Israel has not 'already decided' to strike Iran

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,826
2,056
Amidst a flurry of recent reports regarding a possible Israeli attack against Iran, Defense Minister Ehud Barak said on Monday that he and Prime Minister Benjamin Netanyahu have not already decided that Israel will conduct such a strike.

"It does not take a genius to understand that in Israel in 2011 two people cannot decide to do something on their own," Barak said in an interview on Army Radio. "That may have been appropriate in Israel in 2006. In the Defense Ministry, there are thousands of pages of discussion on this subject, in the presence of dozens of ministers, military personnel and experts."
Regarding the question as to why there was no public debate on a matter so fateful to Israel, Barak said, "the Iranian nuclear program has been publicly debated for years in Israel. There are countless interviews and public debates. We do not conceal our thoughts. However, there are operational matters that we do not discuss publicly, as that would make them impossible to carry out."

Barak reiterated that Iran poses a threat to stability in the Middle East and the world. He said that all options are on the table in terms of dealing with Iran.

"I think that one has to use diplomatic pressure and sanctions on Iran," Barak said.

He added that Iran has been a central issue that Israeli leaders have discussed with other world leaders in recent years.

"There is great convergence between us and the Americans regarding the diagnosis and the characterization of the operation in Iran," Barak said. "We know the Iranian leadership's goals, its determination and how it evades the world. We know what happened in Pakistan, we know what happened in North Korea and we see the immunity they have because of it. One should ask: Would Europe have intervened in Libya if Gadhafi had possessed nuclear weapons? Would the U.S. have toppled Saddam Hussein if he had nuclear weapons?"

Barak said that the Israeli public should not be concerned about the Iranian threat.

"I refuse to be intimidated, as if Iran could destroy Israel, " Barak said. "Israel is the most powerful country, from Tripoli to Tehran. There is no reason to be afraid of anything."

Also in the interview, Barak denied that Israel had negotiated a cease-fire with Islamic Jihad following the violence in southern Israel and the Gaza Strip in recent days. He also said that he views Hamas as responsible for all that occurs in Gaza.
 
On the other hand Russia has delivered mobile radar detectors to Iran
arton171813-34bf8.jpg

SOURCE: Uprooted Palestinians: Russia delivers radar detectors to Iran
 
Tayari habari zimekwishavuja kwamba Israeli inajiandaa kuishambulia nchi ya Iran endapo nchi za USA na UK zitaendelea kusuasua kutoa uamuzi wa kusadia mashambulizi hayo.

Mashambulizi hayo yatalenga vituo vya kutengeneza madini ya Uranium kwenye eneo ya mji wa Qom ambalo lipo karibu na Israeli, ambapo inaaminika kwamba Iran inajishughulisha na utengenezaji wa mabomu ya nyuklia. Nchi ya Iran imekuwa ikisisitiza siku zote kwamba utengenezaji huo wa nguvu za nyuklia umekuwa ni kwa ajili ya kupata nguvu za umeme tu na si vinginevyo.

Hata hivyo shirika la kudhibiti utengenezaji na utumiaji wa nishati hiyo la International Atomic Energy Agency (IAEA) linatarajiwa kutoa taarifa yake ya upembuzi yakinifu kuhusu kituo hicho na ni kwa kiasi gani nchi ya Iran imehifadhi nishati hiyo na hiyo ndio itakuwa ndio kete ya mwisho kusema vita ifanyike au la.

Hata hivyo nchi za USA na UK zimekuwa kwa muda mrefu zikijiandaa kuishambulia nchi ya Irani zikilenga kituo au vituo vyote ambavyo vinaaminika vinajishughulisha na utengenezaji wa silaha za vyuklia na vituo hivyo zimejengwa chini ya ardhi kwenye maeneo kadhaa ya nchi hiyo. Majasusi kutoka katika nchi hizo pamoja na wale wa France na nchi nyingine shiriki kama Italy ambayo mashamabulizi yatakuwa yakitokea katika kisiwa chake cha Sardinia ambako kuna kituo cha kijeshi cha NATO, wamekuwa wakijishughulisha na udondoaji wa taarifa za siri kupitia nvhi za Afghanstani na Irak ambako bado kuna majeshi na vituo vya kijeshi vya nchi za magharibi na USA.

Baraza la mawaziri la Israeli likiongozwa na waziri mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa ulinzi Ehud Barack limekuwa likijadili mashambulizi hayo na tayari ndege za kivita zijulikanazo kama F-16 zimekuwa zikifanya mazoezi ya kujiandaa na mashambulizi hayo, ingawa inasemwa kwamba mazoezi hayo ni ya kawaida.

Pia Israeli imekuwa (kwa kusaidiana na USA) ikifanya mashambulizi kwenye mtandao wa Internet wa Iran kwa kutumia kirusi iitwayo Stuxnet kuharibu mipango mbalimbali ya kutengeneza nguvu za nyuklia ambazo zimehifadhiwa kwenye server mbalimbali nchi humo. Pia tayari wanasayansi mbalimbali wa Iran wamekufa katika mazingira ya kutatanisha.

Mashambulizi ya safari hii sio kwa sababu tu ya ama nchi ya Iran kumiliki silaha za nyuklia au yale ambayo yalifanywa kwa nchi za Afghanstan na Irak au kwa nchi ya Libya ambapo ilisemwa kwamba ilikuwa ni kwa jili ya kulinda maisha ya raia wa Libya, yote ni kwa sabau ya muanguko wa taratibu wa kiuchumi wa USA na baadhi ya nchi za Ulaya na kuendelea kwa utegemezi wa mafuta na pai kutaka kujipanua zaidi kwenye eneo hilo la mashariki ya kati.

Mwisho kabisa kwa kuishambulia Iran nchi ya USA itakuwa ikizuia jitihada zozote zinazofanywa na nchi za China na Russia za kujikita kwenye nchi hiyo ya Iran kwenye maeneo ya nishati ya gesi na mafuta machafu, ni mwishoe kumiliki tena eneo hilo na kuwa koloni la USA lizalishalo mafuta ambayo yatauzwa bei poa na hakutakuwa na vitu kama OPEC.

Nakaribisha hoja.
 
Bora waipige mapema kabla hawa magaidi hawajamiliki silaha za maangamizi....go Israel go...
 
Wazayuni wao ni halali kuwa nazo eenh ?! Mtakalia kusheherekea 'HARUSI YA MBWA TUU............' fumbo mfumbie mjinga !
Mtabakia kula makombo ya waarabu tu Elimu hakuna ndicho kinachowasumbua
 
Mie nashangaa ndani ya Israel waarabu yawezekana ndo asilimia kubwa kuliko wote. Wazungu mle ndani ni wachache sana. Harafu wayahudi wenyewe wanaojiita wayahudi wanawachukia wakristu+waislamu.

Wayahundi jinsi wanavyo sali na ku behave 90% kama waislam, wayahudi wako mbali mbali na ukristu hiyo ndo, de-facto.
Nilipomuuliza mmoja kuhusu YESU akaniambia wao wanatambua YESU kuwa ni bro wao kama myahudi, na miujiza alizofanya kwa wakati wake wayahudi wengi waliweza kufanya.
Nilipo waomba niingie ktk sinagogi zao, wakasema hawapendi foreigners kuingia ktk sinagogi zao.

Nashindwa kuelewa hawa ndugu kwa kweli wanapigania nini?
 
[h=2]source: Israel News - Haaretz Israeli News source.

Senior U.S. military official tells CNN U.S. 'increasingly vigilant' over military developments in Iran and Israel, says 'absolutely' concerned Israel may attack Iran nuclear facilities.[/h]

U.S. officials are concerned that Israel will not warn them before taking military action against Iran's nuclear facilities, a senior U.S. military official said Friday.
The official, who asked to remain anonymous, told the CNN network that although in the past, U.S. officials thought they would receive warning from Israel if it did take military action against Iran, "now that doesn't seem so ironclad."
336866666.jpg
Israel Air Force F-15.
Photo by: Alon Ron

The U.S. is "absolutley" concerned that Israel is preparing an attack on Iran’s nuclear facilities, and this concern is increasing, CNN reported the official as saying.
The U.S. has increased its “watchfulness” of Iran and Israel over the past few weeks, U.S. Central and European Commands, which watch Iranian and Israeli developments respectively, are “increasingly vigilant” at this time, according to the official, and a second military official who also spoke with CNN.
 
Tayari habari zimekwishavuja kwamba Israeli inajiandaa kuishambulia nchi ya Iran endapo nchi za USA na UK zitaendelea kusuasua kutoa uamuzi wa kusadia mashambulizi hayo.

Mashambulizi hayo yatalenga vituo vya kutengeneza madini ya Uranium kwenye eneo ya mji wa Qom ambalo lipo karibu na Israeli, ambapo inaaminika kwamba Iran inajishughulisha na utengenezaji wa mabomu ya nyuklia. Nchi ya Iran imekuwa ikisisitiza siku zote kwamba utengenezaji huo wa nguvu za nyuklia umekuwa ni kwa ajili ya kupata nguvu za umeme tu na si vinginevyo.

Hata hivyo shirika la kudhibiti utengenezaji na utumiaji wa nishati hiyo la International Atomic Energy Agency (IAEA) linatarajiwa kutoa taarifa yake ya upembuzi yakinifu kuhusu kituo hicho na ni kwa kiasi gani nchi ya Iran imehifadhi nishati hiyo na hiyo ndio itakuwa ndio kete ya mwisho kusema vita ifanyike au la.

Hata hivyo nchi za USA na UK zimekuwa kwa muda mrefu zikijiandaa kuishambulia nchi ya Irani zikilenga kituo au vituo vyote ambavyo vinaaminika vinajishughulisha na utengenezaji wa silaha za vyuklia na vituo hivyo zimejengwa chini ya ardhi kwenye maeneo kadhaa ya nchi hiyo. Majasusi kutoka katika nchi hizo pamoja na wale wa France na nchi nyingine shiriki kama Italy ambayo mashamabulizi yatakuwa yakitokea katika kisiwa chake cha Sardinia ambako kuna kituo cha kijeshi cha NATO, wamekuwa wakijishughulisha na udondoaji wa taarifa za siri kupitia nvhi za Afghanstani na Irak ambako bado kuna majeshi na vituo vya kijeshi vya nchi za magharibi na USA.

Baraza la mawaziri la Israeli likiongozwa na waziri mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa ulinzi Ehud Barack limekuwa likijadili mashambulizi hayo na tayari ndege za kivita zijulikanazo kama F-16 zimekuwa zikifanya mazoezi ya kujiandaa na mashambulizi hayo, ingawa inasemwa kwamba mazoezi hayo ni ya kawaida.

Pia Israeli imekuwa (kwa kusaidiana na USA) ikifanya mashambulizi kwenye mtandao wa Internet wa Iran kwa kutumia kirusi iitwayo Stuxnet kuharibu mipango mbalimbali ya kutengeneza nguvu za nyuklia ambazo zimehifadhiwa kwenye server mbalimbali nchi humo. Pia tayari wanasayansi mbalimbali wa Iran wamekufa katika mazingira ya kutatanisha.

Mashambulizi ya safari hii sio kwa sababu tu ya ama nchi ya Iran kumiliki silaha za nyuklia au yale ambayo yalifanywa kwa nchi za Afghanstan na Irak au kwa nchi ya Libya ambapo ilisemwa kwamba ilikuwa ni kwa jili ya kulinda maisha ya raia wa Libya, yote ni kwa sabau ya muanguko wa taratibu wa kiuchumi wa USA na baadhi ya nchi za Ulaya na kuendelea kwa utegemezi wa mafuta na pai kutaka kujipanua zaidi kwenye eneo hilo la mashariki ya kati.

Mwisho kabisa kwa kuishambulia Iran nchi ya USA itakuwa ikizuia jitihada zozote zinazofanywa na nchi za China na Russia za kujikita kwenye nchi hiyo ya Iran kwenye maeneo ya nishati ya gesi na mafuta machafu, ni mwishoe kumiliki tena eneo hilo na kuwa koloni la USA lizalishalo mafuta ambayo yatauzwa bei poa na hakutakuwa na vitu kama OPEC.

Nakaribisha hoja.
Mzee Richard, shukrani kwa assessment yako kuhusu huu mgogoro, lakini nadhani ka-research ka kina kangesherehesha mambo. Binafsi nadhani kwamba Israel hawana uwezo wa kuishambulia Iran peke yao bila kupata okey na msaada wa U.S.A, kwani endapo mambo yataenda kombo, basi ajue kwamba atapata support.
Pili, U.S.A inayotoa dola Bilion 3 kila mwaka kwa ajili ya ulinzi wa Israel ndio kwanza wanajitahidi kuondoka Iraq, hivyo basi haingii akilini kwenda kuanzisha bala lingine na nchi ambayo ni mara mbili ya ukubwa wa Iraq,na population pia mara mbili ya Iraq kabla hata nusu ya wanajeshi wake hawajaondoka Iraq.
Hapa hatujaenda kwenye suala uchumi wa U.S.A ambao ndio kwanza unaanza kutoka ICU na hivyo basi, kuingia kwenye mgogoro mwingine, tena mkubwa zaidi ya ule wa Iraq ni suala ambalo sidhani kama linawezekana. Kwa kifupi ni kwamba hili suala la Israel kuishambulia Iran bado ni la kufikirika.
 
Itabidi wanyukwe tuu na wasiruhusiwe kabisa kuwa na nuclear,cant imagine siku hao jamaa wa siasa kali kama Osama washike madaraka Iran,islamic conservative ni ruthless na hawana hata akili moja....akili ya hao jamaa wanaweza kutulazimisha wote tuwe masheikh na wataamini nuclear wamepewa na allah wao kusambaza uislam,myahudi lazima afanye mambo lasivyo yeye ndio atakuwa target wa hizo nuclear na wameshasema nia yao is to wipe Israel on the map..naona kama wanachelewa vile.
 
kwa mujibu wa jarida moja marekani silikumbuki vizuri pia other media from Iran ni kuwa Iran ndio nchi yenye waisrael wengi arabuni wapo 24,000 lakini cha kushangaza haina ugomvi nao tena wana ma hekalu yao ya kusali. ..wakati huo huo yenyewe ndo imekuwa ikitaka kuifuta israel kwenye uso wa dunia kwanini isianze na wale waliopo nchini mwake kama anaubavu,..!
 
inaitamani genes (hereditary materials) za waisrael
Naskia muisrael akizaa na muiran mtoto hulelewa na serikali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom