Is that true female enjoy sex more than male?

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Haya swali hilo!!! Mimi nafikiri ni kweli wanawake ni zaidi lakini cha ajabu wanaume ndio wanaonekana kutaaka!!!????
 
Can you bring up something else? This one amounts to the highest gross raid on people's underwear domains!
 
Haya swali hilo!!! Mimi nafikiri ni kweli wanawake ni zaidi lakini cha ajabu wanaume ndio wanaonekana kutaaka!!!????

Yes indeed, they do enjoy more than men especially when the 'stuff' gets and goes in, they feel it and sometimes lose their consciousness. Sorry ladies, this is what I have to say.
 
Ni vigumu kutabiri kwani kama wewe ni mwanaume utajuaje kuwa mwanake anajisika sana kuliko wewe wakati hujawahi kuwa mwanamke search kwenye google upate jibu la watafiti leo sina muda ningekujibu
 
Mwanamke m1 aliulizwa akacheka afu akauliza
"hivi sikio likiwasha ukaingiza kidole na kukizungushazungusha ndani yake ni kidole au skio ambalo linajisikia vizuri?"
Nikamwambia umeshinda mama yaishe.
 
Mwanamke m1 aliulizwa akacheka afu akauliza
"hivi sikio likiwasha ukaingiza kidole na kukizungushazungusha ndani yake ni kidole au skio ambalo linajisikia vizuri?"
Nikamwambia umeshinda mama yaishe.

We can also ask ourselves from another point of view, 'kati ya mkunaji na mkunwaji ni nani anayefaidi'? The answer of this question may pave a way to that question.
 
We can also ask ourselves from another point of view, 'kati ya mkunaji na mkunwaji ni nani anayefaidi'? The answer of this question may pave a way to that question.

Mmh i'd say mkunwaji anafaidi. Dont you think?
 
Mwanaume atajisifia na mwanake ata danganya , ukweli hana uhakika labda ni google kwa wataama, hakuna mwanamke anye sema ukweli kwnye sex ,wote watadanganya tuu ,sex is over rated kwanza.
 
Huwa wanasema sio lazima kuchangia,
Haya ni mi hapa sichangii!!
 
wote mnafurahia bwana ndo maana nanyi huwa mnatoa ahadi kibao hahahhaha

kiukweli wote wanafurahia lakini tofauti ni kuwa orgasm ya mwanamke huchukua muda mrefu zaidi ya ile ya mwanaume na ndo hapo ikasemwa kuwa mwanamke anafurahia zaidi.....
 
IF IT WAS POSSIBLE NINGEOMBA RUFAA WANAUME TUONGEZEWE HATA SEKUNDE JAPO 5 ZA ZIADA ZA KURAHIA KILELE CHA MAFANIKIO KWANI TUNAPUNJIKA SANA WAKATI KAZI KUBWA YA KUTAFUTA YALE MASHETANI YAPANDE TUNAFANYA SISI,,,,

:msela::msela::msela:
KARIBU TUCHEZE.
 
khaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom