Isingekuwa kuwa wewe sweetlady

pole Vin Diesel maji yakishamwagika hayazoleki.......rudi kwa mama wa watoto wako mbembeleze mwambie shetani alikupitia na sasa hivi huyo shetani umemfunga mnyororo funguo umetupa bahari ....usiwe na mawasiliano yoyote na sweetlady wala post zake usisome

Kwanini amsingizie shetani! Aseme tu alipagawa na sweetlady alivyo mashaalah! Acha wapukutike nibaki mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Nakosa hata pa kuanzia kutoa kilio changu toka kwenye mtima wange....
Naamini isingekuwa kuwa wewe sweetlady kunirubuni leo ningekuwa na furaha
Isingekuwa wewe kuja kunitongoza kwa maneno matamu tamu nisingemuacha mke wangu na leo hii ningekuwa nae...
Isingekuwa ujuzi wako wa kumrai rai mtu leo mke wangu angekuwa memba wa JF...
Ni wewe uliesababibisha hadi akaweka uzi wa kujiondoa JF kwa kilio kikuu baada ya wewe shoga yake kumsaliti...
Nakulilia kipenzi changu popote ulipo....
Naomba unisamehe kwa kurubuniwa na shoga yako kipenzi sweetlady....
Najuta kwa kosa nililofanya na naomba unisamehe na tuanze upya...
Isingekuwa wewe sweetlady leo hii mke wangu angekuwa bado ni Memba wa JF....
Isingekuwa wewe sweetlady mke wangu asingenipa :smash::smash::smash: za uso...
Ndugu zangu Erickb52. Blaki Womani.. AshaDii.. Mr Rocky.. charminglady.. Madame B.. Filipo naombeni sana mfikishe kilio changu hiki kwa mama wa watoto wangu...

nakusaidia kwa kumchukua sweetlady ili akirudi mkeo upate utulivu. Ila inakubidi uvumilie kipindi hiki cha mpito! Upweke kaziii!!?
 
Last edited by a moderator:
Nakosa hata pa kuanzia kutoa kilio changu toka kwenye mtima wange....
Naamini isingekuwa kuwa wewe sweetlady kunirubuni leo ningekuwa na furaha
Isingekuwa wewe kuja kunitongoza kwa maneno matamu tamu nisingemuacha mke wangu na leo hii ningekuwa nae...
Isingekuwa ujuzi wako wa kumrai rai mtu leo mke wangu angekuwa memba wa JF...
Ni wewe uliesababibisha hadi akaweka uzi wa kujiondoa JF kwa kilio kikuu baada ya wewe shoga yake kumsaliti...
Nakulilia kipenzi changu popote ulipo....
Naomba unisamehe kwa kurubuniwa na shoga yako kipenzi sweetlady....
Najuta kwa kosa nililofanya na naomba unisamehe na tuanze upya...
Isingekuwa wewe sweetlady leo hii mke wangu angekuwa bado ni Memba wa JF....
Isingekuwa wewe sweetlady mke wangu asingenipa :smash::smash::smash: za uso...
Ndugu zangu Erickb52. Blaki Womani.. AshaDii.. Mr Rocky.. charminglady.. Madame B.. Filipo naombeni sana mfikishe kilio changu hiki kwa mama wa watoto wangu...

Japo mi si nduguyo!
But as my fellow member nitakusaidia kukubembelezea huyo my wako ikiwa utamuainisha ni nani !
Na huyu SL ni shemeji yangu ntasemanae .
 
Last edited by a moderator:
Japo mi si nduguyo!
But as my fellow member nitakusaidia kukubembelezea huyo my wako ikiwa utamuainisha ni nani !
Na huyu SL ni shemeji yangu ntasemanae .

wewe ni ndugu yangu pia kaka...sema kuachwa kumenichanganya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom