Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
- Thread starter
- #41
Mkuu illituchukua muda mrefu kufikia maamuzi ya kuachana na hata kupata replace haikuwa ni swala la siku mojaUkitoa swala la dini; huyu uliye nae sasa na huyo uliyemwacha nani unaona ni zaidi??? Kama ni huyu wa sasa basi utashinda haya majaribu; kama ex bado unakumbuka mambo yake jua wazi hata ukioa utaendelea kukumbushia. Akili kichwani. Mambo ya dini ni weak point ya kuachana kama ulishakubali kuwa na affair na mtu wa dini tofauti. Unless unambie unatumia dini kama sababu ya kum replace huyu binti; deep inside mapenzi yamechuja.