Is there any kind of cold war here?

Huamini?? Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia na akili ni za kike

Baba Askofu nakusalimu Sharom! napata shida kidogo kwenye red hapo , hivi akili za kike zikoje, maana kwa ufahamu wangu wa biolojia uwezo wa kufikiri wa mwanadamu huusishwa na akili, na kama hivyo ndivyo basi uwezo huo una uhusiano wa moja kwa moja na ubongo. Sasa there is a scientific proof kuwa wanawake wanamikunjo mingi ndani ya ubongo wao kuliko wanaume, na hiyo maana yake ni kuwa wanawake wanauwezo wsa kufikiri zaid ya wanaume na kwa maana nyingine ni kuwa wanawake wana AKILI kuliko wanaume! ila tu ni wavivu kutumia uwezo huo na kutojiaminui. So mi nafikiri hii ingekaa vizuri kama tu ungesema "Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia za kike"!
 
Nimekusoma Mpendwa... Shalom
 
Na hili ndilo tatizo la wengi,wana dhana potofu ya kuwa wanawake wasomi wanaringa.Hiyo ni tabia yake tu huyo dada wala haina uhusiano na usomi.

Afadhali unisaidie, yaani kama inferiority flani hivi, yaaani imejengeka aina fulani ya belif kwenye jamii kwamba wanawake wasomi, wanaringa au wananyanyasa waume zao ambao hawajasoma hata kama si kweli. ni kama kirusi kilichoikumba jamii, hata ufanye nini utaaangaliwa kwa jicho lile lile na kuwa judged vilevile no matter how u try to cope.
 
Hangover imeisha...... afadhali!!

Now back to the topic: we mamaa la Carmel hii cold war unayozungumzia hapa ni bifu kati ya wanawake wasomi vs waume zao au wanawake wasomi vs wanawake kayumba? Hebu usitupeleke ofu topiki tafadhali.

Haya tuendelee hick! hivk hick!
 
Hick! Hick! Habarrr ako VIKIII? Waooooo! Achachachacha! Orait Orait!

Yanini malumbano? Hick! Hick! Hick! Emmm! Orait!

:welcome::welcome: hick~@^& Actuale, hapa kuna mmoja anaitwa bahati jana alikuwa ana do ze nidiful nikam:kiss::kiss: kisha nika:confused2::A S-confused1: sasa huyu je ni darasa la ngapi? :A S 109::pray2::peace:
 
Of course niko kwenye kundi la kina kayumba, lakini hiyo hainizuii kuwaonea huruma wenzangu waliobahatika kubukua, i just feel that they dont deserve matatizo wanayopata kwenye jamii as if kwenda shule ni kosa kubwa walilofanya.

Carmel, kosa lao sio kwenda shule, KOSA lao ni namna wanavyotumia 'ilim' waliyopata huko shule,,, DHIDI ya wenzao ambao hawakubahatika kwenda shule,,
 
:welcome::welcome: hick~@^& Actuale, hapa kuna mmoja anaitwa bahati jana alikuwa ana do ze nidiful nikam:kiss::kiss: kisha nika:confused2::A S-confused1: sasa huyu je ni darasa la ngapi? :A S 109::pray2::peace:

Hahahaha! Sasa baada ya hick! hick! kum hick hick! haukuuu hick hick :gossip: kiaina ili hick hick :hug: halafu hick umchukue hick :car: ili hick hick mka emmm hick mkaaa:bathbaby: ili hick tukiamua ku hick hick:plane::plane: kuja huko hick emmm hick tuuu hick hick :violin::drum::lalala: yaani hick tuchukue hick hick :first: kudumisha hick infiii emmm hick ammmm:tea:

Hahahahaha!!!:welcome::closed_2::focus:
 
hahahahaa...hommie! wacha kabisa ni baraa....:clap2::clap2:nimeku:yo:manake ku :bathbaby: uwanja wa ugenini, halafu wanahitaji :pizza: mtu unajisikia :A S new::becky:

sasa fanyeni m:plane::plane: fasta!:focus::violin::juggle:
 
Orait Orait! Kaa standby ntaku :A S 101:
 
Baba Askofu nakusalimu Sharom! napata shida kidogo kwenye red hapo , hivi akili za kike zikoje, maana kwa ufahamu wangu wa biolojia uwezo wa kufikiri wa mwanadamu huusishwa na akili, na kama hivyo ndivyo basi uwezo huo una uhusiano wa moja kwa moja na ubongo. Sasa there is a scientific proof kuwa wanawake wanamikunjo mingi ndani ya ubongo wao kuliko wanaume, na hiyo maana yake ni kuwa wanawake wanauwezo wsa kufikiri zaid ya wanaume na kwa maana nyingine ni kuwa wanawake wana AKILI kuliko wanaume! ila tu ni wavivu kutumia uwezo huo na kutojiaminui. So mi nafikiri hii ingekaa vizuri kama tu ungesema "Kuna wanaume walipewa maumbile tu lakini tabia za kike"!

Huoni kuwa hapo kwenye red ndiyo hasa una-justify kauli ya Askofu kuwa kuna akili za kike ambazo ni "nyingi" kuliko za mwanaume?!!!
 
Back
Top Bottom