Isidingo-The need

Pure Mathematics

Senior Member
Mar 8, 2012
174
52
Sijui kwanini hii tamthilia haiishi manake tangu wakati ule naangalia tv kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka leo namiliki tv yangu bado imo. Wadau hebu mnijuze hapo imekaa je.
 
Tamthilia hii hata prof. Jay ameikuta wakati anaingia kwenye fani. Unaikumbuka ule wimbo wa Bongo Dar es salaam? Hebu kumbuka kipande hiki "mambo ya ISIDINGO watu mkononi wana Nokia Ringo, huwezi kujua yupi mtoto wa geti yupi changu. Wote wanameremeta kama mamtoni mwanangu"
 
Sijui kwanini hii tamthilia haiishi manake tangu wakati ule naangalia tv kwa mwenyekiti wa kijiji mpaka leo namiliki tv yangu bado imo. Wadau hebu mnijuze hapo imekaa je.
mkuu niliulizaga swali hili humu ndani nikaishia kupewa madongo,mie inaniboaa basi tu.
 
Mi hiyo tamthilia inaniboa kinoma!! ..... nayo imezidi kuwa ndefu kama nanihii ya mandingo.
MP.
 
Back
Top Bottom