Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

Wazenji mimi sina hamu nao vingine haviandikiki. Naombea huu muungano ufe yaani siku hiyo nitashangilia na sherehe juu.
 
mamangu sam six kaitwa mjinga mmoja samuel sitta zaidi ya mara nne bado huoni ni matusi kwa mtoto mdogo kama jussa kwa mzee mzima kama sitta?matusi sio mpaka yale ya kitandani kumuita mtu alie sawa sawa na babako mjinga haipendezi wala sio adabu nzuri kwa mtoto wa kiislam ama yeyote awaye!penye ukweli tuuseme unless umetizama a wrong video bi dada!je jussa anaweza kumuita maalimu seif mjinga?huyu hamad rashid licha kuhitilafiana sana hivi majuzi hajasikika akimwita mjinga

Humuhumu JF Kikwete kishaitwa zaidi ya "mjinga" na sijaona watu wakilalamika. Kwani ujinga ni matusi wakati hata Nyerere aliuita huo ni mmoja kati ya maadui wetu, sasa jamani hapo kama Sitta kaitwa kaambiwa yu mjinga kuna tatizo lipi? Kama ni mjinga mjinga tu, ujinga si tusi ujanja ndio tusi.

Waswahili neno ujinga lingekuwa tusi hata hapa JF ungeona badala ya hilo neno vinatoka vinyota. Ujinga ni ujinga, sio tusi. Mimi nasema Sitta kama si mjinga angeshahamia upinzani baada ya kuondolewa uspika akipenda asipende. Nyie mnaonaje hapo? Kuendelea Sitta kubaki CCM ni ujanja?
 
Nimeipitia hiyo video na nnadiriki kusema hakuna aliyetukanwa. Tusi au matusi ni yepi hapo? Naomba unukuu labda nimetazama mkanda tofauti.

Wewe mleta mada kwa kudai kuwa hao viongozi walio hai na waliokufa na kudai sisi sote tumetukanwa ukumbuke kuwa hiki ulichokiandika ni fitna kubwa sana na kama utashindwa kulionesha tusi au matusi waliyotukanwa kwa kunukuu itanipelekea kukuita "fataani".

Akili yako ngumu kama sura yako!
 
Humuhumu JF Kikwete kishaitwa zaidi ya "mjinga" na sijaona watu wakilalamika. Kwani ujinga ni matusi wakati hata Nyerere aliuita huo ni mmoja kati ya maadui wetu, sasa jamani hapo kama Sitta kaitwa kaambiwa yu mjinga kuna tatizo lipi? Kama ni mjinga mjinga tu, ujinga si tusi ujanja ndio tusi.

Waswahili neno ujinga lingekuwa tusi hata hapa JF ungeona badala ya hilo neno vinatoka vinyota. Ujinga ni ujinga, sio tusi. Mimi nasema Sitta kama si mjinga angeshahamia upinzani baada ya kuondolewa uspika akipenda asipende. Nyie mnaonaje hapo? Kuendelea Sitta kubaki CCM ni ujanja?

Ninatumai una uwezo mkubwa wa reasoning. Speaking in Public podium like Jussa is more than writing as anonymous on Internet. Ni nani alipanda Jukwaani na kumuita JK mjinga?, ukinipatia mfano wenye video kama huyu arrogant Jussa alivyofanya nitakuomba samahani kwa kuuliza reasoning capacity yako.
 
Humuhumu JF Kikwete kishaitwa zaidi ya "mjinga" na sijaona watu wakilalamika. Kwani ujinga ni matusi wakati hata Nyerere aliuita huo ni mmoja kati ya maadui wetu, sasa jamani hapo kama Sitta kaitwa kaambiwa yu mjinga kuna tatizo lipi? Kama ni mjinga mjinga tu, ujinga si tusi ujanja ndio tusi.

Waswahili neno ujinga lingekuwa tusi hata hapa JF ungeona badala ya hilo neno vinatoka vinyota. Ujinga ni ujinga, sio tusi. Mimi nasema Sitta kama si mjinga angeshahamia upinzani baada ya kuondolewa uspika akipenda asipende. Nyie mnaonaje hapo? Kuendelea Sitta kubaki CCM ni ujanja?
Aisee! Unaweza kweli kufananisha mwanasiasa anayezungumza na umati wa watu na watu wenye id bandia hapa JF?
 
Jussa Jussa!!
wenzako wanapambana kuungana wewe unapambana kutengana!!
Ni kweli kuwa una uzalendo au unataka mjitenge ili upate uongozi kirahisi!
Kwa akili yako unafikiri wakti wa vita baridi nyerere alishindwa nini kukuvamieni na kuiita zanzibar ni wilaya [wala si mkoa] mojawapo wa Tanganyika!!
Jussa :- Sote tumepita darasani na tunajua kupima mambo kwa kuzingatia historia!!
Wewe ni mwarabu na ninyi waarabu mliopo zanzibar inawauma sana kwa kuwa mlipigwa bao katika kuiiba zanzibar kuwa moja ya usultani wa zanzibar.
Mbona huzungumzii sababu ya mapinduzi ya 1964 ilhali uhuru ulishatolewa Zanzibar?
 
Nyerere alishawahi kumuita kawawa mjinga in public mara nyingi.

Sittam ni mjinga kuhusu siasa za zanzibar; kama alivyo pinda; wanatakiwa wafundishwe
 
Bi FF, na mimi nimesikiliza. Maneno aliyotumia Jussa ni kama vile "Mjinga Sitta, Mpumbavu Sitta, Mjinga huyu..."
Sasa katika lugha kiungwana, sidhani kama ni sahihi kwa mtu, hasa mwanasiasa, kutamka maneno kama haya dhidi ya (mwanasiasa) mwenzake. Pengine mimi si mwelewa wa lugha wala maadili, lakini pamoja na ukweli kwenye maelezo yake, hapa Jussa amejiteremsha kama muungwana.

Huyo bibi ana tongotongo nzito za udini ndio si kwamba haoni lugha chafu ya Jussa.
 
Jussa nae ni mwanasheria anajua vyema anachozungumza.lakini Lugha anayotumia si ya kiungwana hata kidogo,anakosa heshima na anachochea uasi!Inapaswa aongozwe na kujua jinsi ya kuheshimu watu.Masuala ya Uongozi hakuyaanza yeye,anapaswa kuwa diplomat kidogo.Hizi Jazba na ubabe hautosaidia kitu!.........Ndio maana inafika wakati watanganyika wanaona hakuna sababu ya kung'ang'ania Muungano ni vyema sasa kwenda solo.Haya masuala ya kutukanana "Nani kambeba nani siyo ya kistaarabu hata kidogo"!

Ndio maana inafika wakati watanganyika wanaona hakuna sababu ya kung'ang'ania Muungano, ama kweli wewe ****? nani mwenye kungagania muungano kati ya wazanzibar na nyiyi?. mulizenu huyo mzee wenu Sitta wazanzibar walimpa ujumbe gani katika kuchangia maoni ya katiba kuhusu Muungano fake?

Ama kweli kubwa jinga nyiyi huu wewe mpaka leo unauita muungano haliyakuwa hauna sifa yoyote ya Muungano huu uliouwa hata nchi yenu ya asili na yenye historia ya wazee wenu walopigania uhuru ,munakubali kujizalilicha kwa jina la bandia Tanzania lisilokuwa na mbele wala nyuma. ama kweli nyini pofu.
 
Jussa budget ya Wizara ya Nishati zanzibar ni some 80 billion; Mnadaiwa 50billion naTANESCO hivi kwa akili yako unafikiri pasipo kubebwa budget yenu ingeweza kuendesha hiyo wizara?
Mwisho Zanzibar's population is 900,000, Tanganyika ni 43,000,000. hivi kwa akili yako uwiano huo unauona unatosha Zanzibar kuibeba Bara?!!
 
Mbona naona kama serikali ya jk na chama chake ni mfano wa mbuzi aliyeimaliza kamba iliyomfunga mtini kwal kujizungusha na sasa huu mwaka wa 2012 ni wa kukata roho?
Au labda ni makengeza yangu tu?
.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ndugu wana JF,

Nimefanikiwa kupata clip ya hotuba ya Bwana Ismail Jussa Radu ambapo alikuwa anajibu hoja za bwana Samwel Sitta na hatma ya muungano, inawezekana bwana Jussa alikuwa na hoja muhimu lakini matusi yake na staili ya kuwakilisha ujumbe kwa matusi ya dhahili kiasi hiki.

hebu fungua linki hii na usikilize vitisho na matusi ya Jussa Ismail hapa chini.

Rashid Video: ISMAIL JUSA ANAMJIBU SAMWEL SITA
 
Wadau,
Kama nitakosea kwa hili mniwie radhi: Huyu Jussa sie aliekuwa Vuvuzela mwanzoni mwa mikutano ya CUF, si ndie mpiga domo "Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii" au "Litatotaaaaaaaaaaaaaaaaaaa"

kama ndie basi hakuna haja ya kushangaa. Ili ulijue Jambo lilipo na kabla ya kutabiri yajayo mbeleyake, ni vema uangalie Historia wapi limetoka na Historia inakuonyesha Jussa Ametoka wapi ni mpiga Debe kwa Lugha yakini ni Domotindi.
Jussa amejaribu kutupa Historia ya Muungano kuwa ni Siri kubwa sana ambayo Mwl. Nyerere alimwagiza Mwanasheria wa Tanganyika wakati huo "Ronald Brown" amtaarishie mkataba ulioziunganisha Tz na Zb. baadae. (wakati huo Zanziba Iko full nondo katika sekta zote kwa Wataalam Wazalendo akiemo Mwanasheria Daurado. (Daurado ambae wakati fulani Uraia wake ulikuwa mashakani bila shaka kwa kusema ukweli ambao wakati ule ulikuwa hauna Maslahi kwa viongozi wa Zbr na Mlm. Seif kama Waziri kiongozi akaamuru Daurado atiwe ndani)).
Tukubali kuwa mkataba ulikuwa wa siri kimataarisho, Je wakati wa kuasaini? Timu ya Zanzibari Ilisainishwa kwa Siri au Ililazimishwa kusaini? Alikuwa wapi Mwanasheria Daurado wakati huo?

Ashakumsimatusi tuseme au tumwite Marehemu mzee Karume Babu Jinga yeye na timu yake kwa kutia saini Mkataba waliouchukulia juu juu tu kwa kuufananisha na koti na kudhani saa yeyote ukiwaghasi watauvua?

Jussa anataka tuamini hivyo kuwa yeye anawaongoza Wazanzibari kulivua Koti Hilo?

Maoni yangu: Huu ni wakati Mwafaka Kuwapa Wazanzibari Haki ya kura ya Maoni juu ya Swala la Muungano kabla hatujaandika katiba mpya. Kutofanya hivyo sidhani kama hiyo katiba mpya Mwafaka wake utafikiwa.
Kwa bahati mbaya Wengi wa Wazanzibari hasa Viongozi wanafaidi kukalia viti viwili kwa wakati mmoja halafu wanajidai hilo halitokei au halipo!

Ni Wazanzbari wangapi wenye Raslimali zisizohamishika na Biashara za kudumu Tanganyika na kati ya hao ni viongozi na hao swala la muungano kwao linahitaji marekebisho. Na wakipanda majukwaani ni kama Jussa wanawapa wananchi kile wanachotaka kusikia "kuwa Uongozi wa Zbr. uko Imara na tayari saa yoyote kuvunja Muungano" Wanamalizia na kiinimacho cha Mafuta, wanapigiwa makofi, Wameshatia siku. Wajinga ndio waliwao??

Its about Time we call it a Day:
Si kweli kuwa Tembo na Sungura unaweza ukawapimia chochote kwa Uzani sawa Maumbile yao yanatofauti kubwa, iangalie Tanganyika na viangalie visiwa vya Unguja na Pemba: ni Tembo na Sungura waliosimama jirani. Bila shaka Sungura atadai kuonewa na kudhulumiwa kila siku.

Hakuna tusi hapo. Kama kaambiwa mjinga basi ni mjinga kweli ati, wewe unamuona mjanja kutoka Uspika mpaka kuwa waziri wa afrika mashariki?

Nenda ukafunzwe vizuri ili usiwe unachekacheka unapopewa sifa ya "ujinga" au "ujanja". Kwa akili yako unadhani ujanja ni kinyume cha ujinga... pole. Mjanja ni mwizi, mwongo, tapeli na mdanganyifu. Malezi/elimu duni inajionesha pale mnapobwabwaja na kukosa uungwana kama huyo mropokaji Jussa. Bado unapenda kuitwa mjanja?
 
Ndio maana inafika wakati watanganyika wanaona hakuna sababu ya kung'ang'ania Muungano, ama kweli wewe ****? nani mwenye kungagania muungano kati ya wazanzibar na nyiyi?. mulizenu huyo mzee wenu Sitta wazanzibar walimpa ujumbe gani katika kuchangia maoni ya katiba kuhusu Muungano fake?

Ama kweli kubwa jinga nyiyi huu wewe mpaka leo unauita muungano haliyakuwa hauna sifa yoyote ya Muungano huu uliouwa hata nchi yenu ya asili na yenye historia ya wazee wenu walopigania uhuru ,munakubali kujizalilicha kwa jina la bandia Tanzania lisilokuwa na mbele wala nyuma. ama kweli nyini pofu.

Unaongea lugha gani wewe? Mbona una jazba kama Jussa? Tulia, kunywa maji kidogo alafu toa hoja yako sio povu.
 
Huyo bwana anayehutubia anaonyeshamambo yafuatayo,Huo ni uchanga katika siasa, wigo mfupi sana wa kufikiri, akili finyu,ukosefu wa Elimu, ukosefu wa sera. Ajipange mwaka huu kuja na sera mpya.
 
Kasema "huyu ni mjinga wa mwisho" akimaanisha Sitta.

Kati ya mjinga wa kwanza na mjinga wa mwisho nani mjinga zaidi?

Hivi kuna tatizo gani kufanya referrendum 2015, bara na visiwani, wananchi waamue kuukubali muungano, kuurekebisha au kuuvunja kwa simple majority ya pande zote mbili?
 
Nenda ukafunzwe vizuri ili usiwe unachekacheka unapopewa sifa ya "ujinga" au "ujanja". Kwa akili yako unadhani ujanja ni kinyume cha ujinga... pole. Mjanja ni mwizi, mwongo, tapeli na mdanganyifu. Malezi/elimu duni inajionesha pale mnapobwabwaja na kukosa uungwana kama huyo mropokaji Jussa. Bado unapenda kuitwa mjanja?

Hicho kiumbe kinachoitwa FF sijui kilizaliwa kwenye jalala lipi hapa mjini. Imefika wakati kila nikiona double f kwenye threads mbalimbali mwili hunisisimka. Sijawahi kusoma mchango wake wenye mashiko angalau hata chembe. Siku zote ni upupu tu. Ama kweli kama ni diversity ya kimaumbile kwa FF Mungu alizidisha.
 
Back
Top Bottom