Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Mungi hiyo picha si nzuri saaaaana! Inaweza pata tafasri nyingi kweli kweli
Kimbunga
kwa watu wenye mawazo kama ya ritz hii picha inaweza kuwa na tafsiri nyingi. lakini kwa watu waelewa wanaangalia jiografia ya eneo, wapo mahali gani, na akina nani.
ingelikuwa kwenye kumbi za starehe au maeneo yanayofanana na hayo ingeleta tafsiri nyingi kweli!