Nadahani wengi tunafamu umuhimu wa Task Manager katika MS Windows OSs. Kwani ndio inaonesha program zinazorun kwenye kompyuta, process zote, amount ya memory, kipaumbele cha kila process n.k umuhimi huu ndio unaotumiwa na watengeneza virusi kuharibu kompyuta. Ili kufungua Task Manager tumia njia kati ya zifuatazo:
TATIZO
Kama kompyuta yako imesha athiriwa na virusi ni vigumu sana kufungua Task Mnager na utakapo jaribu utapata hii meseji "Task Manager has been disabled by your administrator"
NJIA ZA KUTATUA
Klik hiyo link kupata maelekezo. Njia hii ni nzuri lakini sio salama kwani unaweza kwa bahati mbaya kuweka registry values vibaya au kufuta nyingine na kuharibu system yako pia watu wengi inawawia vigumu kuandika codes ambazo hazieleweki kwao bali kwa mshine zinaeleweka na ndio maana naomba ukipatwa na tatizo kama hilo tumia njia ya pili
2. Kupitia Windows Task Manager(Enable/Disable) Nimeamua kutengeneza haka ka-program kurahisisha hatua zote hizo ambazo ukisha zimaliza itakulazimu kurestart kompyuta yako lakini kupitia program hii ni sekunde moja tu! unaponesha kompyuta yako bila ku-restart! kama unavyoona hapo chini.
Jaribu uone!
Size: 594 KB
Supported OS: Windows XP, Windows Vista & Windows 7
Download Link: Hapa
Download Link2: Hapa
***Ahsanteni ***
UPDATE: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/444949-repair-task-manager.html#post6275382
- Bonyeza CTRL-ALT-DEL kwenye keyboard au
- Bonyeza CTRL-SHIFT-ESC kwenye keyboard au
- Right-klick sehemu iliyo tupu kwenye taskbar halafu chagua Task Manager
- Au klick Start---->> Run halafu andika taskmgr then bofya enter au kliki OK