Ishi maisha ya Furaha, Ntuyabaliwe na mzee Mengi

Mzee wetu anapumzika baada ya kazi nzito

Safi sana. Wengine tunakula kwa macho

Acha vivu mwezako anakula uzee

Make money if you want to enjoy life after 60 yrs

Kwanini asile vitu vizuri bhana?
Kwani anapasua mawe juani?

Naam ujumbe mujarab

Nasema hivii?
vijana bado mna muda mwingi wa kufanya kazi na kusaka mahelaa.

Harafu Ana mimba nyingine,babu Mengi anatupia tu,Safi Sana.

uwongo mbaya.....jackpot bingo kwa wote wawili! lol
Haya ndiyo maisha. Tufanye kazi kwa werevu ili tuishi maisha mazuri baadae.
 
chakalika enzi za ujana wako, sio unaanza kula ujana ukifika uzeeni umeishaaaaa chali yaani nguvu hauna, pesa hauna, swaga huna kila kitu hunaaa. vijana tupige kazi mda ndio huu wakina jacque wapo wengi mbele huko kama una pesa
 
huyu babu hana aibu aisee,hivi anaweza kukaa na wazee wenzake kwenye shughuli mbalimbali akiwa na hako ka binti?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom