Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

Huyu ni mtu wa mipasho tu,ni wa kumpuuzia,kuna siku nilimuona star tv,lugha zake haongei kama mtu muelewa,ila kama mtu wa mipasho tu,ndio kwanza nasikia leo kua ni mwanasheria!shame on him
 
mbona anaongea kea mipasho? Hawa ma********* tuje kuwatoa nchini... anyway maumivu ya kichwa huanza pole pole... taratibu magamba kwa magamba wanakosoana yetu macho!
 
Hawa Wanzanzibar watatusumbua hadi lini?? kwa nini tusichukue maamuzi magumu tukavunja muungano halafu tukawatimua warudi kwao au tuvunje muungano tuwakalie kijeshi hakuna cha SMZ au baraza la wawakilishi sana sana mikoa miwili iwepo wa unguja na pemba finish!! Wanadharau sana hawa, tusiendelee kuwalea wanatuona wajinga watanganyika wote!!
 
Hata kama mtu amesoma kwa kiwango cha Ph.D lakini akikubali kujulikana bei yake hapo anakuwa ni sawa na bure, shule inakuwa haijamkomboa.

Ili kuepukana na haya mashambulizi, dhihaka, malalamiko na shutuma za kila siku ni wakati muafaka sasa tuvunje muungano ili kila nchi iendelee na hamsini zake.

Hawa wala urojo kila siku ni kebehi na dharau kwa watanganyika wakati sisi ndio tunawapa platform ya unafuu wa maisha.

Ni kweli mkuu, wenzetu ovyo kabisa
 
"..........Wazanzibari wanataka kuilindan nchi yao??........."
Zanzibar ni nchi??!!
 
"muungano ni kama koti likitubanabana tutalivua" jussa quoting mzee karume
 
Nimeipitia hiyo video na nnadiriki kusema hakuna aliyetukanwa. Tusi au matusi ni yepi hapo? Naomba unukuu labda nimetazama mkanda tofauti.

Wewe mleta mada kwa kudai kuwa hao viongozi walio hai na waliokufa na kudai sisi sote tumetukanwa ukumbuke kuwa hiki ulichokiandika ni fitna kubwa sana na kama utashindwa kulionesha tusi au matusi waliyotukanwa kwa kunukuu itanipelekea kukuita "fataani".
 
"unajua nyerere alikuwa akipenda sana waingereza, alikuwa hata hajiwezi akifika kwao" .... "sisi ni mateka wa tanganyika?" "nyerere alitaka kututawala kama koloni" .... "na hata samwel sita asikie mjinga mmoja huyu" "vita ya uganda iligharamiwa na zanzibar na askari wake.. sasa nani anambeba mwenzake, kama wanaona wanatubeba watututee"

huyu jamaa ni waziri halafu anatoa maneno makali sana yenye uchochezi kwa kuruka ukweli mfano sakata la kuongeza bei za umeme.

HUYU JAMAA HATAKIWI KUKANYAGA ARDHI YA TANZANIA
 
Nimeipitia hiyo video na nnadiriki kusema hakuna aliyetukanwa. Tusi au matusi ni yepi hapo? Naomba unukuu labda nimetazama mkanda tofauti.

Wewe mleta mada kwa kudai kuwa hao viongozi walio hai na waliokufa na kudai sisi sote tumetukanwa ukumbuke kuwa hiki ulichokiandika ni fitna kubwa sana na kama utashindwa kulionesha tusi au matusi waliyotukanwa kwa kunukuu itanipelekea kukuita "fataani".
Bi FF, na mimi nimesikiliza. Maneno aliyotumia Jussa ni kama vile "Mjinga Sitta, Mpumbavu Sitta, Mjinga huyu..."
Sasa katika lugha kiungwana, sidhani kama ni sahihi kwa mtu, hasa mwanasiasa, kutamka maneno kama haya dhidi ya (mwanasiasa) mwenzake. Pengine mimi si mwelewa wa lugha wala maadili, lakini pamoja na ukweli kwenye maelezo yake, hapa Jussa amejiteremsha kama muungwana.
 
Nimeipitia hiyo video na nnadiriki kusema hakuna aliyetukanwa. Tusi au matusi ni yepi hapo? Naomba unukuu labda nimetazama mkanda tofauti.

Wewe mleta mada kwa kudai kuwa hao viongozi walio hai na waliokufa na kudai sisi sote tumetukanwa ukumbuke kuwa hiki ulichokiandika ni fitna kubwa sana na kama utashindwa kulionesha tusi au matusi waliyotukanwa kwa kunukuu itanipelekea kukuita "fataani".
mamangu sam six kaitwa mjinga mmoja samuel sitta zaidi ya mara nne bado huoni ni matusi kwa mtoto mdogo kama jussa kwa mzee mzima kama sitta?matusi sio mpaka yale ya kitandani kumuita mtu alie sawa sawa na babako mjinga haipendezi wala sio adabu nzuri kwa mtoto wa kiislam ama yeyote awaye!penye ukweli tuuseme unless umetizama a wrong video bi dada!je jussa anaweza kumuita maalimu seif mjinga?huyu hamad rashid licha kuhitilafiana sana hivi majuzi hajasikika akimwita mjinga
 
Huyu Bwana nusu ni Mwana CCM; rejea mazungumzo yake na aliyekuwa mwandishi mkuu wa rais January Makamba wakati wa uchaguzi. Huyu si-ndo alimshinikiza Maalim kukubali matokeo hata kabla hayajajumlishwa yote. Huyu katumwa na wapinzani wa Sitta ndani ya CCM;
 
Back
Top Bottom