Wakuu.
Kuna aliyewahi kuagiza gari kwa hawa jamaa kutuka Japan. wako tradecarview of course.
Yaani wamepokea hela zangu wiki mbili zilizopita lakini wameshindwa kabisa ku confirm shipping date mpaka hivi sasa.
Yes niliagiza gari kwao, Mawasiliano yalikuw ya presha, kuna wakati kama nilikata tamaa bt walirudi na kukamilisha deal, vizuri sana. Subira kidogo mkuu
Subira kidogo...Jama wana fanya shipping mara mbili kwa kwa mwezi kama timing yako ulikuwa si nzuri unaweza ku confirm hata baada ya wiki tatu. Mie mwenyewe nilikaaa wiki tatu...ila ni wa uhakika walikuwa autorec wenyewe hawana biashara za kihuni.