Is your Nokia Cell Phone Original

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,109

Nokia is one of the largest selling phones across the globe.Most of us own a Nokia phone but are unaware of it’s originality.Are you keen to know whether your Nokia mobile phone is original or not? Then you are in the right place and this information is specially meant for you. Your phones IMEI (International Mobile Equipment Identity) number confirms your phone’s originality.
Press the following on your mobile *#06# to see your Phone’s IMEI number(serial number).
Then check the 7th and 8th numbers
Phone serial no. x x x x x x ? ? x x x x x x x

IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 02 or 20 this means your cell phone was assembled in Emirates which is very Bad quality
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 08 or 80 this means your cell phone was manufactured in Germany which is fair quality
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 01 or 10 this means your cell phone was manufactured in Finland which is very Good
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 00 this means your cell phone was manufactured in original factory which is the best Mobile Quality
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 13 this means your cell phone was assembled in Azerbaijan which is very Bad quality and also dangerous for your health.
 
Kaka Mzizi mkavu uwe pia unajaribu kufanya utafiti zaidi wa hizi habari zako kabla ya kuzipaste

Mfano hapa naona habari yako ina utatata mwingi . Je hapa unazumguzmia sijui hizo didgit ni Manufactiring au Assembly.

Vile vile mfano mwingine wa habari hii tata ni
Nijuavyo mimi Finland ndio original ya nokia. sasa naona taarifa yako inaeleza Nokia ya finland ina fair quality na Nokia ya ya original factory ina 00 sasa sijui orijino fanctory ya Nokia kwa mujibu wa hii taarifa iko wapi?.

Zaidi ya hii story nyongeza niliyonayo

Ni vizuri zaidi tusiwe tu wakusanya habari we should go further to make critical or appraisal analysis ya hizo taarifa tunazokusanya.

Una paste habari hata wewe mwenyewe huweki comment yako japo sentensi moja. This is not Great thinking.

Nawasilisha constructive Critisim yangu
 
Mkuu unajuwa kusoma Kiingereza lakini? Hebu Soma tena nilivyoandika nanukuu kidogo ( IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 01 or 10 this means your cell phone was manufactured in Finland which is very Good) Umeona lakini ? Unayo macho ya kuona mkuu? Usilaumu tu pasipo kusoma Vizuri mkuu Soma Tena Mkuu.

Nazungumzia Manufactiring sizungumzii Assembly Upo pamoja na mimi lakini mkuu?
 
Kwahiyo hata wewe habari unazapost husisomi vizuri .Ebu soma hii.

IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 02 or 20 this means your cell phone was assembled in Emirates which is very Bad quality

Haya hapa hiyo digit inazumgumzia Assembly .

Alafu statement nyingine ikaendelea
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 08 or 80 this means your cell phone was manufactured in Germany which is fair quality

hapa wanazungumzia Manafacturing. huoni utata bado ???hiyo digit ya saba na na nane inazumnguzia nini? Manufactiring au Assembly? ok lets aasume inazumngumzia manufactiring

Tunaendelea

IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 00 this means your cell phone was manufactured in original factory which is the best Mobile Quality
Orijino factory ya Nokia Iko wapi? Orijino fatory ya Nokia iko FInland

chakuchekesha zaidi bado utata unaendelea
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 01 or 10 this means your cell phone was manufactured in Finland which is very Good

But finland is the origin of Nokia wich ealrier u said it is 00. ????

Ndio maana nakuambia uwe japo unachukua muda kuchambua na kuitafakari habari kabla ya kupost.

Nilisishangaa kuona Azerbaijan imo kwenye maelezo nikaenda site ya Nokia kuona wao wenyewe wanasema Production units zao zao ziko wapi http://www.nokia.com/about-nokia/company/production-units.

Wanasema wana site China Finland .Germany India Brazil China Great Britain Hungary India Mexico Romania South Korea

Hapa hawasemi kama Nokia wana assemebly UAE achilia mbali Azerbaijan
 
Nokia is one of the largest selling phones across the globe.Most of us own a Nokia phone but are unaware of it's originality.Are you keen to know whether your Nokia mobile phone is original or not? Then you are in the right place and this information is specially meant for you. Your phones IMEI (International Mobile Equipment Identity) number confirms your phone's originality.
Press the following on your mobile *#06# to see your Phone's IMEI number(serial number).
Then check the 7th and 8th numbers
Phone serial no. x x x x x x ? ? x x x x x x x

IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 02 or 20 this means your cell phone was assembled in Emirates which is very Bad quality
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 08 or 80 this means your cell phone was manufactured in Germany which is fair quality
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 01 or 10 this means your cell phone was manufactured in Finland which is very Good
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 00 this means your cell phone was manufactured in original factory which is the best Mobile Quality
IF the Seventh & Eighth digits of your cell phone are 13 this means your cell phone was assembled in Azerbaijan which is very Bad quality and also dangerous for your health.

AKSANTE KWA HABARI HII,.NLISHAKUTANA NA,HABARI INAYOSHABIHIANA NA HII,[NIMEIWEKA HAPO CHINI]
SASA UMENIFUNGUA MACHO,NAHISI PIA ITAKUWA NA MANUFAA KWA WALIO WENGI,SASA TUTAWEZA KUTOFAUTISHA FEKI NA ORIGINAL.

imei_58869_M.jpg

The IMEI or International Mobile Equipment Identity Number is a unique number allocated to every GSM phone and some other phones as well. You'll find this number inside the battery compartment or can just see it by pressing *#06# into the keypad. This number is used to validate your device on a GSM network and can also be very helpful to stop the device from using any network once it has been registered as stolen.
Pressing *#06# may not work in a CDMA handset because they don't have an IMEI number. They use ESN or Electronic Serial Number to do the same thing.
The IMEI Number has the following structure.
NN-XXXXXX-ZZZZZZ-A
the first two digits indicated by NN is the code of the reporting body such as MSAI[
MSAI is the Premier force behind developing standards in the Indian mobile industry by studying global practices while customizing them for specific Indian needs] The next six digits indicated by XXXXXX is the type identifier defined by MSAI. These numbers are assigned by MSAI but are given to the mobile equipment manufacturers for identifying different handsets uniquely. The last digit denoted by A is a check digit that is a function of the previous 14 digits and is used to check that none of the digits are entered incorrectly.
If you know your IMEI number you can check your device status by visiting TrackIMEI.com and entering the IMEI number. You'll get the information about the handset you are using and also you'll know if there is any theft record of the phone.

Yeyote anaejua kanuni ya utambuzi kubaini kama Simu ni original au vinginevyo.

Naomba kujuzwa tafadhali.
 
Back
Top Bottom