Israel has not 'already decided' to strike Iran

Hakuna kitu hapo... Westerns wanacho fanya kwasasa ni kujaribu kuongeza tension between this two countries. Na hii ni indirect strengthening of military power of IRAN.
1. As Iran become powerful enough, ISRAEL IS TO ATTACH PALESTINE(this will occur when PALESTINE become a complete state).
2. Since Iran has great military power,it will simultaneously start helping their brothers there in PALESTINE.
THERE AFTER,..... WHAT ARE YOU expecting???. WORLD WAR 3.
Ki ujumla hakuna vita yoyote inayoweza kutokea kwasasa mpaka pale PALESTINE atakapo kua TAIFA HURU.
PLANNED.

Uzuri ni kwamba theory sio lazima iwe sahihi
 
Kama walivyofanya kwa Gaddafi wakamzunguka kama Human Shield lakini Gaddafi walimtimua.
Kwa hawa wanafunzi nao Watabana mwisho wataachia si vizuri kumkabithi kichaa Rungu kwenye nyumba ya vioo hivyo Iran apigwe tu.
 
Kanisa la Kipentekosti Ujerumani lakosoa vitisho vya Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislam

Mkuu wa Kanisa la Kipentekosti nchini Ujerumani amekosoa hatua ya utawala wa kizayuni wa Israel ya kutoa vitisho vya kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

156832_m.jpg
Akizungumza mjini Magdeburg, mashariki mwa Ujerumani hapo jana,
Nikolaus Schneider amesema kuwa, ni jambo lisiloingia akilini kutaka
kutumia vita na vitisho katika kutatua chochote na kwamba, mkondo
unaofuatwa na Israel katika miamala yake na nchi za eneo sio sahihi.
Nikolaus Schneider amesema kuwa, ingawa nembo ya Ukristo na kanisa
imeasisiwa katika misingi ya Uyahudi, lakini kamwe hawawezi kufumbia
macho jinai na ukiukaji wa haki za kimsingi za binadamu unaofanywa na
utawala wa Kizayuni wa Israel. Aidha, Mkuu huyo wa Kanisa la
Kipentekosti nchini Ujerumani ameashiria kuwa, kanisa lake daima
limekuwa likikosoa siasa za Israel za kukalia kwa mabavu ardhi za nchi
nyingine.​
 
Watakuwa wanamakandokando ya Hitler. Iran lazima ichezee kichapo
 
Mtoa mada hebu lete source ya habari yako
pili wakati Iran inatangaza kuifuta Israel katika ramani ya Dunia walikuwa wapi kuipinga??? Hao wana chembechembe za Hitler na wana siasa za Chuki dhidi ya Israel.Acha Iran ipate haki yake.
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada hebu lete source ya habari yako
pili wakati Iran inatangaza kuifuta Israel katika ramani ya Dunia walikuwa wapi kuipinga??? Hao wana chembechembe za Hitler na wana siasa za Chuki dhidi ya Israel.Acha Iran ipate haki yake.

Ahmadinejad: Israel Will Disappear From Map - YouTube

The facts

Then, specialists such as Juan Cole of the University of Michigan and Arash Norouzi of the Mossadegh Project pointed out that the original statement in Persian did not say that Israel should be wiped from the map, but instead that it would collapse.

http://www.washingtonpost.com/blogs...d-off-the-map/2011/10/04/gIQABJIKML_blog.html
 
Waisrael wanapatikana wapi hapa dar?nataka nianze nao mimi kuwashikisha adabu wanawaua sana watoto wa palestina
 
Waisrael wanapatikana wapi hapa dar?nataka nianze nao mimi kuwashikisha adabu wanawaua sana watoto wa palestina

Wapo Arusha na Moshi. Arusha wana hadi synagog la kusalia njoo tuone kama wewe kidume utawafanya nn.....
 
Watakuwa wanamakandokando ya Hitler. Iran lazima ichezee kichapo

Waanze tu yetu macho na masikio. Vita ya tatu ya dunia. ​kiwachokoza Iran umewachokoza Hizbullah, si unajuwa hizbullah waliwafanya nini wayahudi juzi juzi?
 
Back
Top Bottom