Israel launches deadly Gaza attacks

Si huwa nasikia kuwa hawa wayahudi na watutsi wanayo haki ya kuuwa na kuchinja watu wengine bila ya UN au Marekani au UK kulalamika.

...dude,you're too damn obsessed with tutsi..why so much hate? you kill almost one million of them lakini now you call them killers..the World is full of stupid people,seriously!
 
Nani alaumiwe kwa matukio yote haya??Hamas walikuwa wanaendeleza mashabulio ya maloketi licha kuonywa mara kadhaa na Israel na mataifa mengine yanayopenda amani,Hamas yaelekea walikuwa na godfather waliyekuwa wanamtumainia atawasaidia pindi mambo yatakapowaendea vibaya.
Mimi naona mtu wa kwanza wa kuilaumu Israel awe ambaye alikuwa amelaumu Hamas kwa ku-provoke Israel mpaka kuamua kushusha kipigo.
 
Iran sasa hivi mshiko unalega lega so ataishia kutoa moral support tuu.
 
Duh! Naona IDF is hitting and destroying everything...

Dude, I told you! It's like you don't read. They don't give a shit man! If they want something in Dar es Salaam, they will get out and get it'! They mean business! The best way to hide a thing from African is to put it in a book, uh!
 
hizi chopper walikuwa wanazifanyia majaribio few weeks ago modified version ya blackhawk with an enhanced sensors, naona wamezitumia kwenye last night attacks.
20 attacks usiku wa kuamkia leo, number ya waliokufa imefikia 271.
2i8gpjr.jpg
 
...Wale jamaa kupatana ni lazima waikomeshe Iran kuwachanganya Wapalestina kwa misaada ya fedha na mingine. Vinginevyo ni sawa na pruning ya trees.

Ni lazima kuwafanya Iran kuweko vitan...and then advance to get them stop sustaining the Terrorist!
 
... Obama ambaye ameonyesha uwezekano wa kukaa meza moja na 'maadui' wao ili kutafuta muafaka.

Ni Ujinga kukaa na terrorist kwenye meza moja ... kufikiri utapata muafaka...it has never worked on the history of this world... Its the same as empowering them..Wait and you will see!!
 
KUMBE MISRI NDIYO ILIYOIHADAA HAMAS ILI IPATE KIPIGO.

Egypt accused of 'deceiving' Hamas

London-based newspaper quotes sources who say Egyptian intelligence minister deliberately misled Palestinian organization about IDF intentions; Hamas sources say this is why movement's compounds were not evacuated
Egypt "collaborated" with Israel in its Gaza attack and lulled Hamas into thinking the Israel Defense Forces would not attack Gaza, the London-based Arabic-language newspaper al-Quds al-Arabi reported Sunday.
The report, based on Arab diplomatic sources, claims that Egyptian Intelligence Minister Omar Suleiman told a number of Arab leaders that Israel was intending to attack the Gaza Strip in a limited manner in order to pressure the Palestinian organization into agreeing to a renewed ceasefire.
According to the paper, Hamas was given a different message.
London-based al-Quds al-Arabi newspaper says Egyptian intelligence minister furious with Hamas' decision to shun talks with Fatah, adds Cairo would back limited Israeli operation in Strip in bid to loosen militant regime's grip on area
The sources quoted in the article asserted that Suleiman had told Foreign Minister Tzipi Livni, during her Thursday visit to Cairo, that it was important to avoid civilian casualties during an military operation in Gaza, in order to avoid inciting the Arab public.
Hamas sources close to former Palestinian Foreign Minister Mahmoud al-Zahar told the paper that Egypt told Hamas on Friday evening that Israel had agreed to begin negotiations about a potential ceasefire and would not attack Gaza before Cairo had attempted to settle the issue.
These sources noted that, in general, Hamas' internal ministry orders the evacuation of its security compounds following any Israeli threat of operative action. They had not done so this time based on Egypt's assurance that Israel wouldn't attack and based on the assumption that an IDF attack would not be launched on Saturday.
Egypt expressed formal censure of Israel's military operation in Gaza, via a message to the Israeli ambassador in Cairo, but also emphasized that Hamas was responsible for the deteriorating situation.
A formal source from the Egyptian Foreign Ministry told the ambassador that Israel must stop its military action in Gaza.
On the other hand, in a press conference Saturday, Egyptian Foreign Minister Ahmed Aboul Gheit held Hamas responsible, saying that "Egypt warned for a long time, and someone who ignores warnings is responsible for the outcome." He added that Prime Minister Ehud Olmert had also sent a warning to Hamas.
Earlier, Gheit had said, "we suspected this would happen. Hamas didn't stop shooting rockets at Israel."
A formal announcement by the administration in Cairo stated that "Egypt will continue and try to create an atmosphere that will allow for a reinstatement of the ceasefire and reconciliation between various Palestinian groups."
 
...dude,you're too damn obsessed with tutsi..why so much hate? you kill almost one million of them lakini now you call them killers..the World is full of stupid people,seriously!

By 2008 the war in Congo and its aftermath had killed 5.4 million Congolese people as reported by UN report!! ..and now we are witnessing 271 Palestinians being slaughtered.

Still you don know who are the killers and haters!!..interesting!
 
Ni Ujinga kukaa na terrorist kwenye meza moja ... kufikiri utapata muafaka...it has never worked on the history of this world... Its the same as empowering them..Wait and you will see!!

...kwenye nia inapatikana njia, hata Sinn Fein/IRA waliokuwa wanafadhiliwa na Irish Americans walihangaisha wee mwishowe wakakubali kukaa mezani na UK government, na mpaka sasa Military wing yao, na Military Op zao zimekuwa disbanded.

Tofauti ya Hamas na makundi mengine mfano; Black september, Black Brigade, Red army, nk ni kwamba kundi la Hamas lilichaguliwa kidemokrasia kushika hatamu ya kuongoza nchi ya Palestina, uchaguzi ulioshinikizwa na wamarekani na jumuiya ya kimataifa.

rejea;

If Israelis want peace, they have to talk to the people the Palestinians want, not those anointed and armed by Israel and the US.

One of the points about democracy is that sometimes the "wrong" people win. Many Americans and British looking at their present leaders can ruefully relate to that. Indeed, Ehud Olmert has popularity ratings within a statistical range of zero. Nonetheless, other governments and the political institutions inside their own countries continue to talk to them and recognize them. The rest of the world continued talking to, indeed pandering to Israel, even while the butcher of Sabra and Shatila was its prime minister. That's democracy.

The purpose of the Palestinian elections was to elect a government the Palestinians wanted, not one that Israel liked. Hamas won, fair and square, and did so against a background of Fatah incompetence and corruption that had been connived at, and indeed tacitly encouraged by the west and Israel, in return for Yasser Arafat's pliability at the negotiating table.
 
...lakini Hamas nao walipoanza kurusha rockets zao walikuwa wanategemea nini? sioni justification yeyote ya kuua 280 palestinians lakini inaonekana makombora yote yaliyoanguka Gaza wa kumlaumu ni hamas aliyeanza,hii kitu ni ngumu sana maana pande zote ziko driven na ideology kuliko reality,the best thing is not to take sides,tuwaache wachapane mpaka warudi kwenye senses zao,ila naamini mmoja lazima ashindwe vita ili waheshimiane,ila this time nafikiri Israel will put non stop maximum firepower ili kumaliza hii kitu once and for all na Hamas itabidi warudi mezani tuu na kuachana na ideological slogans of purity revolutions!
 
Duh! Naona IDF is hitting and destroying everything...

Dude, I told you! It's like you don't read. They don't give a shit man! If they want something in Dar es Salaam, they will get out and get it'! They mean business! The best way to hide a thing from African is to put it in a book, uh!
Get yur perspectives right Mr. Zungu Pule you might have meant-"the best way to hide a thing from Zungu Pule is to put it in a book"!!
 
...lakini Hamas nao walipoanza kurusha rockets zao walikuwa wanategemea nini? sioni justification yeyote ya kuua 280 palestinians lakini inaonekana makombora yote yaliyoanguka Gaza wa kumlaumu ni hamas aliyeanza,hii kitu ni ngumu sana maana pande zote ziko driven na ideology kuliko reality,the best thing is not to take sides,tuwaache wachapane mpaka warudi kwenye senses zao,ila naamini mmoja lazima ashindwe vita ili waheshimiane,ila this time nafikiri Israel will put non stop maximum firepower ili kumaliza hii kitu once and for all na Hamas itabidi warudi mezani tuu na kuachana na ideological slogans of purity revolutions!

Ukisema hivi unakuwa kama unawa-support Hamas. Hamas wale ni terrorists, period. Pale Palestina ni kama kuna serikali mbili. Moja chini ya Ismail Aniel wa Hamas kule Gaza na nyingine na Mahomod Abbas kule West Bank. Na kuna wa-palestina wengi sana wanaounga mkono mazungumzo ya amani na Israel. Lakini Hamas, kwa kushirikia na Iran na kwa sababu zao wenyewe, ndiyo tatizo la peace Israel/Palestine.

Mimi naunga mkono sana kitendo cha Egypt kuwachomea this time. Maana muda mwingi Israel waki-strike ni raia ndiyo wanaumia/wanakufa kuwa hamas compounds zao ni sehemu za uraiani na walikuwa wanateleza haraka sana wakihisi. Kama mtego, Israel ilituma sms kwa raia wote wa Gaza kuwaambia waondoke kwani kuna kipigo, lakini Hamas hawakuamini kama kweli Israel inaweza strike, kwanza jumamosi ambayo kwako ni holy na pia kwa false assurance ya Egypt kwamba hakuna kitu hicho. Kwa 100 tons za bombs zilizomwagwa jumamosi kwenye hq yao, sasa hivi wameshavurugwa kama Hezbulah. Will take years to recover. In the course of recovering wanaweza kwenda mezani sasa.
 
Back
Top Bottom