'Is there a room for privacy in Marriage/Relationship'??

mie sijaona siri ya kuniua kufunga mdomo, hivi password za benk ni siri?? Au balance ya bank?
 
Kuna tofauti ya kujua password ya e mail ya mpenzi wako na kutembea na simu yake siku nzima...nadhani umenielewa...ndio maana naona wamezidi kwani mara nyingi wamekuwa wanatupa usumbufu sisi third parties tukiwapigia.

yaliyomo kwenye lap top yangu mhhhhh!!

kumbe we na mdogo na mdogo wako mmerithi uaminifu :lol:, but thats annoying kama wamefikia hapo. curiously wewe ku-share info na mumeo unaona ni 'moderate' lakini kwa mdogo wako na mumewe unaona 'wamezidi'. kwa nini. i find it a bit funny bcoz in my opinion nyote mmezidi.

:lol: huyo kiboko, mimi naongelea small personal info kama mnafichana mpaka nyumba then its beyond me
 
Ni kweli unayosema NK...
But sielewi tatizo kwa huyu shem wangu cuz jamaa (brother) yuko nje..
Inavyoonekana ule mpunga anaotumiwa kajikatia fungu na yeye anajenga ya kwake...lol
Ni kweli SnowBall wapo wanawake wengi na wanaume pia ambao ni wasiri na wachoyo.

Hiyo inasababishwa na mengi wenyewe wanakwambia...

Mojawapo ni kutokuona future ya ndoa yenu...yani mtu anakuwa mguu mmoja nje...mguu mmoja ndani.

Haiwezekani ukawa unajenga nyumba kwa siri afu unambie bado kuna love kwenye ndoa yenu...sitakubali hata uni convince vipi.
Hao hata ukiwauliza kuhusu ndoa watakwambia wanajuta kilichowatuma waolewa...they could be better without marriage.

Kuna office mate wangu alinambia NK wanawake walio single wana maendeleo kuliko sie tulio olewa...nikamchekiiii...nikasema huyu lazima love imeisha kwa mumewe...mawazo gani hayo...nikajua anachohesabu ni kuwa hana 'chake' binafsi...maana mumewe ni boss mkubwa sana na wana kila kitu cha kujiita upper class.

Kama ni gari ana drive gari ya maana; ila ni ya familia...anaonea wivu wenye vi starlet kisa ni 'vyao'
 
Huyo nimemuelewa...ni mwizi...

Kuwa mke wa mtu hakuondoi tabia yake...huyo ni mwii au ana tamaa..anaiba ela ya familia.

Sasa sijuhi anamjengea nani..

Yale yale ya kugombania fito wakati mnajenga nyumba moja.

Ni kweli unayosema NK...
But sielewi tatizo kwa huyu shem wangu cuz jamaa (brother) yuko nje..
Inavyoonekana ule mpunga anaotumiwa kajikatia fungu na yeye anajenga ya kwake...lol
 
Hapo tutarudi kwenye compatibility...mume wangu anapenda porn...mi si mpenzi lakini haina maana nikimkuta anaangalia nimuone kama ameua. Lol.

Ngoja nitoe siri kidogo...huwa mtu akiingia kwenye website fulani basi unakuta anaanza tumiwa junk mails...na mume wangu kama wanaume wengine nadhani ana tabia ya ku visit website za hajabu hajabu...but you know what...I dont care!!! Hiyo ni tabia ya wanaume wengi; kwa nini nimyime raha mtoto wa mwanamke mwenzangu. Lol.

Ndio hapo linakuja suala la ku abuse access tulizopewa...sinaga wivu wa kijinga...na si control freak kiasi hicho...siwezi kumuuliza kwa nini unatembelea website so and so...never...
he needs a little freedom. Lol.

yaa nimekuelewa, i undestand that this is a sensitive topic, je wewe unaamini kwamba hakuna privacy ktk ndoa?
 
Ninachoamini ni kuwa si vizuri kuwa na privacy kwenye ndoa...lakini siamini kuwa hakuna privacy kwenye ndoa kwani najua wenye privacy ni wengi kuliko wasio nazo...ila ndoa nyingi za hao wenye privacy ni ndoa ndoano...ubabe unatawala...

Unakuta mtu anakwambia kitu afu anaongezea usimwambie mtu hata mume wangu hajuhi...eeehh unaniamini miye kuliko mumeo???

Hata wanaume wapo wanaoshare siri zao na marafiki na dada zao...lakini si mke...hapo ujue hilo ni penzi la mashaka....

Ndio hao ukiuliza kama kungekuwa na fursa ya kuchagua upya mwenza wa maisha ungemchagua ulonaye anakwambia hapana...

Kwani wengine hizo privacy hazianzi day one ni baada ya kuchokana

yaa nimekuelewa, i undestand that this is a sensitive topic, je wewe unaamini kwamba hakuna privacy ktk ndoa?
 
Wadau najua mko poa..na kwa wale mliopatwa na masahibu au mnaumwa au kuuguliwa poleni sana.........
.:focus:Kila sehemu kuna haki ya 'faragha'..na hata kwa kulitambua hili utakuta katiba za nchi zinatoa haki ya mtu kutambuliwa faragha yake..meaning kwamba unao uhuru wa jambo ambalo mwenzio hana haki ya kukuingilia..Sasa i was thinking loud kwamba hivi kwenye hii taasisi ya mapendano au ndoa hakunaga hii haki??..Ina maana mpenzi/mwenzi wako anatakiwa ajue hata password yako ya JF??ATM etc??...Manake hapa hamchelewi kuleta habari za mwili mmoja..lol!!!
Hivi kiukweli yepi yanatakiwa kuwa na unlimited access na yepi yanabaki kuwa yako ya faragha??..Maisha hayatabiriki haya ati!!!

Please let's be honest!!!!

This is tricky very tricky...
 
Ukiwa na maana ya kuwa wako kwenye open relationship??? Emu ngoja waje watupe jibu hao wenye privacy..Lol

Wanaodai matrimonial mathematics:

Kama 1 + 1 = 2 -> privacy expected.

Kama 1 + 1 = 1 -> no privacy expected. Here your privacy becomes 100% null and void once you get married, depending on the type of marriage of course.

Lakini bado na-doubt kama "privacy" is the appropriate word hapa. Labda ingekuwa "secret"? Faragha vs siri. Au watahitaji faragha?

Kila mtu ana privacy, vingenevyo mahusiano yata-suffer in the run. Lakini hii siyo sawa na ku-keep secret.

Anyway, kwa wale wanaobisha kuwa hakuna faragha kwenye ndoa, wako tayari kujisaida haja kubwa mbele ya wapenzi wao?
 
Inategemea kama uko kwenye ndoa ya kizamani( dnt get it twisted old is gold) ndo mtashea PIN za simu, codes, password, na vingine sababu maisha yenu yamenyooka, u got nothing to hide!!! Na hapo mkeo umeendana nae ufahamu na kiwango cha shule!!! Na hili mwishoni mambo ya kibuma linakulaga kwa wengi.

Ila kama ndo ndoa za kimujini mujini divorce is not an option, swala ni how long will you last, security codes muhimu sanaaa! Siku ya KUDEVIDE HALF OF WHAT YOU GOT, kuficha kwako ndo kutakako kuokoa. CHEZEA I WANT HALF OF EVERY THING!!! LOL! Na kama mumeo hasomeki bora ujenge kisiri, siku ukitupiwa virago usirudi chumba chako kimoja kinondoni kwa mama lara 1 na watoto! Khaaa! Mali zote kauza!

Alafu privacy inategemea mnafanya nini maishani, kama mmeajiriwa na mnaishi legit privacy ya nini?? Ila kama ndo wazee wa magumashi mambo ilegal watu wa money laundering, darg trafficking, Corruption, ukwepaji kodi na mishe zingine huwezi kumwambia mkeo au mumeo hataaaaa! Siku kikinuka AKIWEKWA MTU KATI na madetective anatoa CODES ZOTE na full story juu ili ajinasue peke yake !!! KWISHA HABARI YENU!!!! Maskini Kajalaaa kesi tu ifutwe.
 
Hapo pekundu hata niwe naendesha sitaweza

Ila kuna watu wanaweza, na wala hawana wasiwasi, hadi unashangaa inakuwaje?

Wanaodai matrimonial mathematics:

Kama 1 + 1 = 2 -> privacy expected.

Kama 1 + 1 = 1 -> no privacy expected. Here your privacy becomes 100% null and void once you get married, depending on the type of marriage of course.

Lakini bado na-doubt kama "privacy" is the appropriate word hapa. Labda ingekuwa "secret"? Faragha vs siri. Au watahitaji faragha?

Kila mtu ana privacy, vingenevyo mahusiano yata-suffer in the run. Lakini hii siyo sawa na ku-keep secret.

Anyway, kwa wale wanaobisha kuwa hakuna faragha kwenye ndoa, wako tayari kujisaida haja kubwa mbele ya wapenzi wao?
 
Ha ha ha ha ha, NK bana

Umenikumbusha kitu lol

Niliwahi pokea email, mie sina habari nafungua mbele ya macho yake, kufungua hivi mweh mweh mweh
Mtu katiririka vibaya mno, makopa ya kutosha

Ujue mtu mweusi sana akipaniki huwa anakuwa wa zambarau, nikamwona amekuwa wa zambarau
akaondoka kwenye laptop, afu ilikuwa yake kama kaona simba
Akaomba maji ya kunywa, nikasema anakata roho nini?
Akalala, huwa siamini kama alisinzia
Alivyoamka ndio aliuliza

Chezeiya ukishakuwa umepigwa presha ya muda, nilielezea tukio from day one tulipokutana hadi siku hiyo
Thanks God aliamini ila from siku hiyo, akili zilitimia lol

Namshukur Mungu...we real respect each other;

Haina maana sijawahi kuta e mail za hajabu kwenye account yake; au yeye hajawahi kuta e mail zenye mashaka...but we talk and trust each other...na hatukurupuki kumjibu mtumaji kwani si vizuri marafiki zetu wajue kuwa tuna access ya each other's e mail itawafanya wasite kuwasiliana na sisi wakiwa na siri zao.

Unajua mkishaelewana ni rahisi hata ukikuta message kwenye simu ya partner wako kujua kuwa hii imepotea njia...na hii ni muendelezo wa mazungumzo.

Nakumbuka tukiwa tunadate mume wangu aliwahi futa e mail ya jamaa aliyekuwa ananitongoza...afu akanambia fulani alikutumia e mail ila imefutika bahati mbaya...sikujali kwani i was not interested with the sender. Na nadhani aliibroke hiyo address ya jamaa ...by then mi sikuwa najua sana mambo ya e mail...ila sikuwahi pata e mail nyingine toka kwa huyo kijana...alikuwa lecturer wetu Lol. Jamaa akaona hapa nisipofuta naweza pigwa bao.
 
Kwangu mie hili ni Talaka bila maelezo wala maulizo

Ni kweli SnowBall wapo wanawake wengi na wanaume pia ambao ni wasiri na wachoyo.

Hiyo inasababishwa na mengi wenyewe wanakwambia...

Mojawapo ni kutokuona future ya ndoa yenu...yani mtu anakuwa mguu mmoja nje...mguu mmoja ndani.

Haiwezekani ukawa unajenga nyumba kwa siri afu unambie bado kuna love kwenye ndoa yenu...sitakubali hata uni convince vipi.
Hao hata ukiwauliza kuhusu ndoa watakwambia wanajuta kilichowatuma waolewa...they could be better without marriage.

Kuna office mate wangu alinambia NK wanawake walio single wana maendeleo kuliko sie tulio olewa...nikamchekiiii...nikasema huyu lazima love imeisha kwa mumewe...mawazo gani hayo...nikajua anachohesabu ni kuwa hana 'chake' binafsi...maana mumewe ni boss mkubwa sana na wana kila kitu cha kujiita upper class.

Kama ni gari ana drive gari ya maana; ila ni ya familia...anaonea wivu wenye vi starlet kisa ni 'vyao'
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom