Is there a neurologist or a pediatrician in the forum?

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,579
5,375
Hamjambo wakuu?

Nina niece wangu kazliwa 3 month ago na jicho moja likiwa slightly ndogo kwa lingine. Ni mapacha, mwenzie kazaliwa mzima bukheir. baada ya miezi 2 yule mwenye jicho ndogo akaaza kupata mild seizures ("convulsion") za 10 to 20 seconds. Tulipo mpeleka hospitali kwa pediatrician akampa phenobarbital injection na crisis zilipunguka ila alivoanza tabs seizures zilirudi up to 20 kwa siku, zikaja stabilize 15 kwa siku.

Aliandikiwa exam nyingi ila daktari hajapata chochote zaidi ya kua sphere moja ya brain ni slightly ndogo in size kuliko nyingina ila neuro signals zinaendelea kama kawaida. Wazazi wake na sisi ndugu zake tunaogopa sana. Kwa sasa anaendelea na phenobarbital injection.

Nilijaribu kusoma huku na kule nikaangukia " Moba syndrom" ambayo symptoms ni: congenital microophtalmia and progressive brain atrophy which leads to seizures. ila hii anomaly imeshaonekana mara 3 tu duniani na watoto wote wa 3 walikua from the same family

Swali langu ni hili: Huyu niece wangu anaumwa nini??? inaweza kua MOBA syndrom? tufanye exams zipi? kwa hapa eastern na central africa neurologic center nzuri ni ipi?
I am completely down and devastated, please help!
 
poleni sana,bt Mungu atawapa hekima na subra. Muhimbili kuna madaktari wazuri wa watoto,japo ukiritimba unatawala.

Nimeona mtoto mwenye jicho slightly small and popping out a bit with constant caking. Ila alipelekwa CCBRT na wakapata suluhisho,he is ok nw. Nadhani CCBRT kwa sababu ya ku-deal na disabilities mbalimbali lazma watakuwa na neurologists wazuri,maybe u try that one too. aga khan kwa thorough investigation pia wanajitahidi japo wakikwama nao wanaku-refer muhimbili.

All the best.
 
poleni sana,bt Mungu atawapa hekima na subra. Muhimbili kuna madaktari wazuri wa watoto,japo ukiritimba unatawala. Nimeona mtoto mwenye jicho slightly small and popping out a bit with constant caking. Ila alipelekwa CCBRT na wakapata suluhisho,he is ok nw. Nadhani CCBRT kwa sababu ya ku-deal na disabilities mbalimbali lazma watakuwa na neurologists wazuri,maybe u try that one too. aga khan kwa thorough investigation pia wanajitahidi japo wakikwama nao wanaku-refer muhimbili. All the best.

Thank you. nitaanza contacts tuone kama wanaweza kum-refer ASAP. asante sana
 
Thank you. nitaanza contacts tuone kama wanaweza kum-refer ASAP. asante sana

Nadhani pia mpeleke MOI...advantage ya MOI ni kuwa kuna maneurosurgeons wengi na ni academic institution..na kwa kuwa hiyo ni 'rare case' lazima watapropose waidiscuss kwenye panel presentation..inaweza ikawa usumbufu lakini at the end of the day...vikikaa vichwa vi4 au vi5 vya neurosurgeons discussing this case...watatoka na best option possible kwa hapa kwetu Tanzania au hata recommandation kwa nje.

Poleni sana wandugu.
 
Nadhani pia mpeleke MOI...advantage ya MOI ni kuwa kuna maneurosurgeons wengi na ni academic institution..na kwa kuwa hiyo ni 'rare case' lazima watapropose waidiscuss kwenye panel presentation..inaweza ikawa usumbufu lakini at the end of the day...vikikaa vichwa vi4 au vi5 vya neurosurgeons discussing this case...watatoka na best option possible kwa hapa kwetu Tanzania au hata recommandation kwa nje.

Poleni sana wandugu.

Asante sana, nitatuma copy ya medical report huko pia nione kama watakua tayari kumsaidia mtoto huyu...
 
Asanteni wote.

Wazazi wa mtoto walimpeleka SUNNY HILL CHILD CARE kule africa kusini na diagnosis imetoka. AGNESIS OF THE CORPUS CALLOSUM. Kwa kiswahili tuseme tu kuna part fulani ya ubongo inayo unga vipande vyote vi4 vya ubongo. hiyo part inahusika katika mtoto kutembea, kusema, kukumbuka na vingine vitu muhimu. asilimia 0.3 ya binadamu duniani wanadevelop huo ugonjwa na wengi wao wanaishi bila tatizo ila kuna wachache kama huyu niece wangu wanakua na matatizo.

Mtoto sasa halali, anachoka sana na haishi kulia. tuna wasi wasi sana, kesho ataonana na neurologist mngine kwa kupata dawa za kutuliza maumivu.

Tuendelee kumuomba Mungu na kumshukuru kwa kila jambo sababu yeye ndie anajua kwa nini hali hii ilimtokea huyu malaika wake na anajua namna gani hali hii itatusaidia kumuabudu na kuifanya kazi yake kwa bidii zaidi.
 
My niece is gone back to her creator...
We will miss her dearly...

Inna Lillah Waina Illahi Rajoon

“Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo”

Pole RussianRoulette
, na wape pole wazazi wa mtoto.
 
Poleni sana. Mungu Amlaze mahali pema peponi. Malaika wetu amepumzika. Mungu Awape faraja ya kweli kwa kuwa hakuna maneno ya kibinadamu tunayoweza kuyasema yatakayoweza kuwapa faraja. Poleni sana sana!
 
RR pole sana kwa yote mliyo yapitia kwa huyu malaika wa mungu ambaye muumba amemchukua kwa ajili ya kwenda kuimarisha jeshi lake huko mbinguni.

Kwa hesabu za haraka hivi sasa alikuwa na miezi takriban 9, sina uhakika na yule pacha aliye baki. Lakini kama walikuwa ni identical twins nashauri ni vizuri Karyotype ya marehemu ijulikane na huyo pacha aliyebaki naye afanyiwe Karyotyping pia, kwa sababu kwa jinsi literature inavyoonesha huo ugonjwa aliokuwa nao wa Agenesis of corpus carlosum (ACC) ni genetic in origin na kwa hao monozygous twins huwa wana share genetic mapping, na maranyingi hizi genetic diseases huwa zina tokea in syndrome type. Hii itasaidia kwenye care ya huyo aliye baki. But kama ni fraternal msihangaike.

Utakumbuka story za wazee wa zamani walikuwa wanasema kwamba kama pacha mmoja akiondoka mwingine atamfuata soon, na hii ndo explanation ya huo msemo wa watu wa kale.

Mungu awape nguvu ndugu na wazazi ktk kipindi hiki.
 
pole sana for ur loss, Mungu aliwapa zawadi ya maisha yake mafupi; na kwa upendo wake ameona ampumzishe mahalia ambapo hakuna magonjwa njaa wala maumivu. Jina la Bwana libarikiwe!
 
My niece is gone back to her creator...
We will miss her dearly...
pole. Nimeguswa sana na kisa hiki kwa sababu mimi binafsi ni mhanga wa tatizo lililohitaji competent neurologist, nilienda SA na hatimaye India bila mafanikio. Nilipoenda CCBRT na kukutana na daktari Mjerumani, Dr. Ickler ndipo akaniambia tatizo ni Brachial Plexus na ilihitaji neural surgery within 90 days, by then it was too late to do anything worthful.

God has a propose for every exit humu duniani, inawekana amemuita mapema ili kumlinda na maisha ambayo angeishi.

Mshukuruni Mungu kwa yote na poleni for all the efforts not in vain but you tried.

Lastly nawaombeni muwe na imani na kurejoice maana huyo ni malaika wa Mungu na mtashangaa jinsi mambo yatakavyowanyookea na haswa huyo twin wake!.

RIP malaika wa Mungu!.
 
Back
Top Bottom