ishakutokea?

Mi niliota nikatoka nje!
Nje palikuwepo,
ila nilipotaka kurudi ndani,
Ndani ndy hapakuwepo!
So what next ?
 
JAMANI EE! Hamlali? Mnachangia mpaka ucku mnene.
Hebu Spika nipe mwongozo,
Maana mimi Dooh! Nikiegesha ubavu kwenye godoro tu,hapoho kitu kinayeya,labda ninywe Piriton ndo na-ChitChat night.
Nijuzeni...!
 
Wewe utakuwa waishi na wazazi au kwa Shemeji yako, chakula ya bure mawazo ya kazi gani Bwana!

Back
Top Bottom