Isha Mashauzi ipeleka Modern Taarab katika ukurasa mpya

Mar 29, 2011
55
18
Nimeangalia video fupi ya Isha Mashauzi katika blog ya John Kitime Muziki muziki nakubaliana na Kitime IMG_0605.JPG kuwa Isha kaleta changamoto mpya. Kushiriki kwenye show na dancers wake ni jambo jipyaaaaa katika Taarab
 
Back
Top Bottom