Is there any importance to know your lover's past relationships?

Da vincci

Member
Aug 9, 2009
61
9
Ndugu wana jamvi kama mada tajwa husika hapo juu inavyosema...'kuna umuhimu wowote kufahamu mahusiano yaliyopita ya mpenzi wako wa sasa'?
Naomba wachangiaji tu base kwenye faida na hasara za kufamu au sintofahamu za historia ya kimapenzi ya mpenzi wako wa sasa...ukijua mpenzi wako alikua na wapenzi kumi au mmoja au hakuwahi kabisa itabadilisha nini?inaweza kuimarisha mapenzi yenu au itahatarisha?
Guys let's be realistic on this tusiongee vitu fictional tu na drama za kifilipino...haya mabo yana exist na ni tatizo katika society zetu just imagine una mpenzi wako mnatembea mnakutana na mtu anamchangamkia..wanaonyesha kufahamiana,mpenzi wako ana flirt kabisa hadi wanabadilishana namba nawewe unachukulia poa cuz unajua maybe ni rafiki yake tu kumbe mtu alikua ni mpenzi wake...we all know the problem with EX...ni rahisi sana kukumbushiana...ila kama alikwambia kabla mtu flani ali exist ungechukua tahadhari maybe ya kufupisha conversation mkaondoka yakaisha..!
Lazima tukubali kuna baadhi yetu tupo weak when it comes to deal with past relationships....kuna upande wa pili ambao hawapendi kabisa kuzungumzia mahusiano yao ya nyuma kisa wana claim hawataki kuumiza wapenzi wao...can any one try to justfy this?!

MY TAKE;
NO MATTER how many lovers u had its better ukamwambia mpenzi wako at the begginning mwa mahusiano hayo mapya ...guys trust me on this..the way utakavyo mtreat mpenzi ambaye hajawahi kuwa na mahusiano kabla,aliyewahi kuwa na uhusiano mmoja,mwenye mahusiano mawili,matatu au kumi ni tofauti kabisa....kila mmoja ana namna yake utakavyo mtreat na kumfurahisha namna yake ni both mentally na physically...its better ukamuumiza mpenzi wako kwa kumwambia past yako mwanzoni kuliko akaja kujua katikati ya mahusiano...itamuumiza sana na kuna hati hati asije kukusamehe milele...!
KARIBUNI WANAJAMVI NI HAYO TU KWA LEO!
 
Mi naona hakuna umuhimu if you cant handle the truth, the more you knows, the more it hurts. bora uache chimbachimba hiyo uboreshe mapenzi yako kwake
 
SHANTELL ukweli humtafuta mtu usipoutafuta...what if your man or woman used to be a porn star ?ni bora akwambie mapema au baadae au uje ufind out on your own?!ni bora muambiane mapema kieleweke kama unaamua kuendelea au vipi wapo watakao handle na wengine mioyo myepesi hawawezi jamani!
 
Pia mtu huyohuyo anaweza kuukwepa ukimnyemelea, na fikiri kujua sana wakati mwingine kunabomoa ulichojenga
 
Kama atapenda mwenyewe kunihadithia nitamsikiliza, ila sintopendelea kuwajua wahusika wenyewe alokuwa nao,,,
 
SHANTELL ukweli humtafuta mtu usipoutafuta...what if your man or woman used to be a porn star ?ni bora akwambie mapema au baadae au uje ufind out on your own?!ni bora muambiane mapema kieleweke kama unaamua kuendelea au vipi wapo watakao handle na wengine mioyo myepesi hawawezi jamani!

Da vincci
Because people's so called truth is always never absolute. At this day and age Im sorry to say this, but it is foolish to not realize that let alone to even expect such honesty, especially in our society labda kwa wenzetu "wathungu"!

In anycase personally having an just an idea, or general background of my patners dating history/life will suffice. With a few exceptions, It's what you do from now ownwards that counts, and not the past that can not be changed!
 
Bado upo harvad unasomea PHD? nice opinion nimeipenda sana sina cha kuongeza
 
Ni muhimu sana.

Kama hutaki kujua waliopita zamani then usiulize kama kuna mtu bado anapita sasa hivi.
 
Da vincci
Because people's so called truth is always never absolute. At this day and age Im sorry to say this, but it is foolish to not realize that let alone to even expect such honesty, especially in our society labda kwa wenzetu "wathungu"!

In anycase personally having an just an idea, or general background of my patners dating history/life will suffice. With a few exceptions, It's what you do from now ownwards that counts, and not the past that can not be changed!

I agree with you....its what we do from now onwards that counts......!!! I use to sing about my past and there is nothing good that have come out of it.....no more!

Bado upo harvad unasomea PHD? nice opinion nimeipenda sana sina cha kuongeza

Nafurahi kujua Nemo anasoma Harvard.....she is very intelligent!
 
kwangu mimi ni kujuwa kuwa niko nae na ni wangu,
hizo habari za past mimi hazinihusu, na unaposema anaweza akakutana na EX wake na wakapeana mpaka contact huyo, Mvulana au msichana atakuwa hajui ni nini anakitaka.

kwa mawazo yangu ni kuanzia pale tulipokutana, ya huko nyuma hayanihusu na sintopenda kuyajuwa.

mambo ya huko nyuma sijui alikuwa na Mwajuma au Juma hainihusu.
 
I agree with you....its what we do from now onwards that counts......!!! I use to sing about my past and there is nothing good that have come out of it.....no more!

Nafurahi kujua Nemo anasoma Harvard.....she is very intelligent!

Ha! Harvard?".............Michelle my dear, Nemo can only wish!!!!!!"
 
Bado upo harvad unasomea PHD? nice opinion nimeipenda sana sina cha kuongeza

Harvard,Yeah right!!!!!!!............................"A girl can only wish for:nerd:!"

Blackberry:
Glad to know im not the only one with a past that needs hidding.................................lol!!!!!!!!
 
Ukweli humweka mtu huru,mpe mkweli kuhusu past life yako,don't engulf that hurting truth in your heart,if you will share it with your lover,you will split apart that load of pains and it will be eased for the two of you to carry on with.
 
ndio mwanzo wa kundanganyana....wala 2taki kabisa, tulipokutana hapo hapo uendelee wengine tunachoshwa na hadithi.....
 
Unataka kujua kaanzia wapi, kapitia kwa nani na nani na kwa wangapi au hata kujua huko alikopita hakudumu kwasababu gani.
Sidhani kama penzi linaweza kujenga katika uimara uliyobora kwa kutumia njia za udadisi na uchokonozi wa kutaka kujua kila kitu.
Ukweli usipoutafuta, utakutafuta. Ni bora hivyo kuliko kuja kujikwaza mwenyeo eti sababu unatafuta ukweli. Muhimu ni kuchukulia tu kuwa "mla mla leo, mla jana kala nini"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom