Ishawahi kukutokea?????

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Kuna katabia ambako nimeshindwà kukaacha... mf. nikiwa kwenye public tranport nikamwona mtu yuko busy anachat lazima na mie nitatoa kimchina changu nitatuma sms. kama cna salio nitasoma sms zilizopo kwenye inbox ama sent item.km anaongea nami nitapiga simu ama kubeep. dah smtime hadi najichukia. nyingine nikiona mtu anakunywa maji na mie huhisi kiu kama kuna maji karibu nami nitakunywa. nyingine kama mtu akinambia anakwenda haja nami hutaka kwenda hata km cjabanwa! je wewe huwa inakutokea???nawezaje kuach
https://www.jamiiforums.com/members/beibe-nasty.html
 
Mh!
Kweli huwa inatokea. Mimi
Binafsi nikiona watu 'wanapigana' lazima na mimi nitafute mtu 'nipigane' nae,japo cpendi kabisa ugomvi na wala c mgomvi.
 
Mh!
Kweli huwa inatokea. Mimi
Binafsi nikiona watu 'wanapigana' lazima na mimi nitafute mtu 'nipigane' nae,japo cpendi kabisa ugomvi na wala mimi si mgomvi.
 
Kuna katabia ambako nimeshindwà kukaacha... mf. nikiwa kwenye public tranport nikamwona mtu yuko busy anachat lazima na mie nitatoa kimchina changu nitatuma sms. kama cna salio nitasoma sms zilizopo kwenye inbox ama sent item.km anaongea nami nitapiga simu ama kubeep. dah smtime hadi najichukia. nyingine nikiona mtu anakunywa maji na mie huhisi kiu kama kuna maji karibu nami nitakunywa. nyingine kama mtu akinambia anakwenda haja nami hutaka kwenda hata km cjabanwa! je wewe huwa inakutokea???nawezaje kuach
View Profile: beibe nasty - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
............
 
unamatatizo weye
 
pole shost
 
ntaachaje kuwaangalia ilhal macho hayana pazia?
jikaze shost mana ndio utarudia text izooo weeeee mpaka utamtumia mtu siye uliyetaka kumtumia
kua tu busy na mambo yako usiweke akili yako kwa hao unaokutana nao njiani tembea ka vile uko peke yako in ur own world mpz trust me u will feel good.....jipe ujasiri ukiwa njiani na wala hutwaona hata mmoja hata akikatiza mbele yako hutomuona utajiona ww tu
 
Kuna katabia ambako nimeshindwà kukaacha... mf. nikiwa kwenye public tranport nikamwona mtu yuko busy anachat lazima na mie nitatoa kimchina changu nitatuma sms. kama cna salio nitasoma sms zilizopo kwenye inbox ama sent item.km anaongea nami nitapiga simu ama kubeep. dah smtime hadi najichukia. nyingine nikiona mtu anakunywa maji na mie huhisi kiu kama kuna maji karibu nami nitakunywa. nyingine kama mtu akinambia anakwenda haja nami hutaka kwenda hata km cjabanwa! je wewe huwa inakutokea???nawezaje kuach
https://www.jamiiforums.com/members/beibe-nasty.html

Mmh hapa umeficha jambo moja, vp ukiona wapenzi wanaenda G.s.t? Nawewe huwa unafanyaje.?
 
ur welcome ila nimeona mume kapigwa ban sasa itabidi uje ujiegeze huku na mm kwa Saint Ivuga mpaka sobhunza atakaporudi au unasemaje love

mai weeee! jaman kafanya nini tena laadhidhi. . . . me naenda kukata rufaa! BTW ntajuaje km kapigwa ban?
 
mi nkimuona mtu anapiga miayo na mimi domo tayar sikumingi nshafungua
 
Back
Top Bottom