Is this a false imprisonment??!

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Jamaa alikosa kuuawa na wananchi kwa tuhuma ya wizi kule Magu.Wiki ilopita akaripotiwa na police jamii kwa sms police Morogoro bada ya kuonekana akiishi Kilosa na sasa yuko mahabusu Kilosa.
Inasemekana tukio hilo lina miaka 2 imepita tangu litokee na aliyevamiwa alishahamia Mbeya.
Je, kisheria huyu jamaa atakaa mahabusu hadi lini endapo mhusika wa kesi haonekani? Sasa anasubiri police Magu waje kumchukua Kilosa,je,watakuja bila kuwepo yule mhusika wa kesi?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom