Hivi kumbe ni Mhindi sijui Mwarabu? Mimi nikadhani labda Mzanzibar Mwafrika. Halafu watu wanamshabikia. Anyway tumechoka na kelele zao hawa Waarabu koko acha waondoke tupate Tanganyika yetu tuliyoipoteza kisa muungano ambao hautusaidii kitu chochote.
Kwani wakiondoka tutapata hasara gani. Kitu ambacho hatutaki ni muungano wa mkataba, waondoke kijumla au tuwe nchi moja na Zanzibar iwe na mikoa miwili Pemba na Unguja. Vinginevyo acha tuutue mzigo tubaki na tanganyika yetu yenye asali na maziwa
Hivi ndugu yangu nikisema unyerere ni tusi hebu nitafutie katika kamusi basi pia u clmax nao ni tusi u sicialist ni tusi u capitalist ni tusi kweli a fool is a fool either go to school o not still a foolkwa sababu na wewe ndo lugha yako huwezi kuona matusi
werema si wote wenye akili wana vichwa,Hivi ndugu yangu nikisema unyerere ni tusi hebu nitafutie katika kamusi basi pia u clmax nao ni tusi u sicialist ni tusi u capitalist ni tusi kweli a fool is a fool either go to school o not still a fool
Nimependa hii "fool is a fool either go to school o not still a fool" mimi huwaita makasuku. Akisha kusemwa vibaya Jussa kwenye Nipashe basi hawataki kujuwa kasema nini na nini hata uwaletee video.
hahahahah umeua mkuu
Ismaili JUHA