Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Unyerere sio tusi?
kwa kiengereza nafikiri angeliita Nyerereism.... kama U-Karl Marx unavyoitwa Marxism...
in other words, ni Muono?Philosophy ya Nyerere.... Thus, mimi sioni tusi kwenye hili moja...
Ni Mtazamo tu, Nothing Personal...
mkuu nakuunga mkono kunawatu huku badala ya kujadili hoja wanaweka chuki zao binafsi na wanawachukia wazanzibar sijui kwanini ni bora wazanzibar wajitenge na wanachokichukia sijui ni kwasababu waislamu ni wengi kuliko wakristo na zanzibar wakijitenga patakuwa mahali salamakuliko huku Tanzania baraYaani matusi yote yanayotukanwa kwenye ukumbi huu hakuna wa kuyaona ila haya aliyoyasema Mh. Jussa tu? Hivi UNAFIKI mmezaliwa nao ama mlirithishwa kwenye loo zenu?Siku zote hizo mlikuwa mnatafuna uongo wa "Warioba ambana Jussa" na "Jussa ashindwa kutoa mfano wa muungano wa mkataba" leo hii ukweli umetoka mnakimbilia kujificha kwenye giza la kukosa adabu? Badala ya kukana maelezo ya Jussa mnakimbilia adabu na hadithi ndefu za breeding. Huu UNAFIKI wenu hautawafikisha popote na mtabaki kuwa watwana wa mawazo maisha yenu yote. Simply no hope for fools!
Huyu jamaa kuna kipindi niliandika kwamba yeye ni main facilitator wa uamsho pamoja na maalim nikala ban eti nilimsema kua mshkaji ni punga..lakini hiki kinachotokea zanzibar (Uamsho) na Dar (akina ponda na ushuzi wenzake) ndio lengo lao haswaaa na hii niliithibitisha baada ya kuongea na mtu wao wa karibu sana ambae ni kiongozi wa uamsho zanzibar..analake jambo
Mhindi Jussa aka mwarabu mchanganyiko nadhani ameanza kuchanganya mambo. Zanzibar itaendelea kutawaliwa na Tanganyika wapende wasipende. Hatutaki vurugu sisi.
Hivi kwanini tunalazimisha Muungano na hawa magaidi? Hivi Zanzibar ina nini cha maana kwenye MUUNGANO?
Sioni tusi wala kutovuka adabu kwa Jussa katika maelezo hayo. Kwani kuambiwa unazeeka ni tusi au kujulishwa kwamba unapungukiwa uwezo wakufikiri nim kutovukiwa adabu? Hee kwani warioba hazeeki kweli?
Na jee kumwita mkuu wa nchi DHAIFU si kutovuka adabu? Mbona hukuleta uzi hapa? Acheni uha-nisi wenu wa akili, wangese nyie. MAKU ma nuze!
Ok unataka Zanzibar huru fine! kuwatukana watu ambao wanakuzidi si umri tu bali hata uwezo wa kufikiri naona unavuka mpaka.
Jisomeeni wenyewe alichokiandika kwenye facebook wall yake na muone huyu dogo anapovuka mipaka kwa sababu tu akili na mdomo mali yake.
Ismail Jussa
Kuna watu (wanajulikana wana kazi zao) ambao wamependa kujifurahisha kuwa Warioba alimbana Jussa na kwamba Jussa alishindwa kujibu hoja zake. Who is Warioba after all? Na kwa hoja zipi za maana alizowahi kuzitoa? Warioba simply anashindwa kustahamili mawazo yasiyokubaliana na UNYERERE ambao ndiyo itikadi yake na akina Butiku. Alianza kwa kutokubaliana na kile alichokiita mtazamo tofauti wa historia ya uundaji wa Muungano (different perspective on the historical background of the making of the Union) nilipomjibu akakaa kimya! Akataka kujua mifano ya Muungano wa Mkataba na nikamtajia Muungano wa Ulaya (European Union) lakini nikamjibu kuwa Mikataba haina sura moja wala waliokuja na miundo ya Miungano yao ya Mkataba hawana monopoly ya wisdom kuwa lazima tuangalie mifano yao tu akataka kulazimisha mitazamo yake.
Nilipotaka kumjibu Butiku akazuia kwa sababu alijua nitamuumbua. Kilichodhihirika pale ni kuwa Warioba (ambaye anaonekana amechoka sana hata uwezo wa kufikiri unampungukia) na Ma-Nyerereists wenzake wamepata mshtuko kutokana na wingi (overwhelming majority) wa Wazanzibari wanaotaka Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa na kufuatiwa na mashirikiano kati yake na Tanganyika kupitia Muungano wa Mkataba. Anababaika, anaweweseka! Lakini wimbi hili halizuiliki! Wazanzibari tumeamua! Unyerere (ambayo ndiyo itikadi inayowakilisha Ukoloni wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar) hauna nafasi tena katika Zanzibar ya leo. Na wachukie wenye kuchukia.
Sioni tusi wala kutovuka adabu kwa Jussa katika maelezo hayo. Kwani kuambiwa unazeeka ni tusi au kujulishwa kwamba unapungukiwa uwezo wakufikiri nim kutovukiwa adabu? Hee kwani warioba hazeeki kweli?
Na jee kumwita mkuu wa nchi DHAIFU si kutovuka adabu? Mbona hukuleta uzi hapa? Acheni uha-nisi wenu wa akili, wangese nyie. MAKU ma nuze!
Kwani huyu Jusa yeye hana jumba kubwa kule Msasani kama wapemba wengine? Na kama muungano ukivunjika ni yaje kuhusu hayo majumba?