Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

Jussa Taahira nimemsikia sihitaji hata kuchangia zaidi ya kuona muungano uvujike tu!
 
MTAZAME HAPO KWENYE VIDEO INAYOPATIKANA KWENYE LINK HAPO CHINI,SIO SIRI AMENIKERA SANA HUYU MHINDI!SAM SIX SI NI SAWA NA BABA YAKE?HAKUKUWA NAHAJA YA KUMTUKANA MZEE HUYO KISA KATOFAUTIANA NAE MAWAZO,HIZI NDIO SIASA ZA MAJI TAKA SASA...

Rashid Video: ISMAIL JUSA ANAMJIBU SAMWEL SITA

The romantic siku nijariwe urais wa nchi hiii siku hiyo hiyo baada ya kuapa natangaza kuvunja huu upupu wa muungano

nimeishi zanzibar 15 years naijua vilivyo znz mpaka pemba kote nimeishi, muungano haufai hata kidogo! at least tuwe na serikali tatu. na hayo matusi yeye kayesema hadharani lakini kweli ndio yaliyomo vinywani mwa akina hata shein, karume!!
 
Ingekuwa ni mtanganyika anaongea hivyo dhidi ya mzanzibari, mpaka kikwete angeingilia kati!

Sijui ccm wana maslahi gani hapo Zenji ama ni hizokura wanazomsapoti nazo Rais kwakumpigia kura?
 
Du amemtusi na kumkashifu mtu mzima six,hizo ndio siasa za maji taka.
 
nimekosa uhondo. Kasimu hakafungui! Nimefika kwenye link nikaona kuna sehemu kuna maandishi ya kiarabu nikaogopa kubofya
 
jussa taahira na wewe je?
muungano uvunjike kwa sababu ya jussa?
umefanya tafiti na kuona anawakilisha wazanzibari woote?????

Mkuu unazo sababu nyingine za kumkatalia huyu hapa chini?

Back
Top Bottom