Ismail Jussa na siasa katika ELIMU

Kitendo cha Naibu katibu mkuu wa CuF kulalamikia matokeo ya kidato cha nne eti wanzanzibari wanabaguliwa kwa kuwa katika shule kumi bora ya Zanzibar ni moja tu (Lumumba sekondari) na eti shule nyingi zilizofutiwa matokeo ni za kutoka Zanzibar pia. Mimi natilia shaka uwezo wake wa kufikiri pamoja na kiwango chake cha elimu kwani sidhani kama NECTA huwa wanasahihisha mitihani kwa kuangalia unatoka upande gani wa muungano. Mimi nashauri kama anaona hawakutendewa haki awashauri wanafunzi wakate rufaa NECTA mitihani yao irudiwe kusahihishwa badala ya kuingiza siasa kwenye suala nyeti kama hilo. Nawasilisha
(Source: Nipashe Radio one)
Nimetokea kumfahamu Jussa kwa karibu, huyu ni hazina kubwa kwa CUF, kama alivyo Zitto ni hazina Chadema, au January ni hazina CCM, hawa ni kizazi cha wanasiasa wa .com. Kielimu Jussa ni mwanasheria hivyo sio kilaza!.

Kwa historia ya Zanzibar na siasa za Zanzibar, wanaopinga muungano ni wengi kuliko mnavyowadhania, hata huyu Makamo wetu wa Rais, Dr. Bilal, ndie alikuwa timu ya Comandoo kutaka kubadili katiba ya Zanzibar Komandoo agombee tena, Bara ikikataa, wauvunjilie mbali muungano!. TISS wakastukia hiyo deal na kumshughulikia ipasavyo Komandoo na watu wake, wote wakatupwa nje!. Leo makamo rais anapohubiri muungano ni unafiki mtupu, wanaowajua Wanzanzibari tunawajua!.

Jussa ni bold kama Zitto na Januari, sio mnafiki, watu hawapendi kusikia ukweli mchungu!, kama Tanzania na Zanzibar zina haki sawa ndani ya muungano, iweje Zanzibar kila siku inanyanyasika kielimu?!. Anachopigania Jussa ni haki sawa kwenye mtihani wa kidato cha nne!. Kama Nyerere aliweza kulazimisha jamii zilizoachwa nyuma kielimu, zilishushiwa pass mark ili watoto wa jamii hizo waingie sekondari, kuna ubaya gani kufanya affimative action kwa Wanzanzibari ili nao wajiunge vyuo vikuu kama UD, kuliko kuendelea kunyanyasika!.

Its a fact watu wa Kanda ya Kaskazini, Ziwa na Kusini Mashariki, (Mbeya na Iringa), wako sharp upstairs kuliko Kanda ya Kati, Mashariki na Kusini!. Hii inamaanisha wengi wanaofanya vizuri hapa jijini, sio watu wa asili, Wazaramo, Wandenge, Wakware etc, wasipofanyiwa any affimative action, they will be reduced to beggers!.

Wazanzibari ni hivyo hivyo na ndicho anachokipigania Jussa!.
 
Na kwa taarifa nilizopewa leo baada ya swala ya ijumaa Malindi, Jussa ataelekea Uzini.
Sijui Padre atatokea wapi akisikia Jussa ameingia uzini.

Hongera sana Jussa.

Hapa hakuna pointi ni taarabu tupu (Sijui Padre atatokea wapi na shehe atatokea wapi?) Anyway napita tu I will be back soon.
 
Anachopigania Jussa ni haki sawa kwenye mtihani wa kidato cha nne!. Kama Nyerere aliweza kulazimisha jamii zilizoachwa nyuma kielimu, zilishushiwa pass mark ili watoto wa jamii hizo waingie sekondari, kuna ubaya gani kufanya affimative action kwa Wanzanzibari ili nao wajiunge vyuo vikuu kama UD, kuliko kuendelea kunyanyasika!.
!.

Jussa ana mantiki katika hili analolisema ila mkuu Pasco njia ya pekee ya kuhakikisha kwamba malumbano haya yanakwisha ni kuruhusu masuala ya elimu kwa upande wa visiwani yasimamiwe na serikali ya Mapinduzi kuanzia kwenye mitaala mpaka kwenye mitihani na baraza husika. Na baadae kuwe na mfumo wa kulinganisha uzito wa matokeo ya vijana wa visiwani na wale wa huku bara endapo kutahitajika mtu kuhama ukanda wa mamlaka ya elimu.

Kule katika muungano wa falme za Uingereza, Scotland wana mamlaka zao za elimu kama vile England walivyonazo zao. Ni vyema Zanzibar nao wakawa na mamlaka yao na baraza lao la elimu.
 
Nimetokea kumfahamu Jussa kwa karibu, huyu ni hazina kubwa kwa CUF, kama alivyo Zitto ni hazina Chadema, au January ni hazina CCM, hawa ni kizazi cha wanasiasa wa .com. Kielimu Jussa ni mwanasheria hivyo sio kilaza!.Kwa historia ya Zanzibar na siasa za Zanzibar, wanaopinga muungano ni wengi kuliko mnavyowadhania, hata huyu Makamo wetu wa Rais, Dr. Bilal, ndie alikuwa timu ya Comandoo kutaka kubadili katiba ya Zanzibar Komandoo agombee tena, Bara ikikataa, wauvunjilie mbali muungano!. TISS wakastukia hiyo deal na kumshughulikia ipasavyo Komandoo na watu wake, wote wakatupwa nje!. Leo makamo rais anapohubiri muungano ni unafiki mtupu, wanaowajua Wanzanzibari tunawajua!.Jussa ni bold kama Zitta na Januari, sio mnafiki, watu hawapendi kusikia ukweli mchungu!, kama Tanzania na Zanzibar zina haki sawa ndani ya muungano, iweje Zanzibar kila siku inanyanyasika kielimu?!. Anachopigania Jussa ni haki sawa kwenye mtihani wa kidato cha nne!. Kama Nyerere aliweza kulazimisha jamii zilizoachwa nyuma kielimu, zilishushiwa pass mark ili watoto wa jamii hizo waingie sekondari, kuna ubaya gani kufanya affimative action kwa Wanzanzibari ili nao wajiunge vyuo vikuu kama UD, kuliko kuendelea kunyanyasika!.Its a fact watu wa Kanda ya Kaskazini, Ziwa na Kusini Mashariki, (Mbeya na Iringa), wako sharp upstairs kuliko Kanda ya Kati, Mashariki na Kusini!. Hii inamaanisha wengi wanaofanya vizuri hapa jijini, sio watu wa asili, Wazaramo, Wandenge, Wakware etc, wasipofanyiwa any affimative action, they will be reduced to beggers!.Wazanzibari ni hivyo hivyo na ndicho anachokipigania Jussa!.

Nakubaliana na wewe kabisa lakin kuna mushkira hapo nilipo RED.nafikiri fanya utafiti zaidi utagundua hilo.
Binafsi nilisomea bara kuanzia darasa la sita mpaka chuo kikuu. Sec nilisoma Tambaza (ile ya Mzee Kalumuna, mkuu wa shule) niliona hilo na baadae Ilboru (ya Mushi (Bino) mkuu wa shule na baadae UDSM.
Kote kote nimepita sijaliona hilo hata kidogo. Nilichogundua watu kutoka Pwani wanakuwa na akili sana kuliko watu wa kaskazini wala nyanda za juu na kanda ya ziwa. tatizo kubwa ni kupata fursa za kwenda shule na uwezo mdogo wa wazee wao katika kuwasomesha na vile vile mila na desturi. Niliosoma nao nafikiri wanaliona hilo kwani enzi hizo pale Chuo watu kutoka Znz tulikuwa tunatingisha katika facaulty zote kabisa.
Na kikubwa zaidi ni kuwa watu wa Pwani ni waaminifu sana ukilinganisha na watu kutoka mrima

.Nilichojifunza kutoka tanganyika ni
1. Watu kutoka Bukoba - hawa ni wanasoma kwa kujisifu tu lakin hawana akili za maisha. wanajitahidi darasani tu ikiwemo pamoja na kubebwa na wanaongoza kwa ukabila
2. Watu wa kanda ya ziwa (mwanza na tabora). hawa wachache waliosoma wana akili kiasi na watu wa kujitamba wakiwa wenyewe kwa wenyewe vijijini kwao. sio wabinafsi wala sio wakabila
3. Watu kutoka Mara. hawa ni very corrupt ni vigumu sana kupata mwaminifu
4. Mbeya , iringa wanajitahidi kidogo kiakili japo wanyakyasa ni wakabila sana
.5. Watu wa Arusha. hawa wana akili sana lakin kimaisha hakuna kitu.
6. Watu wa moshi. hawa wanasoma kimashindano na ni corrupt sana wanapenda sana sehemu zenye pesa ili wafanya mambo yao. Na wengi wanapenda pesa za haraka haraka.
7. Watu kutoka coast. hawa wana wasomi wachache sana lakin wana akili sana kimaisha. Na hawa ndio wanaomiliki kwa asilimia zaidi ya 68 a uchumi wa Tanganyika

Lakin mimi naona hilo ni lazima watu wa Znz walione kuwa kuwe na uwiano katika sekta ya Elimu kwani wote wanatoa mchango sawa katika muungano wenu. Ni lazima kuhakikisha ile % wanayotoa katika muungano inakuwa sawia katika kila nyanja.nafikiri ni vizuri hilo likawekwa bayana katika katiba mpya ja Muungano na ile ya Znz. ikiwezekana suala la elimu ya juu liondolewe katika muungano.
 
hebu tazama hii picha, kisha huitaji kuelezwa kama huyu ni timamu ama laaah....unajua Kisaikolojia unaweza kumtafsiri mtu hata kwa picha

19666_102281289805900_100000720881840_61447_5452770_n.jpg
Ndo faida ya muungano.
Wenzetu visiwani wameamua kuchagua a LUNATIC kuwa muwakilishi, si vibaya, ndo demokrasia.
Angalia vizuri the SQUINT na the CONFUSED LOOK.
Jamaa ni dhahiri a SCHIZOPHRENIC, mtajie muungano na ataokota makopo.
 
Hayo ni madhara ya kukosa Colostrum utotoni.
 
Tumezidi kukumbatiana. Watu kama hawa hata kwetu wapo. DR. Ndalikacho angemkaribisha pale NECTA akaone jinsi wWanafunzi wa Shule zao walivyochorachora madudu kwenye Answer sheets. Kwa busara ya kawaida tu hebu afikirie hivi kweli kuna haja ya kfelisha Wanafunzi toka Visiwani? kwa ajili ya lipi hasa?
 
Binafsi nilisomea bara kuanzia darasa la sita mpaka chuo kikuu. Sec nilisoma Tambaza (ile ya Mzee Kalumuna, mkuu wa shule) niliona hilo na baadae Ilboru (ya Mushi (Bino) mkuu wa shule na baadae UDSM.
Duu!, mkuu Barubaru, kumbe na wewe umepita huko?. Mimi pia ni product ya Tambaza enzi za Kalumuna, na ni product ya Ilboru enzi za Bino.

Nikiwa Tambaza, "summit" nimepanda sana, na Ilboru Bino amefanya kazi kubwa sana!.

Samahani sana, zile hoja zako nyingine ni muflisi!.
 
Du!
Na mimi nimesoma Tambaza, enzi hizoo kabla hamjazaliwa. Na mwambie Barux2 kuwa tulikulia muhogo wa pale msikitini ndo maana sera zebu zina mshiko. Aachane na Juha yule.
 
Nakubaliana na wewe kabisa lakin kuna mushkira hapo nilipo RED.nafikiri fanya utafiti zaidi utagundua hilo.
Binafsi nilisomea bara kuanzia darasa la sita mpaka chuo kikuu. Sec nilisoma Tambaza (ile ya Mzee Kalumuna, mkuu wa shule) niliona hilo na baadae Ilboru (ya Mushi (Bino) mkuu wa shule na baadae UDSM.
Kote kote nimepita sijaliona hilo hata kidogo. Nilichogundua watu kutoka Pwani wanakuwa na akili sana kuliko watu wa kaskazini wala nyanda za juu na kanda ya ziwa. tatizo kubwa ni kupata fursa za kwenda shule na uwezo mdogo wa wazee wao katika kuwasomesha na vile vile mila na desturi. Niliosoma nao nafikiri wanaliona hilo kwani enzi hizo pale Chuo watu kutoka Znz tulikuwa tunatingisha katika facaulty zote kabisa.
Na kikubwa zaidi ni kuwa watu wa Pwani ni waaminifu sana ukilinganisha na watu kutoka mrima

.Nilichojifunza kutoka tanganyika ni
1. Watu kutoka Bukoba - hawa ni wanasoma kwa kujisifu tu lakin hawana akili za maisha. wanajitahidi darasani tu ikiwemo pamoja na kubebwa na wanaongoza kwa ukabila
2. Watu wa kanda ya ziwa (mwanza na tabora). hawa wachache waliosoma wana akili kiasi na watu wa kujitamba wakiwa wenyewe kwa wenyewe vijijini kwao. sio wabinafsi wala sio wakabila
3. Watu kutoka Mara. hawa ni very corrupt ni vigumu sana kupata mwaminifu
4. Mbeya , iringa wanajitahidi kidogo kiakili japo wanyakyasa ni wakabila sana
.5. Watu wa Arusha. hawa wana akili sana lakin kimaisha hakuna kitu.
6. Watu wa moshi. hawa wanasoma kimashindano na ni corrupt sana wanapenda sana sehemu zenye pesa ili wafanya mambo yao. Na wengi wanapenda pesa za haraka haraka.
7. Watu kutoka coast. hawa wana wasomi wachache sana lakin wana akili sana kimaisha. Na hawa ndio wanaomiliki kwa asilimia zaidi ya 68 a uchumi wa Tanganyika

Lakin mimi naona hilo ni lazima watu wa Znz walione kuwa kuwe na uwiano katika sekta ya Elimu kwani wote wanatoa mchango sawa katika muungano wenu. Ni lazima kuhakikisha ile % wanayotoa katika muungano inakuwa sawia katika kila nyanja.nafikiri ni vizuri hilo likawekwa bayana katika katiba mpya ja Muungano na ile ya Znz. ikiwezekana suala la elimu ya juu liondolewe katika muungano.
mzee huwa unaniacha hoi sana...teh teh teh...!
 
It is really disapointing kama uliweza kupita kwenye shule bora kiasi hiki (by then) lakini elimu uliyoipata inaonekana wazi haikuweza kukukomboa ukaweza kuangalia na kuchambua mambo with academic lens.... Huku ni kunajisi elimu na hata shule ulizopita... vua blanketi ulilojifunika nalo na uwe objective katika hoja zako haisaidii ssana kutuwekea historia ya ulikopita (kama pia ni kweli) wakati maneno yako hayathibitishi uelewa unaopaswa kuwa nao.. Huu ni ushauri wangu kwako na nimeutoa bure sihitaji kulipwa lakini ni hiari yako kuuchukua ama kuendelea kunajisi elimu yako.
 
Kabla kumuhukumu ni vizuri ujue tamko lake sio haya magazeti yenu ya uchochezi yanavyomnukuu.

Pitia mtandano wa Mzalendo au zanzinet utaliona na kuona maoni yake.

Kumbuka kuwa Jussa ni mwanasharia aliyebobea kitaaluma na ana uzoefu mkubwa sana katika siasa tena zile za mikikimikiki.

Hongera sana Jussa. Tanganyika wanakuhara wakisikia jina lako.

wanasheria wa zanznibar ni tofauti sana na wanasheria wa tanganyika.
 
mara nyng huwa najiuliza iv waliwaza nini kumpa uongozi ndani ya chama huyu mtu mbona utafikili c timamu..., mpaka hapo nimeamini amesomea sharia na si sheria.
 
Pasco said:
Jussa ni bold kama Zitto na Januari, sio mnafiki, watu hawapendi kusikia ukweli mchungu!, kama Tanzania na Zanzibar zina haki sawa ndani ya muungano, iweje Zanzibar kila siku inanyanyasika kielimu?!. Anachopigania Jussa ni haki sawa kwenye mtihani wa kidato cha nne!. Kama Nyerere aliweza kulazimisha jamii zilizoachwa nyuma kielimu, zilishushiwa pass mark ili watoto wa jamii hizo waingie sekondari, kuna ubaya gani kufanya affimative action kwa Wanzanzibari ili nao wajiunge vyuo vikuu kama UD, kuliko kuendelea kunyanyasika!.

Pasco,

..kwa taarifa yako waZNZ wana hali nzuri kuliko jamii nyingi sana huku Tanganyika.

..waZNZ wana vyuo vikuu viwili kwa ajili yao. sasa sijui kama kwenu usukumani kwa maana ya tabora,shinyanga,mwanza, mna vyuo vikuu vingapi mpaka wewe uanze kuwalilia na kuwaonea huruma?

..pia elimu si suala la muungano, ZNZ wana wizara yao wenyewe ya elimu, tunakutana tu ktk suala la mitihani ya kitaifa.

..kama ZNZ wanaona wanaonewa bora waanzishe tu baraza lao wenyewe la mitihani.

..kuhusu kuwepo kwa quota system, sidhani kama hilo ni suluhisho la kudumu la matatizo ya elimu kwa "maeneo ya pembezoni" mwa Tanzania.

..tuhakikishe kwamba watoto wote wa Tanzania bila kujali eneo wanalotoka wanapata elimu bora yenye viwango. zoezi hilo ni la kudumu wakati wote wa uhai wa taifa letu.
 
Nimetokea kumfahamu Jussa kwa karibu, huyu ni hazina kubwa kwa CUF, kama alivyo Zitto ni hazina Chadema, au January ni hazina CCM, hawa ni kizazi cha wanasiasa wa .com. Kielimu Jussa ni mwanasheria hivyo sio kilaza!.

Kwa historia ya Zanzibar na siasa za Zanzibar, wanaopinga muungano ni wengi kuliko mnavyowadhania, hata huyu Makamo wetu wa Rais, Dr. Bilal, ndie alikuwa timu ya Comandoo kutaka kubadili katiba ya Zanzibar Komandoo agombee tena, Bara ikikataa, wauvunjilie mbali muungano!. TISS wakastukia hiyo deal na kumshughulikia ipasavyo Komandoo na watu wake, wote wakatupwa nje!. Leo makamo rais anapohubiri muungano ni unafiki mtupu, wanaowajua Wanzanzibari tunawajua!.

Jussa ni bold kama Zitto na Januari, sio mnafiki, watu hawapendi kusikia ukweli mchungu!, kama Tanzania na Zanzibar zina haki sawa ndani ya muungano, iweje Zanzibar kila siku inanyanyasika kielimu?!. Anachopigania Jussa ni haki sawa kwenye mtihani wa kidato cha nne!. Kama Nyerere aliweza kulazimisha jamii zilizoachwa nyuma kielimu, zilishushiwa pass mark ili watoto wa jamii hizo waingie sekondari, kuna ubaya gani kufanya affimative action kwa Wanzanzibari ili nao wajiunge vyuo vikuu kama UD, kuliko kuendelea kunyanyasika!.

Its a fact watu wa Kanda ya Kaskazini, Ziwa na Kusini Mashariki, (Mbeya na Iringa), wako sharp upstairs kuliko Kanda ya Kati, Mashariki na Kusini!. Hii inamaanisha wengi wanaofanya vizuri hapa jijini, sio watu wa asili, Wazaramo, Wandenge, Wakware etc, wasipofanyiwa any affimative action, they will be reduced to beggers!.

Wazanzibari ni hivyo hivyo na ndicho anachokipigania Jussa!.
Pasco hakuna sababu ya kukwepa ukweli.. Mfumo wa ELIMU nchini ni mboivu na Uvunjwe...Aliyasema haya Malima na wakamzushia mambo makubwa zaidi lakini nimechunguza kwa undani sana na kukuta kwamba kweli upo mfumo mbaya sana ktk ELIMU a AFYA nchini jambo ambalo sikuwahi kulikubali hata kidogo. Tuliyakataa haya haya wakati wa Nyerere kuhusu wanawake na hii inajionyesha zaidi leo wapo watu wanaamini wanawake hawawezi kuwa viongozi.

Kwa nini watu wanapenda kuulinda mfumo uliopo, mimi sielewi hasa sababu ya watu kushabikia kitu hali hawajui chochote au wanajua fika kwamba wana wakandamiza.. Kusema kweli binafsi siwaoni tofauti na wabunge wanaolilia posho zaidi japokuwa wanajua fika kwamba wanawaumiza wananchi. Tukitaka haki tuyachunguze malalamiko ya hawa watu kisha tujue ukweli ni UPI hapo ndipo tunaweza kuja na hoja ya kumpinga..Lakini kabla hatujawa na ukweli mkononi ni Ujinga mwingine kukumbatia kitu usokijua undani wake.
 
Mkandara,
Ni nani sasa anayeulinda mfumo huu mbaya wa elimu?Maana sioni wapi ambapo leo tumebaki tuko vizuri na tukiangalia sana tunasikia mfumo uliopo unalindwa usiondolewe..kwa faida ya nani na nani anayeulinda mfumo huo?
Tukiangalia upande mwingine, hatutakuwa tunatenda haki kama tutawabana wanaojituma kufanya vizuri na kuruhusu watu wazembe eti kwasababu tunatafuta balance. Hawa watu wazembe ndio hao wamejaa kwenye nafasi nyingi leo wanajiita wasomi na hakuna jambo lolote la maana wanalolifanya. Every person has only one destination...kama destination yangu ni kulima basi ndo naelekea shamba.
 
Back
Top Bottom