yako kuondolewa kwenye uso wa dunia?

...unataka jibu hapo mkuu?....of course yesi!
 
Several issues here.. Iran is not a very nice country. They are highly volatile with a high level of control in the middle east... They seek to destabilize the Sunni countries like Saudi Arabia which has spent billions of dollars buying defence equipment from the US but it cant use.lol.. At the same time they, Iran ie.. have a right to nuclear power.

Israel is basically a self declared state on occupied territory that is recognized only because of the sematic and zionist bias of the West when the issue came up..
They are as it is said "An illegal state" that (as the US likes to say every time they attack their neighbours like in 2006) "has a right to defend itself"

They have 200 nuclear warheads.. this is enough to cause a nuclear winter that will kill 98% of the humans that inhabit the planet.. So Iran is not a threat and under no circumstances will it honestly attack israel because that would be suicidal..
But maybe they will and that will warrant a response from israel that would lead to the end of the world as we know it.. In 2012 is when this might all come to pass.. Lets wait and see. But Iran has rights although they are not exactly peace oriented. Israel is an illegal state which likes to dominate its neighbours militarily... sijui itakuaje, yangu macho.
 
BAK,

that is my point exactly..safi sana.

I believe Einsteen is really turning in his grave akijuta kuhusu ile
formula iliozundua this pandora's box.The day that bomb was dropped
in Hiroshima, the world should have known that was the end of normalcy
as we know it.

Kem fikiria jamaa wanajitundika na ma-nuclear arsenals kisha wanawaambia
wengine eti "you cant posses this weaponry maana hamuaminiki"...wanatumia
vigezo gani kusema who can and who cannot posses nuclear weapons?

Afu hua naonaga watu wakiwafagilia hawa wa-Israeli not knowing that the
problems Palestinians are facing would have been in our own backyard.Lakini
kwa vile wanaoumia ni waarabu wa Gafu basi isiwe tatizo.

Ab-Tichaz, Huu ni ujambazi tu wa kuendelea kuua binadamu wasiokuwa na hatia wakiwemo watoto kwa visingizio visivyo kuwa na kichwa wala miguu. Angalia jinsi Taifa kubwa walivyoidanganya dunia ili kuivamia na kuiharibu nchi hiyo waliyoivamia na kuua maelfu ya wasio na hatia na wengine kuwa wakimbizi katika nchi mbali mbali duniani. Waliidanganya dunia kwamba jamaa wana sila za mangamizi ya binadamu na wajua zilipohifadhiwa na baada ya uvamizi hakuna silaha zozote zilizopatikana bali ilikuwa na njama zao za kuhalalisha uharamia wao wanaofanya katika nchi mbali duniani.

Wao tangu vita ya 1967 wamekalia ardhi ambayo siyo ya kwao kwa miaka 41 sasa wakati dunia imefumbia macho swala hilo. Hakuna nchi yeyote duniani ambayo itakubali ardhi yao ikaliwe na Taifa jingine duniani. Katika vita vyetu na nduli hatukuikalia hata mita moja ya nchi yao mara baada ya vita vile kumalizika rasmi.

Walizoea kudekezwa kwa kupewa $3 billioni kila mwaka na silaha za kisasa ili ‘kujilinda'. Waombe uchumi wa Marekani utengamae haraka au watakuwa na hali ngumu ya kiuchumi ambayo itaweka katika wakati mgumu wa kuweza kuendeleza uharamia wao.

Kama silaha za maangamizi haziruhusiwi kwa nchi moja basi zisiruhusiwe kwa nchi zote.
 
But Iran has rights although they are not exactly peace oriented. Israel is an illegal state which likes to dominate its neighbours militarily... sijui itakuaje, yangu macho.

Hakuna nchi duniani yenye haki ya kujiamulia mambo mazito kivyakevyake..Na ndo maana kuna bodies mbalimbali za kuregulate mambo haya ya nuclear n.k. Si rahisi mtu eti kwa sababu ni nchi huru ukaruka mipaka ya convection za kimataifa..Never..
 
Back
Top Bottom